Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Samahani mkuu, hii ya asilimia kubwa kupenda Urusi umepata wapi? Inajulikana kwamba nchi hizi zilikuwa koloni za Urusi miaka mingi hadi 1917, zilipata uhuru, zikavamiwa tena na Urusi (Soviet Union) mnamo mwaka 1940. Wakati wa kuporomoka kwa Soviet Union wananchi walipiga kura na kuamua wapate tena uhuru.Asilimia kubwa ya wakazi wa nchi hizo wanapenda Russia. Wanaburuzwa na viongozi wao kisiasa.
Na kwa strategy hiyo raia wa nchi hizo watajiona safe wakiwa chini ya Russia. Kwa maana hiyo Russia itaweza win kisiasa ndani ya nchi hizo.
Haya mawazo yangu.
Nisamehe mkuu lakini nisipokosei wanajeshi wanaona jambo hili tofauti. Ukitawala anga unaweza kumkwamisha adui kabisa. Anashindwa kupeleka askari, chakula, mafuta, risasi hadi mstari wa mapigano.Ishu sio kwamba Russia kashindwa kutawala anga la ukraine, ila ni kuwa hakuna haha kupeleka midege ya kivita na kuchoma mafuta ya kumwaga wakati unaweza rusha kombora ukiwa mahome
Sidhani wanatoa taarifa. Je umeona habari inayosema hivyo?Unafikiria hao viongozi wa ulaya kwenda kiev hawatoi taarifa Moscow ili wasije kushambuliwa?unalichukulia jeshi la urusi simple cndio
Aya subiria hiyo habari mkuuSidhani wanatoa taarifa. Je umeona habari inayosema hivyo?
Mkuu nafuatilia habari tu. Najitahidi kuangalia habari kutoka kila upande bila ubaguzi. Lithuania inatekeleza sasa maazimio ya Umoja wa Ulaya kutoruhusu bidhaa kadhaa za Urusi kwenye eneo lake. Hivyo hazipitii tena kwenye reli inayopita katika Lithuania hadi Kaliningrad.
Naona kwamba Urusi imetisha mara kadhaa hatua kali (na kuonyesha picha za roketi zinazoenda hapa na pale) dhidi ya nchi zinazotuma silaha Ukraine. Nisipokosei hadi sasa hakuna kilichofuata.
Kwa hiyo nimekuuliza: roketi hizo zenye muziki mbaya zifanye nini zikifika karibu na Lithuania na eneo la NATO???
Huh fact...Yote tisa kumi ni dini hii ni kansa inayotutafuna wototo wa Africa.
Maarifa yetu yamemezwa na hofu ambayo haipo.
Angalizo.
Sijazungumzia Mungu mkuu wa kila kitu ila dini.
Africa tulikua tunamtambua Mungu na hata kwenye kabila zetu ana jina la kikabila hivyo .
Dini ni biashara ila sisi hatutambui hili ila naamini kitakuja kupatikana kizazi majasiri,wajuzi na wenye msimamo kuisimamisha Africa.
Tukiweza kurudi kwenye tamaduni zetu na kuzienzi tutafika.
Mkuu, nimeona kwamba walitisha kujibu vikali kama nchi za magharibi zinachelewesha maendeleo ya Urusi katika Ukraine au kusababisha madhara kwa jeshi lake.
Waziri Mrusi Ryabkov alisema ""We are making the Americans and other Westerners understand that attempts to slow down our special operation, to inflict maximum damage on Russian contingents and formations of the DPR and LPR (Donetsk and Luhansk People's republics) will be harshly suppressed," (Russia says U.S., NATO weapon transports in Ukraine are legitimate targets)
Nikielewa vema nchi za Nato wanafanya kazi hii ila sijaona majibu...
Lakini hapa tunajadili hali ya Lithuania. Na mimi nimekuuliza: Je hizo roketi ta SS-400 zifanye nini zikifika karibu na Lithuania?
Sioni kwamba zitashambulia ndege huko. Baada yote niliyoona katika mgogoro huo, naona Warusi wanapenda kutisha, lakini wanajua mipaka yao. Vivyo hivyo hao wa NATO wanajitahidi kuheshimu mipaka kadhaa, mfano kutopeleka roketi zinazoweza kupiga ndani ya urusi.
Imagine upopo ndo mke nyumbani sasa unategemea hiyo familia itakuaje nimewaza tu make kwa pumba anazomwaga apa jukwaani
Unaniuliza swali au unajua jibu.
MAMBO YANAANZA KUPOTEANA. SERIKALI MOJA IMEANGUKA HUKO ULAYA
In Bulgaria, the Petkov government fell. Parliament declared him a vote of no confidence. The main reasons are the deterioration of the situation in the country after the start of the SMO and the rupture of relations with Gazprom, after which Russian gas supplies to the country were stopped, which also affected the economic crisis in the country. In view of this, the Canadian Bulgarian Petkov, who was noted for various Russophobic statements, was ousted.
Vizuri sanaMAMBO YANAANZA KUPOTEANA. SERIKALI MOJA IMEANGUKA HUKO ULAYA
In Bulgaria, the Petkov government fell. Parliament declared him a vote of no confidence. The main reasons are the deterioration of the situation in the country after the start of the SMO and the rupture of relations with Gazprom, after which Russian gas supplies to the country were stopped, which also affected the economic crisis in the country. In view of this, the Canadian Bulgarian Petkov, who was noted for various Russophobic statements, was ousted.
Hata sudan yenyewe 75% ni weusiSouth Sudan ndio weusi
Mwamba naona kama umechanganya uliyem'quoteUnajua takwimu ya silaha zote alizopewa Ukraine?.
NimekuelewaHuh fact...
Lakini you know what shangazi, to me Religion or being religious sio tatizo. Tatizo ni wrong beliefs tulizonazo.
Mfano mie ni Muslim na najivunia hilo, kuna sura imeanza na neno "Iqra" kwenye kitab chetu, yani "Soma"... Na inaelezwa kua hii ndio Verse ya kwanza kushuka.
Hili neno "Soma" halikuja with limit, kwamba jifunze kitu flan pekee kingine ukiache.
To us, Religion is the way of life. Religion isn't about praying sala 5 kwa siku. Au kuhudhuria Ibada Jpil au Sabath Jmos pekee.
Huwa naamini kua kinachotu-Cost Africa sio dini, bali imani potofu na mapokeo mabovu ya hizo religions.
Zaidi na hakika haijafanywa bahati mbaya. Na wala Nisiseme how post ikawa ndefu.
Shangazi, Rome Italy.. ni Christianity State, Can you compare na sehem yoyote Africa inayotekeleza mfumo wa kidini hiyo upande wa maendeleo? Je issue ni dini au Iman Potofu?
Again chukulia nchi yoyote middle east inayopractice Islam kwa hali ya juu... Mfano mzuri Kuwait. Unaweza kulinganisha na kikundi chochote upande wetu Afrika kwenye ukurasa wa maendeleo? Jibu ni hapana.
Again swali, Tatizo ni Dini au ni Iman Potofu? Kama ni muelewa naamini utatoka na jibu la pili. Kua tatizo ni Iman potofu.
Shangazi, Ndani ya Quran kuna sehem kinasema "...na baada ya kuisha kusali, tawanyikeni katika ardhi, kutafuta ridhiki hakika ya mwenyezi Mungu ni mbora wa kurudhuku"... Lakini leo hii ukizunguka kwenye majumba ya Ibada utawakuta wamekaa viongozi hao wamekaa wanapiga umbea tu wanasubiri sadaka za watu wanaozisotea kwa jasho.
Je hapo tatizo ni Dini au Iman Potofu?
Hatuendelei kwasababu tunasumbuliwa na Inferiority complex, tunaamini kua hatuwezi bila wao so always tunaendelea kua submissive kwao, sio wapagani sio wenye dini wote wale wale...
Ngoja nijiziue kuzungumza mengi.
Ila amini shangazi, Adui wa kwanza kwenye maendeleo yetu ni sisi wenyewe kisha ni aliyeleta wazo la kutenganisha aina ya elim.
Unapopewa aina flan ya elim bila kujuzwa chochote walau kwa muhtasari elim zingine ni sawa na kubumbwa kua aina flan ya mtu.
Angalia jamii inayotuzunguka, walio na elim pekee ya "dini" kama wanavyoiita, utakuta ni kundi lenye watu wanaoshindwa kuiishi dunia waliopo hivi sasa... Wanakosa maarifa ya yale yanayowazunguka.
Ukikuta mwingine ambaye ana elim pekee nje ya hizi tunazoita elim ya dini, huyu anakuwa bomu. Anakosa standard ya kizuri na kibaya kwenye life lake.
Hakuna kitu kinaweza kua stable kama hakipo in pair, huezi kutana na free electron zikawa stable kama hauna Proton za kuztuliza.
Aina ya watu utakaokuta wamestaarabika, wamesimama na wanajisimamia na wagumu kuyumbishwa ni walio zigusa elim za aina zote. Wana wide view inayowapa hamasa ya maendeleo.
Sio akina sisi watu weusi tunaobagua cha kujifunza, tunakua kama free electron, tunapokua exposed sehem yoyote tuna react, kwasababu hatupo na hatujawah kua stable.
Kinachotusumbua na kitakacho endelea kutusumbua unless tutaamka usingizini, ni IMANI POTOFU, IMANI ZA KIJINGA.
Ambazo leo hii mtu anaamini hawezi kutoboa mbaka aende kwa Sheikh flan ampe kisomo... Leo tunaamini hatuezi toboa wala kufanikisha mbaka tuende kwa Nabii flani tupewe mafuta ya Upako.
Ukiangalia kwa umakini hali tulizonazo ni sawa na kunywa Nyagi kwe chupa ya Dasani. To keep it short, tumekaa kishirikina zaidi sio Dini... Hatu-practice dini bali ushirikina kwa mwamvuli wa dini.
Mchawi wa Maendeleo ni Ushirikina, Huu ndio umeenea Afrika. Dini ziko kule zilikotoka.