Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Hapa iko hivi,View attachment 2264228
[emoji23][emoji124]
🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩Hiii ndio yenyewe sasa etiii 😂😂😂😂😂
Jamaa akinuna anatisha haswa🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩Hiii ndio yenyewe sasa etiii 😂😂😂😂😂
Ngoja nijaribu wanachozungumza apo,
Hata siwezi wataalamu wa izi shughuli ipeni neno hii picha😂😂😂😂ziwakere upande wa pili.
Mimi naishia kucheka tuu.
Yaàni sio wa kispoti kabisaa sura ya kazikazi,apo naona kapewa intel imemuingia haswaa anajisemea tumechukua nini chao mbona wanatuandama ivi na sisi hua tunafanya yetu tuu.Jamaa akinuna anatisha haswa
Unateseka kutokea wapi MKUU[emoji23][emoji3][emoji23]Haki ya kuvamia nchi nyingine?kama mliweza kuilaani marekani dhidi ya,Iraq,afghan na libya,vipi kwa urusi ukakasi unatokea wapi!udini,ushabiki usio na mizani ndio tatizo kwenu.
Bonyokwe🤣🤣🤣Unateseka kutokea wapi MKUU[emoji23][emoji3][emoji23]
🥱Yaàni sio wa kispoti kabisaa sura ya kazikazi,apo naona kapewa intel imemuingia haswaa anajisemea tumechukua nini chao mbona wanatuandama ivi na sisi hua tunafanya yetu tuu.
HahahahahaKwamba "Vikosi vya Lugansk Vinadai kua kuna idadi kubwa ya mamluki (Mercenaries) kutoka Amerika, Uingereza na Poland na kuna mamluki wapatao 30-40 wa Marekani huko Severodonetsk wamezingirwa..."
Mdau Morogoro kaskazini usiwe unasahau lugha ya Taifa!
Duh, huu sasa ukorofi [emoji41]Kwenye mkutano wa leo Putin pa1 na Rais wa Kazakhstan wametumia masaa ma4 kasoro wakijibu maswali ya hapa na Pale. Babu Joe hata dk 20 hakatizi
View attachment 2264233
Sijakuelewa mangi🥱
Shangazi nawe unafaa kutumika kutetea walio nyuma yako. Vipi upo tayari nikubebeshe mzigo uanze kazi? Kuna docs nyingi sana zinahitaji utekelezwaji 📝
Angalau mnaanza kuingia akili ss [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu, anatakiwa kukimbia Ukraine ndo tuseme kachapwa. Sasa kichapo cha ripoti za kwenye pdf na A4 paper na picha. ANATAKIWA APIGWE AKIMBIE.
😂😂😂😂katikati ya maongezi emeshasahau anaongea nini na nani?Kwenye mkutano wa leo Putin pa1 na Rais wa Kazakhstan wametumia masaa ma4 kasoro wakijibu maswali ya hapa na Pale. Babu Joe hata dk 20 hakatizi
View attachment 2264233
PUTIN: Sasa skia naona tuchukue tuu Donetsk na luhansk Mkuu au unaonaje?
Hili anguko la US na shosti zake[emoji23][emoji23][emoji16][emoji842][emoji842][emoji842]
[emoji630][emoji635] China is ready to supply spare parts for aircraft to Russian airlines.
There are no restrictions from Beijing on this issue, said Chinese Ambassador to Moscow Zhang Hanhui.
[emoji23][emoji23][emoji23]Too sad!
Nearly 500 Ukrainian families left to live on the streets in the UK after refugee sponsors they met on Facebook kick them out of their houses.
— British media
Nimeiona MKUU jamaa kapiga kwenye UGOKO[emoji3][emoji23][emoji16]Shuka shuka chini mwamba Ask-Q kaweka mzigo wote hapo kuanzia post ya #50926. Kazungumza mengi ila kwa lugha ya mkato ni kua kawavua nguo west ha ha.
Kilichofuata ITV [emoji116][emoji116][emoji116]Hapa iko hivi,
Putin: Mdogo wangu achana hao,
Medvedev: Bro kiukweli nimekereka, nipe samart moja tu, yan Moja tu bro nikiwashe nipoze Morali.
Ukishamaliza tunasema UKRAINE waendelee kupigwa na kuteseka haswaaaaaa
PUT IN aendelee kuwafinya HASWAAAA