Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

wameunganisha dot ambapo mwanzoni Putin aliwaambia Ukraine kuwa ardhi itakayochukuliwa na Russia haita rudishwa kabisa na itakua mali ya Russia au Donbass na juzi Medvedev amewaambia Ukraine kuwa wasitarajie kwa muda wa miaka miwili ijayo kutakua na Taifa linaloitwa Ukraine.

Nchi za ulaya wameona kwa kauli hizo wanaweza kosa angalau kidogo kilichokuepo.na km ujuavyo Russia hataniagi kwenye matamshi yake.
 
Sio kwamba hawajitoi ni kwamba wako kwenye mtego wa us tayari mapapet kila mahali kupitia ile mikataba ya kiusalama.

German na Japan walikua tishio kubwa sanaa kijeshi unamfahamu hitler na mwenzie sato hirosh sasa baada ya kushindwa katika vita walipewa mipaka ya kumiliki nguvu za kijeshi,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ni sawa na mwanaume asie na nguvu za kiume.

Wana lao kichwani ni suala la muda tu.
 
Unamjua atakae kuja ni mbabe kuliko putin
 
Hua nashanga kuona ndege za Ukraine zinapigwa haziishi,sisi tunaambiwa kwa E/Africa mwenye airforce Kali Ni Uganda kisa ana ndege 6(sita tu) zile sukhoi su-30 ,πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Ukraine ilijipanga Sana kwa Silaha,Ila ndio hivyo tena imekutana na muhuni aliyeshindikana kwa miaka mingi.
 
Ask Q,katoa nondo nzury sana mie kabla ya kuipitia nilishusha like kwanza. Cjui ma pro (nato)hata yataelewa hapa.
 
Ministry of differenceπŸ˜…πŸ˜…
 
Alionywa hakusikia.. Yaani kwakuwa we nyumba ni yako nikuonye usipangishe majambazi watakuja kutusumbua mtaani we aumue kuwapangisha tena kwa nyofo alafu uingie kwenye anga zangu utake nisikubonde??
Mkuu umenifanya nicheke sana.

Kwamba kisa kwako(Ukraine) ndo ulete jambazi(NATO) linalowinda maisha yangu(Russia)? Lazima nikuchape wewe(Ukraine)+Jambazi(NATO) [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji3538][emoji3538][emoji3538]US President Biden asked his subordinates not to go too far in the rhetoric about supporting Ukraine, not to give rise to unrealistic expectations and not to provoke Russia[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
Janja janja nyingi wataongeza silaha tu kimyakimya . Sema askari wa Ukraine wanajikamatisha mateka huko mapangoni wanajua ndio usalama wao. Hivi hao wa Azot nini kimeendelea
 
Ilikua lazima kuwawahi hata hivyo Russia alichelewa kidogo walishajiunda sana na ndio kiburi cha zelensky
 
Nakubaliana na wewe mia kwa mia.
Ukraine walijizatiti kisilaha vibaya sana.
Urusi aliijua vizuri sana Siri hii.
Ukraine Amekua akifundishwa na USA na UK na NATO kwa mda mrefu.
Malengo ya kuwafundisha sijui ni Nini.
Urusi ana Kila sababu ya kuhofia.
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€­πŸ€­πŸ˜œπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…