Achaga hizo mambo we dhalimu usie na aibu
Waislamu walioko vijijini hata hii habari hawaijui unawatukania nini?
Mbwakoko akiwa kwenye imaya yake ni kawaida kuwa na mikwara mbuziJeshi la Nato linafanya mazoezi Makubwa ya kijeshi Karibu na Urusi.
View attachment 2267160
Download
720
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hodi hodi naingia, uwanjani nimetua
Putin katufungua, Wote tumejionea
Beberu limepotea, Limebaki kujinyea
Kweli ngoma ya watoto, Siku zote haikeshi
Kelele tulisikia, Mashoga walizipiga
Wakoloni kuingia, Ili ngumi kuzipiga
Ona sasa wanalia, Kiatu kina mchanga
Kweli ngoma ya watoto, Siku zote haikseshi
Ujanja wa marekani, Wa kuchapisha mapesa
Sasa hatupo gizani, Urusi anatukosha
Sisi siyo masikini, Ujinga tunakomesha
Kweli ngoma ya watoto, Siku zote haikeshi
Leo ndio nimeona umuhimu wa kupanda mabasi ya njano.. [emoji817]Na mie nomba nizungumze kitu tuendelee kuwaumbua hawa matajiri wa mchongo [emoji23]
Ndugu zangu turudi tena tuigusie ile principle yetu pendwa ya Demand and Supply.
Leo tuizungumzie katika muktadha wa mzani... Demand ikiwa mkono wa kushoto na Supply ikiwa mkono wa kulia. Halafu zile Movement za Up and Down za Mzani tuzipatie jina la Value ili mfano wetu rahisi uweze kueleweka kwa kila mtu.
Unapoweka jiwe la kilo 1 upande wa kushoto, hiyo tuiite demand. Kama upande wa kulia hakuna "Kitu" chenye uzito sawa na ule wa kushoto "demand" basi mzani wako utapanda juu, maana ake sasa value inaongezeka.
Utakapoanza kujaza upande wa kulia taratibu mzani utaanza kushuka hadi itafikia hatua unakuwa balanced. Yani kulia na kushoto kunakuwa sawa.
Kabla hatujaendelea niwahamishe kidogo, Wengi mmekua mkisikia neno Stable Currency, Stable Currencies ni fedha ambazo zinamaintain Value in long term. Haz'fluctuate mara kwa mara.
So ukirejea kwenye mfano wetu wa mzani ni kua, Upande wa kulia na kushoto, rate ya demand na supply zinawiana.
Hapa sasa ndipo ilipo hoja ya kuumbua taifa flan. US Dollar ni free float currency, ni Currency ambayo haipo pegged to anything. value yake inategemea Market force, that's demand.
Katika miaka ya hapo nyuma tumeshuhudia US ambavyo amekua akiforce matumizi ya hela yake duniani kote hivyo kuiweka USD in high demand.
Huu mwanya kwa ambao walikuwa hawajui, ndio mwanya aliotumia US kuchapisha fedha zake kila mwaka unnoticed kwa walio wengi.
Nyakati ambazo anaforce 'demand', nikiwa na maana ya matumizi ya ela yake. Upande wa kushoto anaongeza Supply ya dollar kwa kuichapisha zaidi hivo value kua almost the same ndani ya kipindi kirefu.
Ukirudi kwenye mzani ni sawa na kuongeza jiwe la robo kilo upande wa kulia kisha kujaza unachojaza upande wa kushoto mzani uendelee ku-balance.
Na hali hii inatoa majibu, kwanini Petro-Dollar ikifa, inasepa na uchumi wa US. Ndio Petro Dollar ikisepa maana ake demand inapungua, hapo ni sawa na kupunguza jiwe upande wa kushoto hivo mzani unashuka chini.
Nini kitatokea, ni kwamba zile fedha zilizokua zikiingizwa kwenye mzunguko kila mwaka hakutakuwa na demand ya kuzifunikia. Matokeo yake ile budget ya ma-trillions of dollar will be no more [emoji23].
Chukulieni mfano zile dolla trillion 3 zilizochapishwa ndani ya miezi kama mi3 hivi. Hizo zinaongezwa kwenye Uchumi wa US, Pro west waendelee kukaza mafuvu kutwambia Uchumi wa California ni mkubwa kuliko wa Russia.
Huh na sasa imekua rahisi kuwaeleza hili kutoka kwenye Ruble ya Mrusi.
Value ya Ruble imekua ikiongezeka kila siku kutokana na demand kua kubwa as we know, petro-ruble kwa mazeru zeru wa EU while supply ikiwa ile ile ya mwanzo (Means hakuna ongezeko la uchapishaji note za rubble) hivyo value yake inaenda inapanda tu.
Lau kama US asingekuwa anachapisha fedha, akaendelea kukomalia matumizi ya fedha zake bas leo hii dola 1 ingebadilishwa kwa pesa ndefu sana mithili ya Bitcoin.
Sasa hizo printed paper anazozijazia kwenye supply, anazidumbukiza kwenye uchumi wake, Day to day anaonekana ni Trillions dollar economy by far kuliko mataifa mengine.
Siku zijazo, Russia nae ataweza kujifanyia yake. Katika kuzuia ongezeko zaidi la thaman ya Ruble, atafanya kuongeza Ruble zingine kwenye mzunguko. Ili kuikeep Ruble ndani ya range ya value flan.
You know what it means [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni Skyrocketing of Russia's economy as government itakuwa na fedha nyingi sana za kutumia!
Hii issue nataman tungekua tumekaa mahala tunaizungumza, maandishi hayamalizi kila lililomo kichwani.
I am glad people are now understanding the West and its' evil empire built on lies and deceit.My congratulations goes to the Russia-Ukraine conflict.Na mie nomba nizungumze kitu tuendelee kuwaumbua hawa matajiri wa mchongo π
Ndugu zangu turudi tena tuigusie ile principle yetu pendwa ya Demand and Supply.
Leo tuizungumzie katika muktadha wa mzani... Demand ikiwa mkono wa kushoto na Supply ikiwa mkono wa kulia. Halafu zile Movement za Up and Down za Mzani tuzipatie jina la Value ili mfano wetu rahisi uweze kueleweka kwa kila mtu.
Unapoweka jiwe la kilo 1 upande wa kushoto, hiyo tuiite demand. Kama upande wa kulia hakuna "Kitu" chenye uzito sawa na ule wa kushoto "demand" basi mzani wako utapanda juu, maana ake sasa value inaongezeka.
Utakapoanza kujaza upande wa kulia taratibu mzani utaanza kushuka hadi itafikia hatua unakuwa balanced. Yani kulia na kushoto kunakuwa sawa.
Kabla hatujaendelea niwahamishe kidogo, Wengi mmekua mkisikia neno Stable Currency, Stable Currencies ni fedha ambazo zinamaintain Value in long term. Haz'fluctuate mara kwa mara.
So ukirejea kwenye mfano wetu wa mzani ni kua, Upande wa kulia na kushoto, rate ya demand na supply zinawiana.
Hapa sasa ndipo ilipo hoja ya kuumbua taifa flan. US Dollar ni free float currency, ni Currency ambayo haipo pegged to anything. value yake inategemea Market force, that's demand.
Katika miaka ya hapo nyuma tumeshuhudia US ambavyo amekua akiforce matumizi ya hela yake duniani kote hivyo kuiweka USD in high demand.
Huu mwanya kwa ambao walikuwa hawajui, ndio mwanya aliotumia US kuchapisha fedha zake kila mwaka unnoticed kwa walio wengi.
Nyakati ambazo anaforce 'demand', nikiwa na maana ya matumizi ya ela yake. Upande wa kushoto anaongeza Supply ya dollar kwa kuichapisha zaidi hivo value kua almost the same ndani ya kipindi kirefu.
Ukirudi kwenye mzani ni sawa na kuongeza jiwe la robo kilo upande wa kulia kisha kujaza unachojaza upande wa kushoto mzani uendelee ku-balance.
Na hali hii inatoa majibu, kwanini Petro-Dollar ikifa, inasepa na uchumi wa US. Ndio Petro Dollar ikisepa maana ake demand inapungua, hapo ni sawa na kupunguza jiwe upande wa kushoto hivo mzani unashuka chini.
Nini kitatokea, ni kwamba zile fedha zilizokua zikiingizwa kwenye mzunguko kila mwaka hakutakuwa na demand ya kuzifunikia. Matokeo yake ile budget ya ma-trillions of dollar will be no more π.
Chukulieni mfano zile dolla trillion 3 zilizochapishwa ndani ya miezi kama mi3 hivi. Hizo zinaongezwa kwenye Uchumi wa US, Pro west waendelee kukaza mafuvu kutwambia Uchumi wa California ni mkubwa kuliko wa Russia.
Huh na sasa imekua rahisi kuwaeleza hili kutoka kwenye Ruble ya Mrusi.
Value ya Ruble imekua ikiongezeka kila siku kutokana na demand kua kubwa as we know, petro-ruble kwa mazeru zeru wa EU while supply ikiwa ile ile ya mwanzo (Means hakuna ongezeko la uchapishaji note za rubble) hivyo value yake inaenda inapanda tu.
Lau kama US asingekuwa anachapisha fedha, akaendelea kukomalia matumizi ya fedha zake bas leo hii dola 1 ingebadilishwa kwa pesa ndefu sana mithili ya Bitcoin.
Sasa hizo printed paper anazozijazia kwenye supply, anazidumbukiza kwenye uchumi wake, Day to day anaonekana ni Trillions dollar economy by far kuliko mataifa mengine.
Siku zijazo, Russia nae ataweza kujifanyia yake. Katika kuzuia ongezeko zaidi la thaman ya Ruble, atafanya kuongeza Ruble zingine kwenye mzunguko. Ili kuikeep Ruble ndani ya range ya value flan.
You know what it means πππ