Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni kweli waturk siyo waarabu. Nafikiri kikwetu tunawaita wabrushi kama sikosei.

Rostam Aziz ni mbrushi siyo mwarabu. Huu ni mfano tu hapa kwetu.

Nikikosea mnisahihishe
Umekosea. Wabaluchi ni moja ya matabaka mutoka Uajemi. Uajemi kwa sasa ni Iran na Iraq. Wabaluchi siyo waturuki. Ngoja nitakuorodheshea matabaka yaliyopo uturuki.

Kwahiyo Rostam Aziz ni Wabaluchi. Walifika Tanganyika miaka ya 1800s wakitokea Uajemi. Kwahiyo Rostam alizaliwa hapa Tanzania. Tunaweza kusema Kizazi cha 5 hivi cha origin waliotoka Uajemi.
 
Uingereza inaripoti kuwa mzigo wa S-500 upo tayari, umekabidhiwa kwa serikali ya Urusi ili kuuingiza kwenye matumizi...

Kitu kinasambua hadi makombora ya haipasoniki yale yaliyomtoa jasho Marekani ktk kuyapatia teknolojia yake

Screenshot_20220622-135937_Chrome.jpg
Screenshot_20220622-140109_Chrome.jpg
 
🇷🇺
FM #Lavrov: It would be a good idea to find out, exactly, where the weapons now available in Ukraine have gone to – Stingers & Javelins. They are on the black market. Some have surfaced in Albania and Kosovo. The weapons are resold at a discount. The black market is growing..

Majibu ya wana
There is no black market - there is CIA - the cabal has delivered these weapons to YOUR enemies in Idlib in Syria and against Serbia or to be used against any of your allies. Dmitry Medvedev would agree with me
Nalog off Z
 
IMG_20220622_143238_481.jpg

🔥 Honor and dignity. On the day of memory and sorrow in Kherson, the memory of Soviet soldiers who died during the Great Patriotic War was honored

One of the Russian servicemen decided to help a local woman down the stairs after laying flowers at the Eternal Flame.
 
Russia possesses an estimated 5,977 nuclear warheads as of 2022, the largest stockpile of nuclear warheads in the world; the second-largest stockpile is the United States' 5,428 warheads. Russia's deployed missiles (those actually ready to be launched) number about 1,588, second to the United States' 1,644.
Source please........and i believe the best way of winning any battle is to hide your weapon.....Do you believe on those media reports..?
 
Waturuki siyo waarabu.

Turkish people are not Arabs. Turks and Arabs are not the same race. Turkish people are descendants of Central Asian Turkic people and indigenous people of Anatolia. Arabs are Semitic people of the Middle East. Arabs and Turks have different languages, cultural, ethnic roots and historical backgrounds.

Jifunze historia mzee. Unatuaibisha.
Uturuki ndio nchi ya kwanza kuanzisha ukristo duniani. Walikuwa wakristo, lakini baada ya Ottoman empire ndipo ikawa nchi ya kislam. Lakini siyo waarabu.
Mfano nchi nyingine ya kiislam lakini siyo waarabu ni Iraq wakazi wa Iraq siyo waarab bali ni Babylonia. Iran ni waislam lakini siyo waarabu ni Persian.

Ndio maana Zanzibar kulikuwa na Chama kinaitwa Afro-Shiraz Party ASP. Washirazi ni watu kutoka Iran waliungana na waafrika kuwapinga waarab.
Wamekariri kila taifa la weupe lililojaa waislam ni waarab, sasa kule Indonesia, taifa lililo na waislam over 85% na wenyewe ni waarab? Krygzstan, former Soviet hawa kuna 90% ya waislam, nao ni waarab? Republic of Kosovo, walioamua kujitenga kutoka Serbia, kuna 97.4% ya waislam, so nao ni waarabu?

Maldives, tena huko 100% ni Muslim, nao ni waarab? Hapa Africa pale Niger wapo waislam over 97%, Sogea pembeni kwa Mauritania, wapo over 98%, hao wote ni waarab?

MijiMtu kama huyo unapataje nguvu ya kuandika reply ya pili kumjibu?

Dah naona zam ya Mk254 imeisha, now Fuso binti mzuri kaingia on Duty, Hatare sana!
 
Yani inasikitisha sana. Halafu ikifuatilia Ukristo, Judaism na Uislam ni dini moja. Mwanzilishi wake ni Ibrahim.

Hata majina yaliyomo kwenye Quran yamo kwenye Bible pia yamo kwenye Torah. Mf:-
Kiswahili anaitwa Yohana, Kingereza John halafu kwa waislam aitwa Yahaya.

Yusufu Kingereza Joseph.
Mariam kwa kiswahili Kingereza Mary.
Ibrahim pote kwa waislam, Wakristo na Judaism.

Sarah vivyo hivyo.
Isiaka, Isaka Isack.

HUWA NASHINDWA KUELEWA SHIDA NI NINI.
 
Ni kweli waturk siyo waarabu. Nafikiri kikwetu tunawaita wabrushi kama sikosei.

Rostam Aziz ni mbrushi siyo mwarabu. Huu ni mfano tu hapa kwetu.

Nikikosea mnisahihishe
"Wabrushi" heri uandike "Wabaluchi" maana mababu walitoka Baluchistan (ona: Baluchistan - Wikipedia, kamusi elezo huru). Ni eneo kusini mwa Pakistan / Iran. Kuna pia Wabaluchi katika Afrika ya Mashariki na mababu zao walichukuliwa kama askari na Sultani wa Zanzibar wakati wa karne ya 19.
 
Waingereza hawana jeshi la kumzidi mrusi labda la kumchelewesha tu ila akiamua with full masnonda force ya silaha za maangamizi UK hamalizi week inabaki historia.
Mkuu, hili ni hoja la ajabu. Jeshi la Urusi lilishindwa hadi leo kushinda Ukraine, angewezaje kushindana na nchi ya NATO? Ukraine inapiga vita hasa kwa kutumia silaha za zamani za kirusi, hata kama msaada wa silaha ndogo za mbegani yaliwasaidia mwanzoni. Ila kwa mfano ndegevita zao ni za azani - hata hivyo jeshi la anga la Urusi halikufaulu hadi leo kudhibiti anga juu ya Ukraine?
(hii yote tukiacha kando maswala ya nyuklia - naona pande zote zina akili ya kutosha kutogusa silaha hizo)

Siwezi kuamini kwamba jeshi la Urusi lingeweza kufanya mengi dhidi ya jeshi la nchi kubwa ya NATO. Ona tu jinsi wanavyokasirika kuhusu Lithuania inayozuia mizigo isifike Kaliningrad - tutaona kwamba watashindwa kufanya lolote.
 
Unaonekana wa maana ukificha upumbavu.
Unabwabwaja mwana. Unajua hata mguu pande, mguu sawa!?

USA alichukua miaka 20 kupambana na Taliban huko Afghanistan. Aliambulia kukimbia tu.
 
View attachment 2268797

[emoji91] Honor and dignity. On the day of memory and sorrow in Kherson, the memory of Soviet soldiers who died during the Great Patriotic War was honored

One of the Russian servicemen decided to help a local woman down the stairs after laying flowers at the Eternal Flame.
Oyaaa hio mashine alioishika mwamba naona ni tofauti sana na hizi za kawaida ukiitizama, unajua kabisa hapa nimeshika mashine haswaa sio maigizo aseee
 
"Wabrushi" heri uandike "Wabaluchi" maana mababu walitoka Baluchistan (ona: Baluchistan - Wikipedia, kamusi elezo huru). Ni eneo kusini mwa Pakistan / Iran. Kuna pia Wabaluchi katika Afrika ya Mashariki na mababu zao walichukuliwa kama askari na Sultani wa Zanzibar wakati wa karne ya 19.
Kweli mkuu siko vizuri kwenye historia ila natamka kama watu au wenyeji wa Igunga wanavyomjua Rostam Aziz mbunge wao mstaafu. Wao wanajua ni mbrushi siyo mwarabu. Inaonekana ni mbaluchi kama ulivyoandika. Asante nimejifunza kwako mkuu.
 
Mambo yanaenda Chap chap. Russia anapiga na kujenga.
IMG_20220622_152630_374.jpg

⭐Crimea is preparing to launch passenger trains to Russian-controlled regions of Ukraine from July 1, said the head of the republic, Sergei Aksyonov.

In test mode, the train will start running between the Crimea, Kherson and Zaporozhye regions. “So far we are planning that one test pair will run literally from July 1. There are three cars, about 160 passengers in one direction and 160 in the other,” Aksenov said.

Rail service between Crimea and Ukraine was terminated in 2014👏
 
Back
Top Bottom