NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Duh🤣🤣🤣🤣😂😂😁😀Jesus Mlokozi unatakiwa uache tabia ya kuweka muhtasari wa operesheni ya kijeshi ya mama russia bila ya idhini yangu. Sergei shoigu anaongea kutoka moscow
Motivational speakers bana.Ikifika tarehe 24June watakapo tangazwa kuwa ukrain ni member wa NATO hali utabadilika,wataingia wazima wazima,leopard cha ujerumani kitaingia kazini.
Ila ukweli bila ubishi POLE SLOW ni genius. Namkubali veryNaiona gold iliyopo kichwani kwako,dhahiri inaonekana ulikwenda shule(haukupita tu).
Kingine mnafanana kimaudhui na POLEPOLE(ambaye mimi ninaamini) hakuna mtanzania anaweza shindana naye kwa hoja na ukamshinda
Hayo majimbo yatakuwa sehemu ya Urusi (Kama Crimea), itakuwa vigumu kwa Ukraine kuyadhibiti tena.Donetsk and Luhansk yanatakiwa yawe mataifa huru - according to Mrusi. CRIMEA ishaondoka kitambo.
UKRAINE itafutika katika ramani taratibuu.
View attachment 2260250
Urusi n mwanaume na nusu mwenye msimamo usioyumbishwa na nyie mnatakiwa muwe ivyo afe kipa afe beki mzigo lazima ufike Galile,baby boys 30 na zaidi wamekaaa🤣🤣🤣🤣.Hayo majimbo yatakuwa sehemu ya Urusi (Kama Crimea), itakuwa vigumu kwa Ukraine kuyadhibiti tena.
Huenda Ukraine ikashinikizwa na wafadhili wake ikubali kuachia hayo majimbo ili Vita visitishwe.
nafikiri leo Mrusi atachekelea ila awe tayari maana watu wa magharibi + USA watatafuta njia hata kama itakuwa ya muda mrefu ku fix hili aka killing softly. Wameona kama wangetoa silaha nzito basi vita ingekuwa balaa maana Mrusi anaweza kusababisha maafa zaidi ya Dunia, Hajali kurusha kumbora hata kama ni kwenye uwanja wa mpira wakati watazamaji wamejaa maelfu - Putin ni mtu dhaifu sana - watu dhaifu wenye mamlaka hupenda kuua bila kujali what next.Urusi n mwanaume na nusu mwenye msimamo usioyumbishwa na nyie mnatakiwa muwe ivyo afe kipa afe beki mzigo lazima ufike Galile,baby boys 30 na zaidi wamekaaa🤣🤣🤣🤣.
FUSO
Unanitamanisha nikujibu.nafikiri leo Mrusi atacheka ila watu wa magharibi + USA watatafuta njia hata kama itakuwa ya muda mrefu ku fix hili aka killing softly. Wameona kama wangetoa silaha nzito basi vita ingekuwa balaa maana mrusi anaweza kusababisha maafa zaidi ya dunia.
Kupigana na mrusi uwe tayari, ni kama ugomvi wa kitaa - bisibisi, yai viza, koleo, upupu, viwembe, nyundo, misumali, mpini nk - yaani chochote kilichombele yake anakitumia.
Leo miji ya Ukraine na mifumo yote ya miji kama maji safi na taka, mfumo wa joto nk vyote imekufa kabisa !! Russia is bombing anything Infront of them.
GAYTO wanajuta kumshobokea USHahahahah Putin ni mdeadly, NATO wamepoteana kila mmoja anamlaumu mwenzie tu hasa Mmarekani kuwa ni boya kawazingua wenzie😀
Upo sahihi, kadri Vita inavyoendelea ndio uharibifu wa Ukraine unaongezeka, kibaya zaidi kichaa Putin hatakubali kushindwa (japo na yeye kapata hasara kubwa tu).nafikiri leo Mrusi atacheka ila watu wa magharibi + USA watatafuta njia hata kama itakuwa ya muda mrefu ku fix hili aka killing softly. Wameona kama wangetoa silaha nzito basi vita ingekuwa balaa maana mrusi anaweza kusababisha maafa zaidi ya dunia.
Kupigana na mrusi uwe tayari, ni kama ugomvi wa kitaa - bisibisi, yai viza, koleo, upupu, viwembe, nyundo, misumali, mpini nk - yaani chochote kilichombele yake anakitumia.
Hii ni tofauti kubwa na mataifa ya Magharibi kwa mfano US alikwenda kwa IRAQ kamaliza vita bila kuvunja vunja majumba na kuharibu miundombinu..... US pia akaenda Libya akamaliza vita bila uhalibifu mkubwa wa miundombinu kama huu hapa.
Ni kama Mrusi bado anapigana vita kizamani.
View attachment 2260433
View attachment 2260434
🤣🤣🤣🤣Ebu futa machozi kwanza............ndio ni dakika ya 87 ila ubao unasoma tatu bila (Ukraine wako wanne plus kipa) upande wa pili 11 na hakuna majeruhi sijui mnatoboaje.Vita bado haijaisha na Urusi inapigana na Ukraine tu ila inasaidiwa silaha .
Kibaya zaidi Ukraine inapambana na mgonjwa wa akili 'Putin (The mad monster)'.🤣🤣🤣🤣Ebu futa machozi kwanza............ndio ni dakika ya 87 ila ubao unasoma tatu bila (Ukraine wako wanne plus kipa) upande wa pili 11 na hakuna majeruhi sijui mnatoboaje.
Mkuu hapa unatoa taarifa ama unajisemesha.[emoji23][emoji23][emoji23]Mrusi ameshaimega Ukraine kwa kisingizo cha majimbo mawili yapate uhuru wake - Donetsk and Luhansk.
Ila inavyoonekana anawinda kumega sehemu yote ya hiki kipande chekundu - aweke himaya yake.
View attachment 2260248
Pale Afghanistan marekani iliangusha mpaka mother of all bomb ila halikufua dafu unaujua uharibifu wa ilo bomb kwelinafikiri leo Mrusi atachekelea ila awe tayari maana watu wa magharibi + USA watatafuta njia hata kama itakuwa ya muda mrefu ku fix hili aka killing softly. Wameona kama wangetoa silaha nzito basi vita ingekuwa balaa maana Mrusi anaweza kusababisha maafa zaidi ya Dunia, Hajali kurusha kumbora hata kama ni kwenye uwanja wa mpira wakati watazamaji wamejaa maelfu - Putin ni mtu dhaifu sana - watu dhaifu wenye mamlaka hupenda kuua bila kujali what next.
Kupigana na mrusi uwe tayari, ni kama ugomvi wa kitaa - bisibisi, yai viza, koleo, upupu, viwembe, nyundo, misumali, mpini nk - yaani chochote kilichombele yake anakitumia.
Hii ni tofauti kubwa na mataifa ya Magharibi kwa mfano US alikwenda IRAQ wakamaliza vita bila kuvunja vunja majumba na kuharibu miundombinu..... US pia akaenda Libya akamaliza vita bila uhalibifu mkubwa wa miundombinu kama huu hapa.
Ni kama Mrusi bado anapigana vita kizamani.
View attachment 2260433
View attachment 2260434
🤣🤣🤣🤣🤣🤣kizamaniiii na bado kawashikia chini😂😂😂😂😂😂nafikiri leo Mrusi atachekelea ila awe tayari maana watu wa magharibi + USA watatafuta njia hata kama itakuwa ya muda mrefu ku fix hili aka killing softly. Wameona kama wangetoa silaha nzito basi vita ingekuwa balaa maana Mrusi anaweza kusababisha maafa zaidi ya Dunia, Hajali kurusha kumbora hata kama ni kwenye uwanja wa mpira wakati watazamaji wamejaa maelfu - Putin ni mtu dhaifu sana - watu dhaifu wenye mamlaka hupenda kuua bila kujali what next.
Kupigana na mrusi uwe tayari, ni kama ugomvi wa kitaa - bisibisi, yai viza, koleo, upupu, viwembe, nyundo, misumali, mpini nk - yaani chochote kilichombele yake anakitumia.
Hii ni tofauti kubwa na mataifa ya Magharibi kwa mfano US alikwenda IRAQ wakamaliza vita bila kuvunja vunja majumba na kuharibu miundombinu..... US pia akaenda Libya akamaliza vita bila uhalibifu mkubwa wa miundombinu kama huu hapa.
Ni kama Mrusi bado anapigana vita kizamani.
View attachment 2260433
View attachment 2260434