Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Lavrov anakimbia kama sungura, mbona anamwogopa yule binti wa Ujerumani?

Russia’s Lavrov walked out of G20 as German minister spoke: diplomats​

Russian Foreign Minister Sergey Lavrov walked out of the Group of 20 session as his German counterpart Annalena Baerbock was criticising Moscow over the Ukraine war, diplomats have said.
Diplomats said Lavrov later also left an afternoon session before a virtual appearance by Ukraine’s foreign minister and was not present as US Secretary of State Antony Blinken condemned Russia in the closed-door meeting in Bali.
 
Maana yake ni kwamba ametumia sehemu ndogo sana ya jeshi lake au nguvu ya kijeshi
 
Af kuna wale kenge waliosema Ruble sio chochote mfumo wa ku backed by gold ulishafeli toka miaka ya 6O mara blaah blaah kibao. Sasa jiandaeni kuzoa dollar kama majani ya mjohoro wakati wa kiangazi
 
Yale yale tu hamna lolote, mlishaonyesha udhaifu wenu, kainchi kadogo hapo jirani kamewashinda kufumua

Siku zote mwanamke mwenye nyege ndio hupendq ligi ya vitu vya kijinga. Angalia wahuni wasikuachie mimba.
Kwanza sidhani kama kuna taifa limeweka ushabiki kwenye huu mgogoro wa Ukraine kama Tanzania, yaani JF hapa mnalumbana hata kuwazidi Ukraine-Urusi wenye ugomvi wao, kisa tu mitazamo ya kidini hususan kwa nyie afuasi wa dini ya mwarabu.
We ni mdini sana pumbavzako mada haihusu dini ila unakazania mambo ya dini dini kilaza kweli
 
[emoji845]DEDOLARISATION IS IN FULL SWING. Traders of the foreign exchange market already have more yuan than dollars.[emoji845]View attachment 2282792
Niliwahi kuwaeleza humu kuwa siku zijazo yuan na ruble zitaimarika, na mwenye hela awekeze kwenye nishati !!! Baadhi yetu humu waliniona 'punguani'.
====
Haya maelezo niliyatoa kwenye uzi huu hapa chini. Ilikuwa mwaka 2018
 
Naona watu wanapiga jaramba huko Ili wamalize kazi 🤔🤔🤔
💢 The General Staff of the Armed Forces of Ukraine reports that at the airfield in Zyabrovka in the Gomel region of Belarus, not far from the Chernihiv region, the number of Russian tanks, infantry fighting vehicles and S-400 air defense systems is increasing.

@NewResistance
 

NATIONWIDE CANADA OUTAGE OF ALL CREDIT/DEBIT CARDS​


As of 9:35 AM EDT Friday. reports are now flooding-in that ALL credit and Debit card processing in Canada is OFFLINE. Also receiving reports that numerous Cellphone carriers are suffering service outages NATIONWIDE.
More details as I get them. (This is why I so often encourage readers and listeners to my radio show, to HAVE CASH MONEY.)

UPDATE 9:51 AM EDT --
APPARENTLY IT'S NOT JUST CREDIT/DEBIT CARDS AND SOME CELLULAR CARRIERS . . . . IT'S EVERYTHING. ALL COMMS SEEM TO BE AFFECTED. LOOK:

ROGERS Canada confirms it is having massive network issues and is working on it.

Could it be Cyber
warfare by Killnet.More news as I get it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…