LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Nikiangalia youtube Urusi anavyo switch makombora alafu yanaenda kutua kambi za jeshi la Ukreine,na nikikumbuka jeshi letu linavyovunja matofali kwa kichwa nakosa kabisa hamu ya kula ndugu zangu.
utawasikia haaa haaa
 
Nikiangalia youtube Urusi anavyo switch makombora alafu yanaenda kutua kambi za jeshi la Ukreine,na nikikumbuka jeshi letu linavyovunja matofali kwa kichwa nakosa kabisa hamu ya kula ndugu zangu.
Niliweka uzi humu kujusu display yetu tuliyofanya siku ya uhuru ni kujidhalilisha tu. Watu walitoa povu
 
Hakuna haja ya kubishana nae. Sababu Ukraine hawezi tuma kombora likafika Urusi na kwa hivyo vitu vinavyoshushwa kutabaki majivu hapo.
Raisi zelenzsky anawaponza raia wake kwa upumbavu wa NATO.

raia wanateketea kizembe sana, miundombinu inaharibiwa yeye anazidi kushupaza TU fuvu.

Hii nchi Putin akiwa serious, litabaki vumbi.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Urusi ikianguka Amani Africa itarejea japo kwa kiasi fulani. yeye ndiye ana tengeneza bunduki za bei rahisi na kuwauzia bokoharam Alshabab na Islamic state,M 24 na kundi la Joseph Kon (mkristo gaidi)

Hakuna mwanamgambo anaetumia M16 ya US kwasababu inahaji process na pesa ndefu kuipata. majihadist wote duniani wanatumia AKA 47 kwasababu ukiuza junia moja la mahindi unapata AKA 47 MPYA NA RISASI ZAKE.
 
HAPANA, Russia wasitishe Vita, naamini sasa UKRAINE wamepata somo. Nimeona huo ni mziki wa Jeshi la CHECHEN
Hawa jamaa tatizo lao ni uyo comedian wao kajichimbia nyuma ya keyboard anatweet TU wkt raia wanakufa uko ovyo.

Zelenzsky Hana tofauti na kibwetele
 
Urusi ikianguka Amani Africa itarejea japo kwa kiasi fulani. yeye ndiye ana tengeneza bunduki za bei rahisi na kuwauzia bokoharam Alshabab na Islamic state,M 24 na kundi la Joseph Kon (mkristo gaidi)

Hakuna mwanamgambo anaetumia M16 ya US kwasababu inahaji process na pesa ndefu kuipata. majihadist wote duniani wanatumia AKA 47 kwasababu ukiuza junia moja la mahindi unapata AKA 47 MPYA NA RISASI ZAKE.

Hujielewi
 
SI MLISEMA ANAVISIRAHA VYA KUNYWEA CHAIView attachment 2135628
Putin hanaga Maneno mengi yaani[emoji2]
IMG_20220228_154956.jpg
 
baba Putin koleza moto haswa kuna wapuuzi wa jf walikuwa wanasema utapigwa mpk uchakae ...sisi Warusi wa Buza tumekupa baraka zote ...nadhani heshima sasa itakuwepo
Ha ha ha....pro America wameanza kulalamika uko eti Putin anatumia silaha nzito[emoji4]
 
Na hilo liwe funzo kwa westernazi maana usa kafanya Libya iwe ka magofu ...
Mi nafurahi maana anaepasuliwa ni mzungu tena racist[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Putin baba we piga tuu si huku hayatuhusu asee
Kwakweli kichapo kiendelee[emoji2]
Tutafika TU[emoji4]
 
Ze comedy haya inatosha muachie nchi tu anko vladimir mana ukija kustuka utakuja kukuta unaongoza panya na magofu tu mixer mende sio kwa vinu vizito vinavyoshuka hapo we kuna bomu limetua huko mpaka huku kibaha mwanalugali tumesikia
Ha ha ha....
Hatari sana Hii[emoji2]

Pro America sahv wameukimbia Uzi, wanasali rozali
 
Amani ya moyo wangu haitapatikana hadi Putin achukue Ukraine,otherwise Qomamae sinyi wala sinywi. Wataijua wenyeweee aibaba acha waone wenyewe![emoji441][emoji441][emoji441][emoji441][emoji441][emoji351][emoji351][emoji351][emoji351]
Wameipenda wenyewe,
Wameitaka wenyewe,

Acheni waisome nambaaaa, wajinga wale.

Putuni Ni mbele kwa mbele[emoji4]

Marehem komba aliimba
 
Back
Top Bottom