Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huh me nadhani wanaongopea Raia wa Ukraine na huko West silaha zinakotoka ila hao Viongozi wanajua kila kitu.

Mi6, Mossad, Pentagon, BND na wengineo wote hao wadanganywe na Zele? never ever!

Acha waendelee kutakatisha fedha zao tu maana Ukraine ndio kiwanda chenyewe!

Jackal yule msoma taarifa za vifo kama redio oneπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚au ndio kitengo walichompangia,wanamtesa kisaikolojia mtoto wa watu.
Yule kitengo hicho kinamfaa sana... Ni marketer mzuri mno!

πŸ€—
 

Sijaelewa nini unachojaribu kusema, ila ukweli unabaki ule ule, Urusi kwa aibu amelemewa Kyev, vitisho vyote alivyoanza navyo na kutubabaisha kaishia kwenye tumiji twa huko ambapo na twenyewe tumempa tabu balaa.
 
Pole mkuu jitahidi kulala ama sivyo utapata uchizi Bure. Hao wazungu achana nao tafuta fedha utoke kwa shemeji.

Wanatupea burudani sana, yaani movie live, kwa kweli bila wazungu maisha yangekua boring sana, maana kila kitu unachokitumia hapo kwa namna fulani kimetoka kwa akili za hawa jamaa, hata waarabu wanategemea sana akili za wazungu.
Na ndio maana wazungu wakilumbana inabidi dunia isimame kwanza.
 
Unatapatapa.
Eti

Sizitaki mbichi hizi
 
Aha ha!!! Aibu mnayo nyie mlioshindwa kuteka kataifa jirani licha ya kupoteza majenerali na hasara za kila aina, yaani sio furaha nilio nayo hapa.....poleni tatizo mlichagua kushabikia supapawa wa hovyo, hata waarabu na waajemi watamhama Huyu.
Aisee unajua sana kujitia moyo na kujifurahisha...
 
Unatapatapa.
Eti

Sizitaki mbichi hizi

Angalia ramani, kuna eneo kubwa sana Ukaine hawana hata habari kuna vita, wanalala na kula na kunywa na maisha yanaenda, ilipaswa kufikia sasa hapo Kyev pamefunikwa na uongozi mpya wa Urusi kama kweli hiyo Urusi ingekua ile huwa tunaaminishwa....
Walijaribu kuparamia Kyev wakaangukia pua...na mpaka sasa wamepoteza majenerali kama senene

 
Aisee unajua sana kujitia moyo na kujifurahisha...

Nina furaha sana sio uwongo, maana nilikua nimeingiwa sana na hofu siku ya limsafara....
Hii picha ya huu msafara iliogofya sana, ukizingatia nyuzi za Warusi humu zilirindima balaa



Baadaye ikawa hivi

 
ni kweli kabisa, ila hakuna mwanadamu yoyote pamoja na mimi nilitegemea vita itakwenda wiki ya 20 sasa !! yote yawezekana who knows.

Kweli kabisa mkuu,yaani USA+France+ UK+NATO,waliipiga lraq siku mbili Tu,Ila Russi peke yake tu sasa ni siku 100+ hajachukua hata Jimbo moja wala bandari😎😎🀣🀣
 
Sijaelewa nini unachojaribu kusema, ila ukweli unabaki ule ule, Urusi kwa aibu amelemewa Kyev, vitisho vyote alivyoanza navyo na kutubabaisha kaishia kwenye tumiji twa huko ambapo na twenyewe tumempa tabu balaa.
huwezi elewa ukizidisha mahaba binafsi, wewe ndo unasema kaishia tumiji pembezoni lakin ukumbuke kuwa ulikuwa hujui mpango na mbinu anayoenda nayo Russia ata west na USA hawakujua Russia wanajaribu kufanya nn...
anyway : mimi najaribu kuwa realistic thinker na sio upendeleo, najaribu kufikiri tu ingekuwa nafasi ya RUSSIA ndo USA nini kingeeendelea ground
 

Mpango upi nakumbuka alivyompa Zelensky masaa 24 aachie ngazi, leo hii imeshindikana mumeanza kutuambia mipango, hovyoo sana eti supapawa kashindwa kufunika kataifa kadogo jirani na ameingia hasara mpaka basi.
 
Kila akiibuka nasikitika kutangaza kifo cha mageneral wa Russia mpaka sasa ni 150.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mpango upi nakumbuka alivyompa Zelensky masaa 24 aachie ngazi, leo hii imeshindikana mumeanza kutuambia mipango, hovyoo sana eti supapawa kashindwa kufunika kataifa kadogo jirani na ameingia hasara mpaka basi.
Waambie nato waunde tena silaha. Silaha zao zimeonesha udhaifu mkubwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nilikuwa najiuliza kwa nini kenya inapigwa na kundi dogo kama AL shabab sasa nimegundua kuwa mna nunua weapons kutoka nato ambazo ni makopo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nina furaha sana sio uwongo, maana nilikua nimeingiwa sana na hofu siku ya limsafara....
Hii picha ya huu msafara iliogofya sana, ukizingatia nyuzi za Warusi humu zilirindima balaa



Baadaye ikawa hivi

ilikuwa ni operation ya masaa 72, lakini sasa imekuwa wiki ya 20 ngoma bado isambe !! Vita haiishi leo wala kesho na huu ni mpango wa kumshosha Mrusi huku Ukraine ikipokea ma $ kwa mamillion week in week out.
 
Kweli kabisa mkuu,yaani USA+France+ UK+NATO,waliipiga lraq siku mbili Tu,Ila Russi peke yake tu sasa ni siku 100+ hajachukua hata Jimbo moja wala bandari😎😎🀣🀣
Luhansk and Donetsk regions are in Russian control.
 
ilikuwa ni operation ya masaa 72, lakini sasa imekuwa wiki ya 20 ngoma bado isambe !! Vita haiishi leo wala kesho na huu ni mpango wa kumshosha Mrusi huku Ukraine ikipokea ma $ kwa mamillion week in week out.
Kupigwa kwa siku 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…