Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
kuna warusi waishio TZ hawajui kwamba US wana Gas nyingi na bora zaidi kuliko ya baba yao Putin. 😀 😀[emoji95] Updates!!!
[emoji845][emoji631][emoji1099][emoji635]For the first time in history, in June 2022, EU countries imported more gas from the United States than from Russia[emoji845]
Mimi siongelei Satan IIWacha wenge wewe satan ni bomu letu huku urusi
Acha kukurupuka kijana, talk with data otherwise funga kopo lako hilokuna warusi waishio TZ hawajui kwamba US wana Gas nyingi na bora zaidi kuliko ya baba yao Putin. 😀 😀
Kama anayo mbona analilia sasa,si ai-tap aitumie?kuna warusi waishio TZ hawajui kwamba US wana Gas nyingi na bora zaidi kuliko ya baba yao Putin. 😀 😀
US ama mambo mengi ambayo wewe na mimi hatuwezi kuyajua, Mkubwa huwa habwabwaji hovyo.Kama anayo mbona analilia sasa,si ai-tap aitumie?
samahan, unaposema gas bora unamaanisha nini kikemia ?kuna warusi waishio TZ hawajui kwamba US wana Gas nyingi na bora zaidi kuliko ya baba yao Putin. 😀 😀
[emoji95] Updates!!!
[emoji845][emoji631][emoji1099][emoji635]For the first time in history, in June 2022, EU countries imported more gas from the United States than from Russia[emoji845]
[emoji95] Updates!!!
Financial times: “Breaking news: US stocks have suffered their worst first-half drop in more than 50 years in a rout triggered by the Federal Reserve’s attempt to rein in persistent inflation and exacerbated by gathering concerns over global growth.”
kuna warusi waishio TZ hawajui kwamba US wana Gas nyingi na bora zaidi kuliko ya baba yao Putin. 😀 😀
Washapakatwa tayari... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Morale of Russian troops in Ukraine is 'low'
Putin Fault [emoji18][emoji18][emoji18]Canon zimeishiwa wino?
Washapakatwa tayari... [emoji23]
magazeti ya Putin wakiandika hivi wanafungwa maisha ndugu - wanaogopa balaa !!Source ya taarifa yako??