LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Vitendo vya kiharifu?? USA to Iraq, Libya Na Israel to parestina hivyo sio vitendo vya kiharifu???
Haye mataifa uliyoyataja wananchi wake walikubali kushika silaha kupambana na kuziangusha serikali zao na Muamerica na wenzie wakasaidia kusaga kunguni. Tofauti na urusi, hao ni wavamizi, hawana tofauti na wezi au jambazi. Siku nyingine uwe unashirikisha ubongo kufikiri. Wananchi wenyewe wa urusi wanaona aibu kwa kinachofanywa na serikali yao. Ila wewe uliyopo Nanjilinji unajifanya unajua sana na kumsapoti huyo kichaa Putin. Huyu ni kama Idd Amin Dada alivyofanya kwa Tanzania.
 
Mimi nilichofurahi mdogo vyombo vya magharibi mdogo mdogo wanaanza kuongea ukweli kuwa Ukrane anapigwa...

Sio zile propaganda zao eti kifaru cha Urusi kimeibiwa na mkulima, mara Ukrane imeua wanajeshi 4500...na mambo kibao
Ha ha ha...
Kwakweli dozi inapenywa kwelikweli[emoji4]
 
NATO na us Ni wanafiki Sana, uyu comedian Sijui analipeleka wapi taifa lake[emoji848]
 
Mjumbe Ghana UN General Assembly : We call Russia to ceasefire and withdrawal of their troops in Ukraine, we suggest diplomatic ways to solve the problem
Porojo TU, ghana nao wapeleke vikosi basi
 
KAKA ENU YEYE VITA YAKE NI YA MITANDAO NA KUOMBA OMBA, UNAOMBA NINI NA WAKATI MMEWAUA WA RUSSIA WAKUTOSHA, KAZENI WAZEE WANGU MTAWAMALIZA RUSSIA HAWANA KITU[emoji1787]
View attachment 2135413
Zekensky Hana ndege hata Moja,
Russians wametawala airspace yote ya ukraine wanawadungua TU kutoka hewan.

Anatapa tapa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…