Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii dola ipo kwenye majaribu
 
Putin ndio useless, anaogopa NATO mpaka anabwekea vinchi vidogo vidogo
 
haya Mambo ya kupangiana cha kufanya ndio hatuyataki. Hiyo NWO ingefanikiwa hadi haja tungepangiwa utasikia saa tatu asubuhi wote tuwe njoo kwa haja kubwa au Leo hakuna kula Sana.
 
Ns hata kama wameondoa chakula chetu kwenye vikwazo sharti letu ni lile lile hatuuzi kwa dollar sharti ni uje ununue kwa Ruble kama hawataki waende kwa shoga yao mmarekani
 
Tunapeleka meli kubwa nyingine ikapige mabomu zaidi UkraineView attachment 2267774
Ukiwa Askari mama Wala baba ako Hana mamlaka ya kukuzuia we'we kwenda vitani. Usiende vitani nchi alinde Nani? Na usipoenda we'we wale waendao ina maana hawana wazazi?
Ujeshi Ni moja ya kazi ngumu Sana ambayo Raia wa kawaida wasiojua viapo na maadili hurahisisha kila Jambo kws kufikiri jeshi Ni Kama kuomba kura kwa wananchi
 
Kesho tarehe 22 itakuwa miezi minne imekatika rasmi tunaingia mwezi wa tano wa vita. Hii dunia ina mbabe mmoja tu, US. Pesa anazo na jeshi analo.
Ndio c anajiprintia atakavyo,napia anapokua vitani anatumia siraha za sumu bila kusahau bomu la nyuklia huko nagasaki japan kweli ni mbabe sana. Lakin sishangai ni zaidi ya miaka arobaini kashindwa kulivamia taifa la irani kijeshi licha ya kulizunguka na kambi zake nyingi za kijeshi,hapo mashariki ya kati. Napia iran kupiga kambi zake huko Iraq bado anajishauri kumvamia iran kweli marekani ni mbabe kabisa.
 
⚡⚡⚡Russia has told the UK it will “physically cease to exist” if World War 3 were to break out.

In retaliation to comments made by British General Sir Patrick Sanders, where he called on soldiers to prepare to fight in "Europe once again", Russian Lieutenant-General Evgeny Buzhinsky told local state TV that the UK “will vanish” as a result of a war.

Mr Buzhinsky said: “He doesn’t understand that as a result of the Third World War Britain will physically cease to exist.

@LLSeniors
 
US Wants to Cap Russian Oil Revenues

US Treasury Secretary Janet Yellen said on Monday talks are continuing with allies to further restrict Russia’s energy revenues by imposing a price cap on the country’s oil.

“We are continuing to have productive conversations, today and with our partners and allies around the world with how to further restrict energy revenues to Russia while preventing spillover effects to the global economy,” Yellen said during a press conference. “We are talking about price caps or a price exception…”.

The United States, Canada, the UK and some other countries have banned imports of Russian oil, while the EU, which remains highly dependent on Russian energy supplies, agreed on a partial block by the end of 2022.

Credit:RT
Nalog off Z
 
Na suala la kuungana mataifa 30 against one nation unalizungumziaje dada
Mataifa 30 acha uwongo .Wanaopigana ni Urusi na Ukraine
Hao wengine washabiki tu .Alafu leee mnamsifia Putin kwa.lipi kajiandaa 6 months na vifaa mnavyosema best zaidi ya NATO todate hata nyumba ya mkulima ukraine hajaimiliki
 
Russian forces are advancing in eastern Ukraine, capturing territory along a frontline river while the port of #Odesa has come under missile fire on Monday. Ukrainian President Volodymyr #Zelenskyy predicts escalations ahead of a European leaders’ summit where they are expected to welcome Kyiv's bid to join the EU.
Forces loyal to Russia have been said to have captured Toshkivka, a town south of #Sievierodonetsk, which has become the main battlefield city in recent weeks.
A food warehouse in Ukraine's most prominent Black Sea port in Odesa was destroyed in a Russian missile attack on Monday, according to the Ukrainian military. #Russia #Ukraine #CGTNAmerica
 
👏👏👏👏👏🤝🤝🤝🤝
 
😯😯😯😞😞😞🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…