ngaboru
JF-Expert Member
- Mar 3, 2016
- 2,117
- 5,537
Kwani NATO kaanza?[emoji16]
Ye ampige Ukraine kwanza, ama apige zile nchi za NATO alizosema atapiga hata moja.
Ina maana NATO hawanaga hasira wamechokozwa sanaa ila kimya hakuna retaliate kwa Russia.
Putin kwa sasa ndio kubwa la maadui period.