Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Waturuki ni waarabu tu ingawa wao hawapendi kuitwa hivyo.Nchi za kiarabu ni hizi hapa
The Arab World countries in the Middle East and North Africa: Algeria, Bahrain, Egypt, Jordan, Kuwait, Lebanon, Libya, Morocco, Oman, Palestine, Qatar, Saudi Arabia, Sudan, Syria, Tunisia, the United Arab Emirates, and Yemen.
Mzee huwa sipendi kujadiliana na wapumbavu kama wewe. Hivi nyie wakenya tatizo lenu ni nini!? Unataka kulazimisha kitu ambacho ni uongo.Waturuki ni waarabu tu ingawa wao hawapendi kuitwa hivyo.
LIBYA walimgusa nani??Ni Ulinzi tu kaka wa kijeshi na kisiasa kwa wanachama wake !! ukimgusa mwanachama wao mmoja tayari umelikanyaga ni lazima wakusogelee kukubusu.
NATO's fundamental goal is to safeguard the Allies' freedom and security by political and military means
RUSSIA pekee ni NATO hahitaji kuungana na mwengine ili kua NATORassia na marafiki zake nao waunde NATO yao.
Chuki kwa waarabu zimekuzidimwarabu hajawahi kuaminika !!
Ni kweli waturk siyo waarabu. Nafikiri kikwetu tunawaita wabrushi kama sikosei.Chuki kwa waarabu zimekuzidi
TURKEY wala sio waarabu kaeni kwakutulia nyie MANATO
RUSSIA sio ZIMBABWE
Sent using Jamii Forums mobile app