mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Haye mataifa uliyoyataja wananchi wake walikubali kushika silaha kupambana na kuziangusha serikali zao na Muamerica na wenzie wakasaidia kusaga kunguni. Tofauti na urusi, hao ni wavamizi, hawana tofauti na wezi au jambazi. Siku nyingine uwe unashirikisha ubongo kufikiri. Wananchi wenyewe wa urusi wanaona aibu kwa kinachofanywa na serikali yao. Ila wewe uliyopo Nanjilinji unajifanya unajua sana na kumsapoti huyo kichaa Putin. Huyu ni kama Idd Amin Dada alivyofanya kwa Tanzania.Vitendo vya kiharifu?? USA to Iraq, Libya Na Israel to parestina hivyo sio vitendo vya kiharifu???