TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
H a ha haaa! Pole, Mkuu.Unasemaje kuhusu hii. Soma hiyo
Mkuu, nimeona kwamba walitisha kujibu vikali kama nchi za magharibi zinachelewesha maendeleo ya Urusi katika Ukraine au kusababisha madhara kwa jeshi lake.Mzee nadhani huelewi hata kinachoendelea huko NATO vs Russia.
Russia aliwaambia wakituma silaha inayoweza kufika ndani ya Russia ataweza kulipua ilikotoka. Ni kuulize silaha gani na ya nchi gani imetumwa yenye uwezo wa kupiga ndani ya Russia!?
Jibu swali usinichoshe.
"Galip" anajivunia kukujua 🤩🤩🤩Swadakta mdau, anyway ngoja niseme kitu kingine na leo...
Ukirejea kwenye history ya darasani, inasema waarab waliingia Afrika karne ya 7, mabeberu haya yakaja Afrika karne ya 18, baada ya mapinduzi ya viwanda.
Wakati wanakuja Afrika walikuja na ujio wa Dini, Missionary activities... Hapa kwa mtu mwenye akili kuna jambo au mambo ya kujiuliza na kuyatafutia majibu.
Kama lengo la beberu lilikuwa ni kutawala, swali ikawaje au alifikiria nini kuleta ujio wa dini kama mwanzo wa kuweka utawala wake. Jibu la haraka haraka litakuwa "Divide and Rule", Ingawa ukipanua wigo wa mawazo ni zaidi ya hilo.
Kuna weakness flan tupo nayo sie watu weusi, hatuna kitu inaitwa "kiasi" katika mambo yetu. Kila kitu huwa tunafanya "kupitiliza"... Yah I mean tuna "extremism" ya hali ya juu.
Tukipenda basi tunapenda kupindukia, na tukichukia tunachukia kupindukia. Hatuna kiasi katika upendo au chuki. Huu ni udhaifu mmoja mbaaaya sana... tena mbaya mno.
Udhaifu huo uko hivi, unapopenda au kuchukia kupita kiasi unaondoa normal decisive power uliyonayo. So unafanya na kuamua kwa mahaba endapo umependa au kwa chuki kama hujapenda... Always unakuwa nje ya uhalisia. Hii ni kwa mujibu wa saikolojia.
Kwa kulijua hilo, ikawa ndio mission yao ya kwanza Afrika, I think that's why wakaitwa Missionaries... Ha ha yani wazee wa Mishe mishe 😂 (kidding), their key Job ikawa ni kujaza upendo kuhusu wao kwenye nyoyo za watu weusi.
Na kwasababu mtu mweusi hana kiasi, akauvaa ule upendo utosini hadi kwenye unyayo, so ile decisive power ikafa. Then ikawa kila kitu sawa, yani sawa sawaaa.
Naam mababu zetu wakachumbiwa namna hiyo.
Tuendelee...
Ni kama leo, upate pesa... Kesho uzikose useme huzitaki tena huo ni uongo. Baada ya watu weusi kupewa "Uhuru" wao. Hawakuishia hapo, bado ile kiu ya utawala ipo, na itaendelea kuwepo unless itokee siku tuamke kwenye huu usingizi tuliolala ulojaa wingi wa ndoto nyevu.
Uki-refer kwenye hii Raman, utaona miaka ya nyuma hapo wengi tukiwa hatujazaliwa, Power ya Dunia ilikuwa wapi. Wakina nani walijipa mamlaka ya kutawala kila pembe duniani.
View attachment 2269005
Tusijisahau nyie, Madaraka matam, na kiu ya madaraka huwa haikatiki. Bado wana ham na wanafanya juhudi ya kila hali kuendelea kuyamiliki madaraka hayo!
Huezi kumtawala kijinga mtu mwenye akili timam, lazima umpumbaze mithili ya msukule ili aweze kutawalika. Na hiki ndicho walichofanikiwa kwa kiasi kikubwa through mind controlling tool maarufu kama Media.
Kulieleza hili maelezo yangu yatajikita afrika tu.
Ili ukoloni wa nyuma ya pazia uendelee kuwepo wanahitaji kuwe na wapumbafu wengi zaidi Afrika. Wakijaa makatwente wengi mithili ya MK254 na kundi lake kila Order itakayotoka itapokelewa kwa mikono miwili.
Na kwasababu sie watu weusi hatuna kiasi, show ikaanza kwa kuletewa tamaduni ambazo si za kwetu, hii ni kubadilishwa asili yetu na kupewa asili ya kigeni. Ambayo ni Tattoo ya Utumwa.
Wakaikamata na kuicontrol mifumo yetu ya elim. Yote tunacopy kutoka kwao, na tunacopy old fashioned system ambayo ukiileta kwenye hii dunia iliyochangamka inakuwa Useless.
Zikaboreshwa starehe, Media zao zikaplay part kubwa kwenye hili. Leo hii kizazi chetu cha 1990+ kinataman kua kam Jay Z na Beyonce. Kile bata kwa wingi kama Lil Wiz. Ila sio kesho au keshokutwa kitafanya nini..
Ukirejea tena the fact kua sie huwa ni wazee wa kupindukia. Leo African tunaongoza kwa kupenda starehe kuliko Bara lolote duniani.
So wakati tuko busy kuwaza Pombe na ufuska, wao wako busy kuimarisha Control yao dhidi yetu.
Africa tunachaguliwa wa kumpenda na wa kumchukia, hatuna "taste" yetu. Shubir ikiitwa Asali tunaitikia, na Sukari ikiitwa mwarobaini tunaitikia, Bado hapa napo katika mapenzi na chuki hatuna Chujio.
Wameinajisi mashariki ya kati kwa kuwaita Magaidi, wao wako hapo wanachimba mafuta wanapeleka kwao. Sometimes wanatuuzia na sie huku. Lakini ukichunguza kelele za Ugaidi zimeanza kipindi kipi? Zimeanza US alivyojipenyeza hapo Mashariki ya kati.
Kwa kua sie tumepandikizwa chuki, hatuna mahusiano na hizo nchi ya kueleweka. Nitoe mfano wa UAE, ni Nchi hiyo ina waarab wa asili kama 11% ya population nzima.
Wengine waliobaki zaidi ya 88% ni wageni, wengi wakiwa kutoka mataifa hayo hayo yanayowaita magaidi huku Africa tukipeleka wafanyakazi wa ndani tu hawa dada zetu.
Na sio UAE pekee, Qatar, Kuwait, Jordan n.k kumejaa expats wengi kuliko raia, sasa kama nchi za kigaidi wanaenda kulundikana huko kutafuta nini? Hilo nalo hatushtuki?
Sio hivyo tu, below ni list of countries with highest technology kwa ujumla... Hii list haijatolewa na Mchina wala Mrusi, imetolewa na jarida la USNews na wenzie.
View attachment 2269023
Kwenye top 10, utaziona Russia na China. Ila hizi nchi zinachafuliwa na hao hao ambao pia wamejazana kwenye hizo nchi na kufanya nao biashara.
Weusi desturi yetu ni kuchukia kupindukia au kupenda kupindukia, wakisema China ama Russia mbaya basi tunajitenga nao mazima. Ila wao wanafanya biashara na hizo nchi kwa kiasi kiiiiiikubwa sana.
China kama mfano wa kuigwa, hajafika hapo leo alipofika bahati mbaya, wana kitu hii inaitwa "Yin Yang", ni Philosophical Concept ambayo inaelezea how obviously opposite au contrary forces may actually be complementary, interconnected, and interdependent in the natural world, and how they may give rise to each other as they interrelate to one another.
View attachment 2269028
Damn! Hiyo picha najua sio ngeni kwenu, We need to know how tunaweza ku'control chuki na mahaba ili kurejesha decisive power yetu iliyopotea. Tunatakiwa tuweze kua in charge ya kile kinachoingia kwenye milango yetu ya faham, macho na masikio ili Ubongo utoe maamuzi yenye tija.
Ikirudi itatuwezesha rasm kujua aliye mzuri kwetu ni nani na aliye mbaya kwetu ni nani bila chuki wala mahaba ya kupitiliza.
Inabidi ifike hatua walau tuamke tushtuke tujiongeze na tuamue.
Hili gazeti so poa, ila nawakumbusha tu kiroho safi. Katika nchi zinazoongoza kwa kua na rasilimali nyingi duniani ni hizi.
View attachment 2269031
Out of hizi top 10
1. Canada na Australia zipo chini ya Familia moja ya Malkia Elizabeth. Je Hujiulizi how na kwanini familia hii iendelee kumiliki kiasi hicho bila bughdha?
2. Ukitoa hizo nchi 2, Canada na Australia ukaongeza na Saudia kibaraka wa US... Waliobaki wote wana ugonvi dhidi ya US, sio kwamba wao waanzisha Ugonvi dhidi ya US, bali US amekua akisaka Control kwenye nchi hizo kwa mwamvuli wa Ugashocracy a.k.a Democracy.
My people hivi mnafikiri ni usalama wa dunia ndio unapambaniwa? Laa hasha!
Of course jibu ni sio, bali kinachopambaniwa ni World total Control, maarufu kama NWO.
I may be the youngest of oll here, ila nikiwatizama baadhi hasa pro-west mnadhihirisha kabisa kua Umri ni number tu. Kwamba hata Punguani huwa anazeeka.
Aseee Nimeongea mengi babeki ila mkiniona chizi baridi... endeleeni kulala mie mbu wamening'ata sana usingizi umekata!
Yote tisa kumi ni dini hii ni kansa inayotutafuna wototo wa Africa.Swadakta mdau, anyway ngoja niseme kitu kingine na leo...

Usipo jipa moyo unapumulia nini kwa mfano kwa mazingira ya Zelensky. Ila namsifu Zele komaa kaka ach wanaume kama Putin hata mke hawezi kumtunza😂😂😂 hizi ndo akili kigoda we jamaa hufai hufai kua baba kwa wanao
Unaniuliza swali au unajua jibu.NATO ipo kwa ajili ya kupambana na nani??
Ndio hivyo mkuu baada ya kukosa hoja naona wameona waje kwenye dini, nikujichosha kuwapa reply watu wenye mabichwa kama fuvu la dagaa wakiongozwa na mk254.Wamekariri kila taifa la weupe lililojaa waislam ni waarab, sasa kule Indonesia, taifa lililo na waislam over 85% na wenyewe ni waarab? Krygzstan, former Soviet hawa kuna 90% ya waislam, nao ni waarab? Republic of Kosovo, walioamua kujitenga kutoka Serbia, kuna 97.4% ya waislam, so nao ni waarabu?
Maldives, tena huko 100% ni Muslim, nao ni waarab? Hapa Africa pale Niger wapo waislam over 97%, Sogea pembeni kwa Mauritania, wapo over 98%, hao wote ni waarab?
MijiMtu kama huyo unapataje nguvu ya kuandika reply ya pili kumjibu?
Dah naona zam ya Mk254 imeisha, now Fuso binti mzuri kaingia on Duty, Hatare sana!
Hii habari mbona ya siku nyingi.Upopo is typing.....
Thanks for the Honor, mwamba!Naomba kutoa certificate of appreciation kwa hawa pro Russia maana kwa elimu mnayoitoa humu, PUTIN anajipiga piga kifuani huko aliko na taratibu watu wameanza kuelewa ukweli
Certificate of appreciation ni kama ifutavyo
Ask-Q
Sikirimimimasikini
Jesus Mlokozi
lee van cliff
Extrovert
STRUGGLE MAN
Champagnee
NYUNDO YA MOTO
Galip Vrl
Mtoto wa nzi
Bwana Utam
TUJITEGEMEE
green rajab
Mathanzua
1954
spanerboy
kt the irreplaceable
mohamedidrisa789
Washawasha
Msulibasi
Tafakari yetu
Jumong S
Bugucha
Lucha
East
NB:certificate bado zinaendelea kutoka,so endeleeni kutupa madini pro Russia
Ni Mimi mfilisiti pekee ambaye sikupendezwa na njama za kumuua SAMSON.
Daima anakuchosha na ataendelea kukuchosha, Post 3,600+ with reactions of 450+ itoshe kua litmus paper y kukujuza concentration of the Solution ya fuvu lake kua ni HAMNAZO.Mzee nadhani huelewi hata kinachoendelea huko NATO vs Russia.
Russia aliwaambia wakituma silaha inayoweza kufika ndani ya Russia ataweza kulipua ilikotoka. Ni kuulize silaha gani na ya nchi gani imetumwa yenye uwezo wa kupiga ndani ya Russia!?
Jibu swali usinichoshe.
Ha ha ha.....View attachment 2268770
Residents of Moldova will be provided with firewood
The Prime Minister of Moldova instructed the Minister of the Environment Juliana Cantaragio to deal with this issue as a matter of priority.
“Yes, we cannot help everyone, but the state should be close to people who need help,” she said.
The Minister of the Environment will provide the heating season with firewood - a parallel universe.
ILa putin anaroho ya huruma sana yaani unapewa option ni mbinguni au jehanamu, ili ujihukumu mwenyewe bila kujutia chaguo lako. Ingekua rais wa urusi ni joseph stalin cjui ka hii bahati wangeipata, maana hata ukraine ingekua tofauti zaidi ya sasa ilivyo.Zaidi ya wanajesh 2000 wa Ukraine wewekwa mtu kati. Option ni mbili kujisalimisha au kuuwawa.View attachment 2268949
Habari murua kabisa Hizi[emoji4][emoji3517]BREAKING: Takriban au zaidi ya wanajesh wa ukraine 500 wa Brigedi ya 59 wameuwawa baada ya workshop ya kutengeneza meli walipokuwa wamejificha uko Nikolaevk kuharibiwa vibaya na makombora.
Taarifa za awali kulikuwa na mamluki kama 30 wa [emoji631][emoji636] wameuwawa na wengine kujeruhiwa
Unafikiria hao viongozi wa ulaya kwenda kiev hawatoi taarifa Moscow ili wasije kushambuliwa?unalichukulia jeshi la urusi simple cndioMkuu ni vigumu kidogo kuamini habari hii. Hadi sasa Urusi imeshindwa kudhibiti anga juu ya Ukraine. Yaani wanatumia ndege zao mpakani tu penginepo wanarusha makombora kutoka mbali. Kwa njia hii walishindwa kutawala anga na hivyo tunaona utalii wa kisiasa wa maraisi wa Ulaya kutembelea Kyiv mara kwa mara. Ambayo isingewezekana kama Urusi ingetawala anga.
Sasa tunatakiwa kuamini kwamba inaweza kudhibiti anga juu ya nchi ya NATO?` Wafanye nini? Kuangusha ndege juu ya Lithuania?
Hii mbinu ya Russia kuwazunguka maadui ni hatari, unapigwa unachakaa na msaada upati[emoji28]Zaidi ya wanajesh 2000 wa Ukraine wewekwa mtu kati. Option ni mbili kujisalimisha au kuuwawa.View attachment 2268949
Sahii kabisa,Wajeshi wa Ukraine hawana utofauti na nyumbu akili zao hazina utofauti.