Ha ha ha....Warusi weusi msiwe na Pupa, taarifa kamili baada ya Vita, tunapitia wakati mgumu sasa data kamili zipo Kyiv. MTULIE [emoji18]
Kumradhi[emoji4][emoji120]Pro Russia mwenzetu huyu jomba sio Rainbow's supporter, aliteleza kidogo tu, Sasa tushazungumza lugha moja.
Pa1 mwambaKumradhi[emoji4][emoji120]
Tumezificha mbinguni, hamtazipata ha haHa ha ha....
Kyv nako panaungua Moto, data hamishieni Poland[emoji28]
Ha ha ha....[emoji28][emoji106]Tumezificha mbinguni, hamtazipata ha ha
Dunia ipiPutin kaamua kupambana na Dunia..... ok wacha tuone
Historia huandikwa na washindi wa vita...kwa mgogoro huu Russia imeshinda vita mpaka Sasa ushindi ambao utahitimishwa kwa regime ya Zelensky kuondolewa madarakani na nchi nzima ya Ukraine kuwa mikononi mwa Russia...Aidha inawezekana Russia akachukua East na South...na nchi za magharibi zikaambulia maeneo ya Lyiv kule West..Warusi weusi msiwe na Pupa, taarifa kamili baada ya Vita, tunapitia wakati mgumu sasa data kamili zipo Kyiv. MTULIE 😌
Tutazifuta huko hukoo[emoji4][emoji4][emoji4]Ha ha ha....
Kyv nako panaungua Moto, data hamishieni Poland[emoji28]
Mkuu naona umepanic sana!Kawadanganye watoto wenzio, Warusi weusi mnajiona mnajua sana vitu. FICHA UJINGA USIZUNGUMZE USICHOKIJUA
Na huko tutapowaachia lazma tujaze separatists kwadharura ya huko mbeleni maana UKRO NATO washenz washenz saanaaaHistoria huandikwa na washindi wa vita...kwa mgogoro huu Russia imeshinda vita mpaka Sasa ushindi ambao utahitimishwa kwa regime ya Zelensky kuondolewa madarakani na nchi nzima ya Ukraine kuwa mikononi mwa Russia...Aidha inawezekana Russia akachukua East na South...na nchi za magharibi zikaambulia maeneo ya Lyiv kule West..
Mkuu mapema mno kusema hivyo ijapokuwa tumezidiwa. Warusi weusi wote muwe hivi, wawe kama wewe Mjadala na burudani tuzungumze tufurahi. ID yangu haimuhusu mtu, watu wanaacha mada wanajadili ID ya mtu ni UPUMBAFUHistoria huandika na washindi wa vita...kwa mgogoro Russia imeshinda vita mpaka Sasa ushindi ambao utahitimishwa kwa regime ya Zelensky kuondolewa madarakani na nchi nzima ya Ukraine kuwa mikononi mwa Russia...Aidha inawezekana Russia akachukua East na South...na nchi za magharibi zikaambulia maeneo ya Lyiv kule West..
Thibitisha alichosema ni kweliMkuu naona umepanic sana!
Hamtozipata Mkuu ha ha ha
Just calm down, hapa kila mtu ana upande wake, huenda hata maslahi ya moja kwa moja hatuna ila kuna namna tunafurahi dunia ikielekea.Thibitisha alichosema ni kweli
Naamini umejitahidi.Hapana mjomba, hapo kuna concept mbili tofauti. Sijui nikuelezeeje, lakini wao kusema hivo hawajadanganya. Hizo ni maximum speed. Sio speed ya kuanzia. So huezi zipima kwa namna unayofikiria kua paap... Kipi kimewahi kufika.
Natafuta lugha ya kukuelewesha nakosa mwamba.
Russia wanawasubiri Donbas kila siku wanaletwa kuruta wapya inasikitisha sana But why? Unapigania maeneo ya watu usiowapenda aachane na Donbass[Axios] ‘Up to 1,000 Ukrainian soldiers are being killed or wounded each day in the Donbas region of eastern Ukraine, with 200 to 500 killed on average and many more wounded, a top Ukrainian official said on Wednesday.”
Ukraine suffering up to 1,000 casualties per day in Donbas, official says
Ukraine's top negotiator says 200 to 500 troops are dying daily.www.axios.com
Mkuu upande si shida, nyinyi warusi mnajikuta all knowers tukubali kila mnacho kiandika, Ok mnajiita wazee wa spana mpigeni mwenzenu spana au tuthibitishieni alichosema ni kweli. Shika upande wako tujadili tufurahi uhasama wa nini warusi wa chato? Hajapaniki mtu, mkija kiistaraabu, mimi mstaraabu sana. Mkiniletea shombo nitawapa za kutosha zipo store hazina kazi.Just calm down, hapa kila mtu ana upande wake, huenda hata maslahi ya moja kwa moja hatuna ila kuna namna tunafurahi dunia ikielekea.
I predict, the Kiev mopping will be due winter.Atulie Kwanza Ndio Watu wanaanzia Walipo Ishia Jana na Juzi
[emoji1782]Zelensky wants the war to end before winter, he told the G7 leaders during his online address — Reuters