LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums

Mzee russia katumia silaha za kawaida sana tena sanaa usifikir mrussi hana akili. Mrusi hajatumia silaha nzito hata moja.
 
Hayo mafuta na gesi vmepanda ulaya huko au na nyie huku mnanunua gesi ya russia???
Pili vita haiwez fika huku maana hatuhusiki na hao unaosema NATO hawazezi ingza majeshi yao ukraine sababu ukraine sio member wao
Inawezekana hawanunui gesi ya Urusi , lakini tatizo lolote litakalosababisha gesi ya urusi kutopatikana kwa uhakika, ni wazi litapunguza supply ya gesi duniani hivyo bei kupanda kwa wazalishaji wengine.
 
Mkuu lolote linawezekana chini ya jua,na Historia huwa inaandikwa hivi hivi,kwangu mimi pamoja na kuwa Ukraine ni mdogo sana kwa Russia lakini amepambana kwa kiasi kikubwa sana.
 
Korea wana maisha ya hovyo? Kulinganisha na nani? Hapa Tanzania mna demokrasia mna maisha gani? Kenya wana maisha gani? Acha kukariri
 
Hahahaha nyie mashabiki wa Pentagon bwana duh....ushabiki wenu unafunika hata professionalism katika uchambuzi...utafikiri ni wachambuzi wale wa Wasafi, Clouds na EFM wanapochambua soka yetu..
 

Russia ana askari 900,000 wa wa kazi na anareservr ya 1,200,000 assume alopoteza ni 10,000 na hao wengi waliokufa sio well trained tunasema wasafisha njia. Nyie mnachukulia habari zenu wapi? Ukija kwa silaha russia anatumia za zaman sana hajatumia silaha kali kabisa.

Mnamchukulia poa mrussi ausioo, unafikir hana akili ya vita? Msidangwanywe na western media/propaganda urussi amejijenga vzr kwenye jeshi asee msimchukulie poa kabisa.
 
Utoaji taarifa uko very bias, kila mtoa taarifa anavutia upande wake.
Pokea tu hizo taarifa hivyo hivyo mkuu, hapa tuna mpaka wasemaji wa pande mbili zinazopigana,hatuna jinsi bali kukubali tu tunacholetewa hapa hata kama hakina ukweli.
 
Tukitaka kina nani? Hapa ni suala la maoni ya mtu mmoja mmoja boss....Kama US anafamya mambo ya kishenzi laani. Kama Urusi anafanya mambo ya kishenzi laani.
Ndio anachomaanisha kua unafiki ni kulaani ya russia wakati palestina kule hakuna anaelaani kama vile wazungu ndio watu kuliko watu wa palestrina na maeneo yetu huku
 
Reactions: Tsh
Hii maana yake USA hataki na anaogopa kuingia vita na Russia,lakini kajamba nani Ukraine yeye kajiona mwanaume-Stupid Ukraine.
 
Tuliambiwa hapa kufikia mida hii Kiev itakuwa majivu,ngoja tuwasubiri waliopo mstari wa mbele kwenye battle field watuletee LIVE hali ilivyo,si unajua JF inawakilishwa vyema kwenye mstari wa mapambano.
Washawasha imeingia Ukraine
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukitaka kina nani? Hapa ni suala la maoni ya mtu mmoja mmoja boss....Kama US anafamya mambo ya kishenzi laani. Kama Urusi anafanya mambo ya kishenzi laani.
Nani aliye laani wakati US akifanya vitendo viovu?

Si UN wala member wa EU wote walikaa kimya, kama US angewekea vikwazo kipindi akiipiga Afghanistan basi leo Iraq na Libya zisingekuwa hivi ilivyo leo.

Tukitaka dunia iwe sehemu salama lazima tuache unafiki.

Hivi unajua mpaka sasa US anafanya operation zake Yemen kwa kutumia kivuli cha Saudi Arabia,anadai anawatafuta baadhi ya wafuasi wa Alqueda na kuna operation yake moja aliyo ifanya imeua raia 24 wasio na hatia (waliofanya huo uchunguzi ni BBC) na ICC walipo hoji akawawekea vikwazo majaji wa ICC.

Je ushawahi kusikia taifa lolote likikemea vitendo hivyo vya US Yemen?
 
Pokea tu hizo taarifa hivyo hivyo mkuu, hapa tuna mpaka wasemaji wa pande mbili zinazopigana,hatuna jinsi bali kukubali tu tunacholetewa hapa hata kama hakina ukweli.
Nyamizi, leo umejamba mara ngapi!?
 
⚡️ Ukrainian Parliament confirms a shell hit Kiev TV tower and there are problems broadcasting (RIA Novosti)
Hypocrisy mixed with stupidity .
Ukraine wakitoa habari kuwa wanajeshi kadhaa wa Urusi samekufa katika shambulio fulan mnasema ni propaganda za media za west ila wakisema wanajeshi wao kadhaa samekufa kwasababu ya shambulio la Urusi hiyo si propaganda.
Ideot at it's best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…