LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Watakwambia Urusi ni Noma,anakichafua haswa

wanakuambia Urusi haipo kwenye vita kamili at the same time tunaona misururu ya Magari makubwa yakipeleka wanajeshi Ukraine ila ziro brains wanasema hiyo ni unit tu kama wasiojulikana kwa Tanzania, vita kamili bado. Kwao vita kamili ni putin mwenyewe kushika AKA 47 ndiyo inakuwa vita sasa.
 
Kuandaa jeshi la askari zaidi ya laki 1 na hamsini elfu unafikiri ni swala dogo? Unajua gharama ya kila askari na gharama ya vifaa vya jeshi vyote vilivyotumika katika vita hiyo? Kiufupi Russia ishatumia gharama kubwa toka iandae uvamizi mpaka leo na hali ilivyo ni tofauti na walivyotarajia. Hata week bado warashia washaanza kuingia barabarani kuomba vita isimamishwe kutokana na hali mbaya ya kiuchumi iliyopo nchini mwao. Sasa itapofika mwezi au miezi kadhaa ijayo sijui hali itakiaje huko kwao.
Propaganda za kitoto!! hali mbaya kiuchumi kwa vita ya siku mbili?
 
Korea kaskazini kawekewa vikwazo mpaka kajidisconnect na Dunia na mpaka Sasa anatoboa!
Sasa Russia ashindwe Kwa lipi?Russia anajitosheleza kuliko Korea!
Fuatilia vizuri suala la Korea kaskazini,baada ya Trump kuwashinikiza China kuiwekea North Korea vikwazo,waliamua kuendana na Marekani anavyotaka,kuacha kustawisha silaha za nyuklia kwenye mitambo yao ya kuzalishia umeme,ndiyo maana uliona chokochoko zikasimama ghafla kukawa kimya mpaka Trump kuondoka kwake madarakani.
 
Ukreni kaponzwa na mabeberu wa ulaya na Amerika, walitaka wamtumie kuihujumu Russia🏃
nyie uwa mnahujumiwa tu kila sehemu! hata Tanzania mlisema mabeberu wanatuhujumu hela ya makinikia ilitosha kila mtanzania kumiliki Noah,tuambie ikiwa uko kijijini kwenu kuna mtu ana milki Noah ya makinikia. 😁😁
 
Fuatilia vizuri suala la Korea kaskazini,baada ya Trump kuwashinikiza China kuiwekea North Korea vikwazo,waliamua kuendana na Marekani anavyotaka,kuacha kustawisha silaha za nyuklia kwenye mitambo yao ya kuzalishia umeme,ndiyo maana uliona chokochoko zikasimama ghafla kukawa kimya mpaka Trump kuondoka kwake madarakani.
Wewe kwenu ni Manungu Tuliani!?
 
Propaganda za kitoto!! hali mbaya kiuchumi kwa vita ya siku mbili?
Sasa wewe huoni jamaa kapanic, vita ya siku mbili tu ashaanza kuwaza kutumia nuklia? Yani madege yake, mavifaru yake, manyambizi yake na jeshi lake kaona havifai kwahiyo anandaa nuklia kwa ajili ya kanchi kadogo kama Ukraine.
 
images (24).jpeg

images (21).jpeg

images (23).jpeg

images (25).jpeg

images (22).jpeg

images (26).jpeg

images (20).jpeg

images (19).jpeg


images (21).jpeg
 
Vikwazo mnaogopa nyinyi dunia ya tatu, Urusi ukimwekea vikwazo ndipo anazidi kuumiza kichwa.Refer Korea Kaskazini.
Mkuu suala la vikwazo tulisikie tukiwa mbali hivi,ukiishi kwenye nchi iliyowekew vikwazo ni nusu jehanam,hebu angalia vikwazo Russia anaenda kuwekewa vinaensa kuwarudisha nyuma sana,ndiyo maana wameikubali kukaa mezani na Ukraine kwa mazungumzo. huko North Korea hakuna issue kabisa wananchi wake wanamaisha ya hovyo kabisa,nchi ikiongizwa na dikteta huwa wananchi ndiyo wanao suffer.
 
Russians receive massive calls with a message from Zelensky.

There is a short call to stop the events in Ukraine, to take the soldiers home, as well as information about the victims.

RUSSIA
 
Back
Top Bottom