let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
limme lakoona hili nalo
utawasikia haaa haaaNikiangalia youtube Urusi anavyo switch makombora alafu yanaenda kutua kambi za jeshi la Ukreine,na nikikumbuka jeshi letu linavyovunja matofali kwa kichwa nakosa kabisa hamu ya kula ndugu zangu.
dullUna uvumilivu wa hali ya juu mzee. Endelea kujitia vidole tu mwanangu.
toka hapa pro Ukraine wa bunju mnanuka midomolimme lako
Niliweka uzi humu kujusu display yetu tuliyofanya siku ya uhuru ni kujidhalilisha tu. Watu walitoa povuNikiangalia youtube Urusi anavyo switch makombora alafu yanaenda kutua kambi za jeshi la Ukreine,na nikikumbuka jeshi letu linavyovunja matofali kwa kichwa nakosa kabisa hamu ya kula ndugu zangu.
Raisi zelenzsky anawaponza raia wake kwa upumbavu wa NATO.Hakuna haja ya kubishana nae. Sababu Ukraine hawezi tuma kombora likafika Urusi na kwa hivyo vitu vinavyoshushwa kutabaki majivu hapo.
Hawa jamaa tatizo lao ni uyo comedian wao kajichimbia nyuma ya keyboard anatweet TU wkt raia wanakufa uko ovyo.HAPANA, Russia wasitishe Vita, naamini sasa UKRAINE wamepata somo. Nimeona huo ni mziki wa Jeshi la CHECHEN
Teh teh teh.. vitoto vya moscow bhanatoka hapa pro Ukraine wa bunju mnanuka midomo
Urusi ikianguka Amani Africa itarejea japo kwa kiasi fulani. yeye ndiye ana tengeneza bunduki za bei rahisi na kuwauzia bokoharam Alshabab na Islamic state,M 24 na kundi la Joseph Kon (mkristo gaidi)
Hakuna mwanamgambo anaetumia M16 ya US kwasababu inahaji process na pesa ndefu kuipata. majihadist wote duniani wanatumia AKA 47 kwasababu ukiuza junia moja la mahindi unapata AKA 47 MPYA NA RISASI ZAKE.
Putin hanaga Maneno mengi yaani[emoji2]SI MLISEMA ANAVISIRAHA VYA KUNYWEA CHAIView attachment 2135628
Ha ha ha....pro America wameanza kulalamika uko eti Putin anatumia silaha nzito[emoji4]baba Putin koleza moto haswa kuna wapuuzi wa jf walikuwa wanasema utapigwa mpk uchakae ...sisi Warusi wa Buza tumekupa baraka zote ...nadhani heshima sasa itakuwepo
Kwakweli kichapo kiendelee[emoji2]Na hilo liwe funzo kwa westernazi maana usa kafanya Libya iwe ka magofu ...
Mi nafurahi maana anaepasuliwa ni mzungu tena racist[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Putin baba we piga tuu si huku hayatuhusu asee
Ha ha ha....Ze comedy haya inatosha muachie nchi tu anko vladimir mana ukija kustuka utakuja kukuta unaongoza panya na magofu tu mixer mende sio kwa vinu vizito vinavyoshuka hapo we kuna bomu limetua huko mpaka huku kibaha mwanalugali tumesikia
Putin Ni mstaarabu Sana kwakweli[emoji4]Kinachofanyika sasa hivi ni kuwapa alert Raia waliopo kwenye hiyo miji... Ili wapishe zoezi lifanyike kwa utulivu... Nadhani hadi kufikia alfajiri mji wa Kiev raia wengi watakuwa wameshaondoka
Wameipenda wenyewe,Amani ya moyo wangu haitapatikana hadi Putin achukue Ukraine,otherwise Qomamae sinyi wala sinywi. Wataijua wenyeweee aibaba acha waone wenyewe![emoji441][emoji441][emoji441][emoji441][emoji441][emoji351][emoji351][emoji351][emoji351]
Si mlisema amekaribia kutubu😅 mlifikiri Putin ni Aristote eeh😂😂😂Sema Putin ana roho mbaya sana huyu mwamba khaa
Ni aibu kubwa Sana kwao aiseeThe Ukrainian positions captured today in the Volnakhovsky direction.
HIZI HABARI ZOTE HUWEZI KUZIPATA SKY,BBC, AL JAZEERA, SIJUI CNN HUKO UTAPATA ZA UKRAINE TU
View attachment 2135622
Safi sana MexicoMexico amegoma nchi nyingi zimeshajua uhuni wa US na ninawakikishia nchi nyingi zitarudisha mahusiano na russia na maisha yataendeleaView attachment 2135649