Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nyie kenya mbona wa wanamgambo wamewashinda miaka 6 sasa mko somalia

Hatukwenda kumuondoa rais wa Somalia....kama ambavyo huyo mtume wenu Putin alidhani itakua rahisi Ukraine.
 
Bora umechagua ule wimbo wa
[emoji443]Raha jipe mwenyewe[emoji444]
Maana ungeteseka sana ulitegemea USA angeweza kusaidia pamoja na silaha nyingi zinaishia kuteketezwa.
Jipe raha usije kupata SONONA

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app

Sielewi unachokisema, ila mkiiteka Kyev nitawaelewa.
 

Haijalishi, nilipenda sana Ukraine walifaulu kulinda mji wao dhidi ya supapawa mchongo, amekwenda kuparamia tumiji twa mbali huko.
 
Sasa hapa umeandika niny?hiki
 
Naona huyo muwakilishi wa zelensky anaota,au anataka kufanyiwa assasination kwa sumu ya novichoki.
 
Mkuu hawa wayahudi,inaonekana historia yao inamkanganyiko sana.
 
Hapa kapiga kwenyewe!!! Na wanafanya uhuni hao west, hizo karAtasi wanazotoa kubeba dhahabu na bidhaa nyingine ya chakula kutoka nchi nyingine wanakwenda kuzichukua kupitia eti wataalamu wa ufundi wanaowapeleka huko na pia wanatumia figisu nyingine kibao za miamala kukwapua karatasi hizo
 
Huo ndio uchumi wa kweli. Kumbe hapo Unyamwezini walikuwa wao wana print hela tu zikipungua wana print tena dah😂😂😂 ndio maana maisha yalikuwa matamu sana aisee
 
Hayo
Hayo ndiyo mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…