Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yajayo yanasikitisha
 
HATARI SANA, Russia fears nothing from West, he's ready for WW3, and ready to use nuclear weapons
 
Hivi Tanzania tuna ujinga wa kuendelea kuteseka ili kumfurahisha Marekani? Magufuli angekuweko kwenye nyakati hizi nafikiri Meli ya wese toka urusi ingekuwa njiani😀😀😀
 
Nakufananisha kama jini wa bongo movie ya low budget ambaye ni raia wa Kenya ukiwatokea watu wanakula unawaambia eeee naona mmekaa hapo mnakula kula tuuuu au nipotee na chakula kumbe hiyo mambo haipo hata kwenye scripts ni njaa yenu huko kenya
Ramani ya uongo hiyo
 
Acha uongo ni kweli ujerumani aliteka urusi ila urusi ndiyo ilikuwa nchi ya kwanza kumshinda ujerumani kwenye hiyo vita hadi Hitler mwenyewe akakubali kuwa wamepata hasara kubwa malaki ya wanajeshi wa ujerumani walijisalimisha urusi
 

Unaandika too much rubbish. Get back to your sense and speak like a matured one! You guys mko desperately want to show the world you are winning. In turn mnaonekana like a bunch of Idiots msio na reasoning yoyote.
 
Ten Countries with the Highest Population in the World. are China, India, United States, Indonesia, Pakistan, Brazil, Nigeria, Bangladesh, Russia and Mexico.

Hapo waliopamoja na Russia:-
China, India, Indonesia, Pakistan, Brazil, Bangladesh, Mexico,

Waliopamoja na USA hapo hakuna.

Walio nusu kwa nusu:- Nigeria,
 
Acha wakaoneshwe sample ya kichapo hapo Kiev
 
Unaandika too much rubbish. Get back to your sense and speak like a matured one! You guys mko desperately want to show the world you are winning. In turn mnaonekana like a bunch of Idiots msio na reasoning yoyote.
Huoni mabwana zao Uingereza wanavyoongea. Wanaongea kama vile akili hazimo kichwani.
 
Mliokuwa mnasifia haya makituhebu kujeni huko mjibu malalamiko.

💢 Business Insider reported on Kiev's refusing American and Turkish drones, which they had previously invested in.

Russian electronic warfare and air defense systems jam and shoot down these drones, so it is inefficient to use them, says Business Insider, citing military experts.

@NewResistance
 


The Ukrainian military sold two CAESAR self-propelled guns received from France, according to the Bulgarian Military publication.

At the same time, the publication refers to its sources in the command of the French Armed Forces and Interpol.

Interestingly, according to BM, the Ukrainians sold these artillery installations to.. Russia. And with a huge discount — at $ 120 thousand apiece at a market price of about $ 7 million.
 
NATO wakitia timu unafikiri China na Iran watawaacha hao NATO wammalize Mrusi?😀

China mjanja sana kama humjui, hapendi mavurugu ya kumtia hasara, hana ujinga kama huo wa Urusi wa kujipeleka kichinjioni kichwa kichwa.

Kwanza Mchina kwa sasa hivi anafurahia sana kuona udhaifu wa Urusi umedhihirika, hivyo amebaki mwenyewe kama mbabe wa kutunishiana misuli na Marekani.
Sijajua kwanini umemtaja Iran, huyo hana lolote, siku zote amewekwa busy na kataifa kadogo ka Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…