Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Waturuki ni waarabu tu ingawa wao hawapendi kuitwa hivyo.
Hapana mkuu,Waturuki sio Waarabu hata lugha na maandishi yao yanathibitisha hili.Turks are descended from nomadic warrior tribes from Central Asia and Mongolia that mixed with the indigenous Anatolian population, while Arabs are descended from Semitic peoples like Hebrews.So you see,ni watu tofauti kabisa na Arabs.

In other words Turks and Arabs are not the same race. Turkish people are descendants of Central Asian Turkic people and indigenous people of Anatolia,as noted earlier.On the other hand Arabs are Semitic people of the Middle East,also as noted earlier. In addition,Arabs and Turks have different cultural, ethnic roots and historical backgrounds.
 
Hii strategy sijaielewa, haiwezekani, wakajipenyeza wabaya wa Russia kwenye mkumbo huu wa kupata uraia? Wataalamu nisaidieni.
Asilimia kubwa ya wakazi wa nchi hizo wanapenda Russia. Wanaburuzwa na viongozi wao kisiasa.

Na kwa strategy hiyo raia wa nchi hizo watajiona safe wakiwa chini ya Russia. Kwa maana hiyo Russia itaweza win kisiasa ndani ya nchi hizo.

Haya mawazo yangu.
 
Unaonekana wa maana ukificha upumbavu.
Unabwabwaja mwana. Unajua hata mguu pande, mguu sawa!?

USA alichukua miaka 20 kupambana na Taliban huko Afghanistan. Aliambulia kukimbia tu.
Marekani angalau walidumu miaka 20 huko Afghanistan, unavyosema kweli. Je, Warusi walidumu miaka mingapi baada ya kuingia Afghanistan?
(Asante kwa kutumia maneno mazuri kama "upumbavu"! Usingeyatumia, ningejuaje wewe ni mwungwana?)
 
Marekani angalau walidumu miaka 20 huko Afghanistan, unavyosema kweli. Je, Warusi walidumu miaka mingapi baada ya kuingia Afghanistan?
(Asante kwa kutumia maneno mazuri kama "upumbavu"! Usingeyatumia, ningejuaje wewe ni mwungwana?)
 
Yaani urusi anawamulika kila sehemu. Wanakimbia huku wanaonwa. Dah!!


Demilitarisation continues in Mykolaiv-Kherson direction...

💥The destruction of the support of the UAF in the Mykolaiv region. The Ukros were pulling something out of the car very quickly to hide it in the house,but it flew over them💥
 
Yaani urusi anawamulika kila sehemu. Wanakimbia huku wanaonwa. Dah!!
View attachment 2268899

Demilitarisation continues in Mykolaiv-Kherson direction...

💥The destruction of the support of the UAF in the Mykolaiv region. The Ukros were pulling something out of the car very quickly to hide it in the house,but it flew over them💥
Hii ndo kuku wako manati ya nini, wameachwa wameingia kujifungia ndani kabisa alaf missile ikatumwa ndan ya sekunde tu
Mrusi siyo poa na anasema hii ni OP ndogo tu anawapiga huku anawapetpet akiamua kukiwasha vitabaki viota vya ndege tu ukraine
 
View attachment 2268770
Residents of Moldova will be provided with firewood

The Prime Minister of Moldova instructed the Minister of the Environment Juliana Cantaragio to deal with this issue as a matter of priority.

“Yes, we cannot help everyone, but the state should be close to people who need help,” she said.

The Minister of the Environment will provide the heating season with firewood - a parallel universe.
Watachoma Kuni kama wapo njombe😁😁😁😁💪💪💪💪💪
 
‼️🇨🇳The world must rise up together against hegemonism and power politics-Chinese President Xi Jinping.‼️

Chinese President Xi Jinping criticized sanctions for stoking global economic pain in a speech opening this year's BRICS summit

Without directly naming the United States, Xi Jinping said that the international community is concerned that the world economy will split into mutually exclusive zones, and called on the world to fight against the hegemony of any one country.
 
,
Hahahaha! Mwaka mtaongea kikuria mamaaeee! Mercenaries wanatoka nchi nyingi, silaha,pesa,msaada wa intelligence, Ukraine anapewa,mpaka sasa Russia hasaidiwi na nchi yoyote,he is alone,na bado Urusi ana advance,ni nchi 30 anapigana nazo🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪 najua mnaumia Ila hamna namna.
Wanaumia sana,wanajikaza kisabuni.
 
[emoji3517]BREAKING: Takriban au zaidi ya wanajesh wa ukraine 500 wa Brigedi ya 59 wameuwawa baada ya workshop ya kutengeneza meli walipokuwa wamejificha uko Nikolaevk kuharibiwa vibaya na makombora.

Taarifa za awali kulikuwa na mamluki kama 30 wa [emoji631][emoji636] wameuwawa na wengine kujeruhiwa
 
Back
Top Bottom