TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,079
- 3,367
Mallard nae hadi nimemshangaaa aseeeMkuu,,ingia millard ayo ndiyo utacheka adi mbavu ziume [emoji16][emoji16] eti zaidi ya wanajeshi 5000 wa urusi wameuawa hadi jana iyo [emoji16][emoji16][emoji16] nchi za magharibi wanaendelea na Propaganda zao
sourceRUSSIA SEEMS TO REACH THE END OF HIS POWER
Watakwambia Urusi ni Noma,anakichafua haswa
Nachangamsha genge la wahuni. Hakuna kitu hapasource
Propaganda za kitoto!! hali mbaya kiuchumi kwa vita ya siku mbili?Kuandaa jeshi la askari zaidi ya laki 1 na hamsini elfu unafikiri ni swala dogo? Unajua gharama ya kila askari na gharama ya vifaa vya jeshi vyote vilivyotumika katika vita hiyo? Kiufupi Russia ishatumia gharama kubwa toka iandae uvamizi mpaka leo na hali ilivyo ni tofauti na walivyotarajia. Hata week bado warashia washaanza kuingia barabarani kuomba vita isimamishwe kutokana na hali mbaya ya kiuchumi iliyopo nchini mwao. Sasa itapofika mwezi au miezi kadhaa ijayo sijui hali itakiaje huko kwao.
OK bora we umesema ukwelNachangamsha genge la wahuni. Hakuna kitu hapa
Wanafiki waleSasa freedom of opinions/expression ambayo imekuwa ni Kama Sala kwa magharibi iko wapi hapo??
Fuatilia vizuri suala la Korea kaskazini,baada ya Trump kuwashinikiza China kuiwekea North Korea vikwazo,waliamua kuendana na Marekani anavyotaka,kuacha kustawisha silaha za nyuklia kwenye mitambo yao ya kuzalishia umeme,ndiyo maana uliona chokochoko zikasimama ghafla kukawa kimya mpaka Trump kuondoka kwake madarakani.Korea kaskazini kawekewa vikwazo mpaka kajidisconnect na Dunia na mpaka Sasa anatoboa!
Sasa Russia ashindwe Kwa lipi?Russia anajitosheleza kuliko Korea!
nyie uwa mnahujumiwa tu kila sehemu! hata Tanzania mlisema mabeberu wanatuhujumu hela ya makinikia ilitosha kila mtanzania kumiliki Noah,tuambie ikiwa uko kijijini kwenu kuna mtu ana milki Noah ya makinikia. 😁😁Ukreni kaponzwa na mabeberu wa ulaya na Amerika, walitaka wamtumie kuihujumu Russia🏃
Wewe kwenu ni Manungu Tuliani!?Fuatilia vizuri suala la Korea kaskazini,baada ya Trump kuwashinikiza China kuiwekea North Korea vikwazo,waliamua kuendana na Marekani anavyotaka,kuacha kustawisha silaha za nyuklia kwenye mitambo yao ya kuzalishia umeme,ndiyo maana uliona chokochoko zikasimama ghafla kukawa kimya mpaka Trump kuondoka kwake madarakani.
Sasa wewe huoni jamaa kapanic, vita ya siku mbili tu ashaanza kuwaza kutumia nuklia? Yani madege yake, mavifaru yake, manyambizi yake na jeshi lake kaona havifai kwahiyo anandaa nuklia kwa ajili ya kanchi kadogo kama Ukraine.Propaganda za kitoto!! hali mbaya kiuchumi kwa vita ya siku mbili?
Wengi hawajui wanachozungumza, Ni uropokaji tu.OK bora we umesema ukwel
Mkuu suala la vikwazo tulisikie tukiwa mbali hivi,ukiishi kwenye nchi iliyowekew vikwazo ni nusu jehanam,hebu angalia vikwazo Russia anaenda kuwekewa vinaensa kuwarudisha nyuma sana,ndiyo maana wameikubali kukaa mezani na Ukraine kwa mazungumzo. huko North Korea hakuna issue kabisa wananchi wake wanamaisha ya hovyo kabisa,nchi ikiongizwa na dikteta huwa wananchi ndiyo wanao suffer.Vikwazo mnaogopa nyinyi dunia ya tatu, Urusi ukimwekea vikwazo ndipo anazidi kuumiza kichwa.Refer Korea Kaskazini.
Manungu Tuliani kuna uhusiano gani na mada inayoendelea?Wewe kwenu ni Manungu Tuliani!
Hii Court inanguvu kwa viongoz wa africa tuuInternational court prosecutors kumfungulia case ya mauaji Putin na kuanzisha vita na nchi nyingine bila sababu yoyote .View attachment 2135074View attachment 2135074View attachment 2135074View attachment 2135075View attachment 2135076