Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dola inazidi kutupwa
Screenshot_20220708-052049.jpg
 
Mnafahamika atu wa dini mwarabu, huwa mnamwagika kwenye mtazamo mmoja na kushabikia kila yeyote anayedhaniwa kumkomoa Marekani, halafu miaka yote mnajaza green card mkijaribu fursa za kwenda huko huko Marekani hehehehe
Cha ajabu mi so mwarabu Ni mkatoliki Safi . Niliumizwa zaidi na alichofanyiwa colonel gadafi.
Nikaamua kuwa upande ambao Ni salama bila kujali cool Gadaf alikua mwarabu
 
Bloomberg: The budget bodies of the European Commission refuse to approve the allocation of a new 1.5 billion euro loan to Ukraine through the European Investment Bank due to fears that Kiev will not be able to return the money😂
Naona wameshakubali na kuyaamini maneno ya Medvedev kuwa Ukraine itafutika mbele ya uso wa dunia hivyo hakuna sababu ya kuwakopesha pesa zaidi maana hawatolipwa😁😁😁
Russia kweli ndo mwamba wa dunia tuliekuwa tunamsubir
 
Kwanza sidhani kama kuna taifa limeweka ushabiki kwenye huu mgogoro wa Ukraine kama Tanzania, yaani JF hapa mnalumbana hata kuwazidi Ukraine-Urusi wenye ugomvi wao, kisa tu mitazamo ya kidini hususan kwa nyie afuasi wa dini ya mwarabu.

Huna unachojua ndomana nikikwambia wewe sio mfuatiliaji unanibishia. Huu mgogoro unafuatiliwa dunia nzima Sio Tanzania tu. Inshort Russia ana support kubwa sana watu washachoka na ufedhuli wa WEST.
 
Mnafahamika atu wa dini mwarabu, huwa mnamwagika kwenye mtazamo mmoja na kushabikia kila yeyote anayedhaniwa kumkomoa Marekani, halafu miaka yote mnajaza green card mkijaribu fursa za kwenda huko huko Marekani hehehehe

Achana na masuala ya Dini kwenye huu uzi kama umeishiwa hoja ni busara ukatulia
 
Bloomberg: The budget bodies of the European Commission refuse to approve the allocation of a new 1.5 billion euro loan to Ukraine through the European Investment Bank due to fears that Kiev will not be able to return the money[emoji23]

Itafika stage Ukraine ataachwa yatima naona taratibu wana mkataaa ni suala la muda tu.
 
Japo umejibu kitu tofauti na nilicho ongea kwa kutozingatia wakati (" yanayo endelea kipindi hiki cha operation ") ila acha nikujibu kwa faida yako kama ifuatavyo;

Moja: Vladimir Putin siyo Mungu, malaika wala siyo mtakatifu, kwahiyo kutokubalika na kukosolewa na hao baadhi(warusi 8) ulio wataja inadhibitisha kuwa Putin ni binadam na siyo mkamilifu.

Pili: Putin ni rais wa urusi na siyo mfalme wa urusi, Putin ni mwanasiasa na siyo kiongozi wa dini, kwahiyo kuwa na wapinzani ni moja wapo ya maisha yake kama mwanasiasa, sema pale tunapoona nguvu ya upinzani ni ndogo kuliko ya kukubalika ndo tunasema Putin is great and acceptable leader in Russian federation [emoji635]

Tatu: Kuto kubalika au kukubalika (approval rating) kwa V.putin nchini Urusi hakupimwi kwa idadi ya warusi 8 ulio wataja bali kwa majority of Russians.
Kwa mjibu wa data za utafiti hivi karibuni zinasema: "3 days ago — Since his first presidential term started in 2000, Vladimir Putin's highest approval rating was measured at 88 percent". Wakati huo biden ikishuka mpaka 39%, Mke wake B.Johnson ikishuka mpaka 0% na sasa ni raia alie poa wa UK, Poor English Pm[emoji23][emoji23][emoji23]

Haya sasa turudi kwenye hesabu, ili tuone warusi wanao mkubali na wasio mkubali Putin kwa sasa;

☆Jumla ya warusi waishio Urusi ~=~ 145millions
☆Wanao mkubali putin = 88/100 × 145m = 127.6Millions.
☆Wasio mkubali putin(12%)= 145 - 127.6 = 17.4millions.

Conclusion: Warusi wapatao milioni 128 wanamkubali Putin na serikali yake, Warusi wapatao milioni 17 hawamkubali putin na serikali yake. Hivyo basi Putin na serikali yake a akubalika kwa kiwango cha juu nchini Urusi.

Recommendation: Viongozi wa ulaya na America inatakiwa waende Moscow wakapigwe shule na Putin namna ya kukubalika kwa raia wao hasa katika kipindi kigumu, ili kuwaondolea fedheha za kujiuzulu na kupoteza ushawishi.

Nawasilisha Jibu langu lenye hoja kuu tatu kutoka Kremlin ya hapa Bongoland[emoji635].
Majibu mazuri kabisa kutoka kwa mtu makini.Safi sana mkuu
 
Tim nato kuna salam zenu kwa mwamba Putin leo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]


Putin Strikes Back Again [emoji457]

Putin to West: You want to defeat Russia on the battlefield? Try it! But keep in mind that we haven’t even started anything serious yet. https://t.co/kjmqzNGVYc
Kwani NATO kaanza?[emoji16]

Ye ampige Ukraine kwanza, ama apige zile nchi za NATO alizosema atapiga hata moja.
 
Back
Top Bottom