Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The head of the Pentagon said that it is impossible to weaken the supply of weapons to Kyiv, since "the stakes are too high."

According to him, the United States expects that the MLRS supplied by the Armed Forces of Ukraine will significantly strengthen the potential of the Ukrainian troops, and such military assistance will continue.

 
i Huwa sipendi kujadiliana na wewe ...lakini Hilo la kusema sijui akina Nani tuwaache waishi watakavyo siwezi kukubaliana nayo...Mungu ameumba mwanamke na mwanaume na kwa wanyama hivyo hivyo yaani jike na dume..

Uliwahi kuona wapi jogoo anammendea au kumfukuza jogoo mwenzake kwa Mambo ya kufanya mapenzi?! Uliwahi kuona wapi dume la ng'ombe linampanda dume jingine?!?! Haiwezekani!!!!
Sasa eti binadamu ndiyo tufanye hivyo zaidi ya wanyama?!
 
Nilikuwa najiuliza, inakuwaje tena wanajeshi wa Ukrain wanazingirwa?

Nilidhani walijifunza kule Mauriupol, lakini wamezingirwa tena huko Zeveredonesk katika kiwanda cha kemikali cha Azot!

Mimi kama upande wao wananikatisha tamaa kwakweli!

Inakuwaje unaona kabisa eneo ulipo limezungukwa robo tatu, lakini wewe unaendelea kuwa katikati tu, kwa nini hawarudi nyuma na kuachia eneo lichukuliwe na Urus kwanza ili wajipange?

Hakika wanajeshi wa Ukrain ni wazalendo sana, wanapigana kwa moyo mmoja. Hebu fikiria Urus anarusha makombora kudhoofisha kwanza, lakini wanajeshi wa Ukrain wanaendelea kupigana tu!

Watanzania tujifunze uzalendo wa vitendo kama wanajeshi wa Ukrain.
 
Urusi imetumia yale makombora yake pendwa ya Kalibr cruise missiles kuchoma na kuziteketeza silaha za Marekani na NATO walizopeleka Ukraine. Ktk silaha zilizochomwa ni pamoja na mizinga iliyopelekwa ili itumiwe na howitzers za Marekani.

Zelensky akiri shambulio hilo na asema limefanya uharibifu mkubwa. Zele asema wamejitahidi kuyazuia hayo makombora ya Kalibr ya Putin lakini yamepenya na kusababisha maafa na uharibifu mkubwa.

 
OFFICIAL STATEMENT : A week ago our team ended up isolated in the middle of a Russian Offensive. Bama and Hate, 2 of our American brothers, were captured.

We have not since heard anything about their well being. The information was confirmed by the Ukrainian intelligence.
 
Oyaaaaa leo nina furaha kuliko siku zote [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]

[emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji3538][emoji3538][emoji3538]2 former U.S. service members captured by Russian forces near Kharkiv[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
 
Wanajeshi wawili wa Marekani (Robert Drueke-mwenye umri miaka 39, na Andy Huynh-mwenye umri miaka 27) washatiwa nguvuni na majeshi ya Urusi...

Gazeti la Uingereza lasema waMarekani hao walijitia kushambulia kifaru cha majeshi ya Urusi Ukraine, majeshi ya Urusi yakawapelekea kimbunga cha moto wa makombora na mizinga hatimae wakapoteana na wenzao, kisha wakakamatwa.

Wanahofiwa kuhukumiwa kifo kama wale wanajeshi wawili wa Uingereza waliokamatwa April na kuhukumiwa juzi kati hukumu ya kifo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…