Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Waifute tu Kwenye Ramani.
 

⚡⚡⚡Asia is buying discounted Russian oil, making up for Europe’s cutbacks.

Jim Rickards: "Russia is making more money than ever selling oil to Asia instead of Europe. This is exactly the result many of us predicted when Biden's sanctions began. Europe will now go into recession while preparing to freeze in the dark this winter. Nice job, Joe."

Russian crude sales dropped by 554,000 barrels a day to Europe from March to May, while Asia refiners increased their take by 503,000 barrels a day — nearly a replacement of one for one.

@LLSeniors
 
Mataifa 30 acha uwongo .Wanaopigana ni Urusi na Ukraine
Hao wengine washabiki tu .Alafu leee mnamsifia Putin kwa.lipi kajiandaa 6 months na vifaa mnavyosema best zaidi ya NATO todate hata nyumba ya mkulima ukraine hajaimiliki
,
Hahahaha! Mwaka mtaongea kikuria mamaaeee! Mercenaries wanatoka nchi nyingi, silaha,pesa,msaada wa intelligence, Ukraine anapewa,mpaka sasa Russia hasaidiwi na nchi yoyote,he is alone,na bado Urusi ana advance,ni nchi 30 anapigana nazo🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪 najua mnaumia Ila hamna namna.
 
Your browser is not able to display this video.

The work of air defense in the Donbass

The Ministry of Defense of the Russian Federation showed footage of the combat work of the crews of the Tor-M2 air defense system during a special operation.

The anti-aircraft missile system destroyed the Bayraktar drone, which was moving in the direction of the positions of the Russian troops.

Video: Russian Ministry of Defense
 
Drone chali kifo Cha mende nacho wakubali Russia wanatabia za kiume hawapigani kwa mdomo Wala propaganda za vyombo vya habari unatembezewa kichapo kwa vitendo na mifano inatolewa kama hivi ili iwe funzo kwa machawa wote wa Gays states
 
NATO ipo kwa ajili ya kupambana na nani??
Ni Ulinzi tu kaka wa kijeshi na kisiasa kwa wanachama wake !! ukimgusa mwanachama wao mmoja tayari umelikanyaga ni lazima wakusogelee kukubusu.

NATO's fundamental goal is to safeguard the Allies' freedom and security by political and military means
 
Ni Ulinzi tu kaka wa kijeshi na kisiasa kwa wanachama wake !! ukimgusa mwanachama wao mmoja tayari umelikanyaga ni lazima wakusogelee kukubusu.

NATO's fundamental goal is to safeguard the Allies' freedom and security by political and military means

Mnaruka weeee ila ukweli utabaki NATO ipo kwa ajili ya Russia.
 
Mkuu hata mie niliogopa sana mpaka nikaanza kutetemeka nafikiria Russia akiingia vitani itakuaje sasa hii Ops tu Dunia nzima imeyumba sio mkubwa sio mdogo, nahisi Russia ni Taifa la Aliens lililopo Duniani waliojivika Ubinaadam
Kaka, Russia akiingia vitani na nchi kama Uingereza dakika 3 tu anaifuta uingereza nzima kwenye USO wa dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…