Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

ITAMBUE URUSI KUHUSU WAYAHUDI

Leo nimeona nijaribu kueleza kidogo kuhusu uhusiano wa Urusi na Wayahudi. Maana wapo wakenya wengi humu wanataka kupotosha jamii. Huenda kwa makusudi au kwa kutokujua.

Kwa kipindi kirefu sana tangu utawala wa Roman Empire wayahudi walisambaa sehemu mbalimbali. Walikimbia kutoka kwenye nchi wanayoishi na kwenda sehemu mbalibali duniani.

Asilimia kubwa ya wayahudi walienda Russia Empire, German na Sehemu zingine za central Europe.

Tangu kipindi cha Peter The great wa Russia Empire wayahudi waliweza kupokelewa kwa mikono miwili huko Russia. Walipewa eneo liitwalo PALE OF SETTLEMENT. Unaweza kwenda kusoma kwa kujua zaidi.

Pale of settlement ilikuwa inajumuisha New Russia (Novorossiya). Hilo eneo ndio mapambano yanokoendelea sasa.

Baada ya vita vya kwanza vya dunia Urusi ndio nchi ya kwanza kutengeneza State of Israel ndani ya Urusi. Na eneo hilo mpaka sasa lipo na linakaliwa na Wayahudi.

Wapo watu wanadhani kwamba Urusi ni nchi ya kiislam. Na mshangaa sana mtu huyo. Majority ya warusi ni wakristo wa Orthodox. Huenda watu hawa kutoka kenya hawasomi historia ya dunia. Zaidi sana wana endekeza ukabila.
 
Dunia haijasahau. Namna ya Poland walivyo waua wayahudi

Anti-Jewish violence in Poland, 1944–1946​

Wakati inaanzaishwa Soviet Union. Poland ilijitenga kutoka Russia Empire na kutangaza kuwa nchi inayojisimamia.

Baada ya vita vya pili vya dunia kulitokea vuguvugu kubwa nchini Poland la kupinga Communism. Asilimia kunwa ya wayahudi waliokuwa wakiishi Poland walikuwa Communists.

Kuna sera za kunyang'anya ardhi wageni ndani ya poland. Ndipo sasa kukatokea vurugu kubwa za kuwaua na kuwaumiza wayahudi.

Wengi walikimbia toka poland na kukimbilia Soviet Union. Lakini baada ya kunyang'anywa Palestine ardhi yake kwa nguvu mwaka 1948. Wayahudi wengi kutoka Poland walikimbilia huko.

Hawa wazungu tunawajua ni wabaguzi sana na wauaji. Kwasababu waliwaua wayahudi wengi na hawataki kabisa kukaa na wayahudi.


Baada ya migogoro mingi ya Wayahudi kuuliwa kila pande. Mapendekezo mengi yalitolewa kwamba kuwepo na eneo litakalotambuliwa kuwa ni nchi ya wayahudi. Wengine walipendekeza Uganda, wengine walipendekeza Madagascar nk.

Kazi anayoifanya Urusi ni kazi ya Mungu. Wenye upeo wa kujua mambo tunajua. Tutaendelea kuwafungua macho wasioona.
 

The Holocaust​

Haya ni mauaji ya kimbali(Genocide) yaliyofanyika nchini ujerumani mwaka 1941 - 1945. Mauaji haya ya Wayahudi zaidi ya 6,000,000.

Wayahudi waliteswa na kuuliwa. Kiongozi wa mauaji hayo ni Aldof Hitler. Hitler hakutosheka kuwaua wayahudi ndani ya nchi yake. Aliamua kuwatafuta pande zote za dunia. Soviet Union ilikuwa na kiwango kikubwa cha wayahudi. Aliamua kuvamia Soviet Union ili kuwaangamiza wayahudi wote.

Alikuwa akiwa na Ideology ya NAZI kuwatesa na kuwaua wayahudi.

Kitendo hicho kicho Rais ya Ukraine alikuwa akikifanya. Rais wa Ukraine anajiita kuwa ni Muyahudi. Lakini kiuhalisia ni uongo. Yeye ni MNAZI na baba yake alikuwa ni MNAZI mkubwa tu.

Sehemu ya Ukraine mashariki inakaliwa na Warusi wenye asili ya Wayahudi. Lengo la Zelesky ni lile lile la Hitler.

Warusi wakikumbuka mauaji ya kimbali ya vita vya pili vya dunia wanaona ni bora kukomesha mapema kabla ya ideology hiyo kukua zaidi.
 
korintho 6:9 [9]Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,

Kwa hivyo kama hawataurithi ufalme wa Mungu ndio tuwalipue kwa mabomu na kuua watoto wao, mkapate darasa la Ukristo kama mnataka kujiunga, sio dini ya visasi vya kujilipua mabomu ili upewe mabikira.
Kingine, dini sio ya kulazimisha watu, hao mnaosema mashoga wa Ukraine ni haki yao kuishi watakavyo, hakuna aliyepewa jukumu la kulazimisha watu jinsi ya kuishi. Kwenye dini yenu ya waarabu mnatabia za kijinga kukata watu vichwa kisa haawabudu mambo yenu.
 

Novorossiya (New Russia)​

Hili eneo lote lilikuwa chini ya Urusi Ukraine walipewa kwa makubaliano kwamba wasiwatese watu wa eneo hilo.

Ukraine ilikuwa landlocked na haikuwa na sehemu nzuri ya kilimo.

Matokeo yake NEO Nazi wanataka kuwafukuza wakazi wa maeneo hayo wayakalie wao.

Anayechochea moto wote huo ni Poland.
 
Medvedev kashusha uzi mrefu ila nimeamua ku'copy hiki kijisehem niwaletee

We will consistently expand cooperation with our friendly countries in Asia, Africa and Latin America. We have something to offer each other.

Now it is necessary to accurately determine the possible volumes of supplies of our energy resources, including from the Arctic, in these areas.

And also to analyze in detail the prices for their products, which would meet national interests.
 
Scotland's First Minister Nicola Sturgeon has announced her intention to hold a new referendum on the country's independence

"After everything that happened – Brexit, Boris Johnson, coronavirus... – it's time to talk about how to make Scotland more prosperous and fair. It's time to talk about independence and make this choice," she said at a press conference at her residence in Edinburgh.
 


🇫🇷has increased the supply of🇷🇺gas,despite the agreement between the EU countries to reduce fuel imports, and in the future completely abandon it, writes the British newspaper The Daily Express.

"Macron betrayed Ukraine," the author of the publication Anthony Ashkenaz notes.
 

The Ukraine War has mysteriously disappeared from the front pages of the CIA’s Mockingbird Media—WHY? Is the US planning another false flag and now sees the Ukraine-Russia false flag as failed because Russia is too strong militarily and economically?​


Whatever the case, Zelensky’s blatant war lies is being exposed by the day and Europe won’t tolerate his non-stop crisis acting performed to con them out for more weapons for

a totally lost cause. The US and European countries must come to their senses. They must realize that their economies are being destroyed for a cause of no benefit at all to their countries.This war is not of benefit to their people,except to the Deep State. ​

Of course, the Democrat controlled mainstream media wants every American glued to their TV screens watching the utterly juvenile and nonsensical Jan. 6 hearing Kabuki theater.​

​

Now see the screenshots below taken from some of the Big Media front pages today,Tuesday, June 14, 2022. ​











 
Kwa hiyo lengo lako hapa ni lipi ? Yaani unataka kutuambia nini ?
 
Ukiangalia comments za pro Nato kwa sasa ni za kuonyesha hawana matumaini tena tofauti na awali wakidanganywa na kyiv independentView attachment 2260711
Kwa kipigo walichochezea anathubutu vipi kupeleka ujinga wake Russia. Watafumuliwa bomu la maangamizi hapo hapo Russia ikawe kaburi la mashujaa uchwara toka Ukraine😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…