Sasa kama billion 40 hazikufua dafu ambazo ni 50 times ya hio $800m wala hakutakuwa na jipya. Labda hizo silaha wazisindikize na msafara wa Gay Biden😂😂😂Mzigo mwingine huoooo !!! Mrusi kazi unayo !!
The US president also announced another $800m of military aid to Kyiv
NI sawa na 1.864 Trilion Tshs. Ni kweli hii vita haiishi leo wala kesho Mrusi ajiandae kisaikologia.
Kwa hiyo unashauri Sarmat 2 itumike mchezo uishe?
Wacha wenge wewe satan ni bomu letu huku urusiAisee, inasikitisha sana,binadamu wamefanywa kama wanyama tu wa kuchinjwa!! Yes,Satan is already in control.
Piga nduru vizuri,Hivi inakuaje mtu unadanganyika eti Ukraine kamuondosha Russia pale snake Island?
Yani unajiongopea mwenyewe mpaka una amini uongo wako.
Maana ya evacuation ni kwamba wamepigwa vibaya na hawawezi kuendelea kupashikilia.Taarifa za Ukraine zinasema Urusi imefanya evacuation kwenye Snake island juzi. Mashambulizi yaliwazidia kisiwa kidogo tu lolote unalofanya pale halifichikiView attachment 2277895
Ndio sababu ukraine bado inatembeza mkongoto.Zile $40billion zilisaidia nini??