Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kufananisha Utawala wa Russia na UK ni sawa kufananisha Makande na Pilau. Uingereza ni nchi ya demokrasia, mawaziri wake wakuu wamekuwa wakistaafu mara nyingi tu, bunge na vyama vya Uingereza vina nguvu za kwawajibisha viongozi wao. Hii ni tofauti na Russia kabisa ambayo ni utawala wa mtu mmoja kwa miaka karibu 20 sasa na bunge halina nguvu za kumuwajibisha kwa chochote.
Nakuona upo katika ubora wako wa kukurupuka.

Nilichokiandika mimi kinasema; "Uchambuzi wa hali halisi ya kisiasa kwa nchi za EU na Amerika katika kipindi hiki cha Ukraine-Russiaconflict". Is Russia EU country???

Ulijo chibu wewe: "mfanano kati ya utawala wa Russia na Uk". Sasa sijui umekusudia kujibu ujinga ili uonekane mjinga au ndo uwezo wako wa kuelewa umeishia hapo, Mimi sijui.

Nadhani ingependeza zaidi kama hoja zako zingejikita kwenye nilichokiandika kuhusu kuongezeka kwa mpasuko wa kisiasa kwa nchi za EU na America.

Ila kwa ulichopuyanga hapo, Inaonekana kabisa Huna hoja unless kama ungejibu hoja iliyopo mezani then ukaibua hoja yako hiyo mpya ya mfanano wa utawala kati ya Russia na UK.
 
Naomba nitumie akili yangu ya kibinadamu kufanya analysis juu ya hali halisi ya kisiasa inayoendelea huko ulaya na Amerika.

Utangulizi: Katika kipindi hiki cha operation ya Urusi nchi nyingi za ulaya zimepitia mpasuko mbalimbali wa kisiasa na kiuchumi kwasababu mbalimbali lakini sababu mama ni sera zao dhidi ya Ukraine-Russia conflict. Kiujumla, tangu operation ya urusi ianze inakadiliwa kuwa zaidi ya mawaziri 40+, Wabunge 50+ na mawaziri wakuu wawili wa nchi za EU wamejikuta wameangukia pua kwa njia ya kura (ufaransa), Kujiuzuru (UK) na kupigiwa kura ya no confidence (Bulgaria). Hivo basi zaidi ya viongozi 100 wa kisiasa kutoka nchi za ulaya wamepoteza nyadhifa zao ndani ya kipindi hiki cha Operation, Urusi ikiwa haijapoteza hata balozi wa nyumba kumi kwenye serikali yake ya Moscow.

Uthibitisho wa hiki nikisemacho juu ya Anguko la kisiasa kwa nchi za EU ni huu hapa nchini;

☆French general election on April,2022: For the first time in 20 years, a newly-elected French president failed to win an absolute majority in Parliament, forcing President Macron to deal with a defiant left and a resurgent far-right.

☆Recently Macron loss: Less than two months after he was re-elected president, Emmanuel Macron has lost control of the French National Assembly following a strong performance by a left alliance and the far right.

☆PM in Bulgaria; Bulgarian Prime Minister Kiril Petkov leaves after a no-confidence vote at the parliament, in Sofia, Bulgaria, June 22, 2022.

☆PM in UK; "Boris Johnson has resigned today following a revolt within his Conservative Party" more than 50 members of Parliament resigned from his government within 48 hours. London CNN

☆Italy on 11,April-2022: Hundreds of Italians staged protests in central Rome on Sunday evening, calling for an end to the conflict in Ukraine and blaming the NATO for a series of provocative actions in Ukraine that led to the war" Rome (IP)

☆ Belgium on June 20: Around 70,000 Belgian workers marched through Brussels on Monday demanding government action to tackle sharply rising living costs, as one-day strikes at Brussels Airport and on local transport networks nationwide brought public travel to a near-halt- Reuters

☆USA: After staying pretty stable from mid-January until early May, President Joe Biden’s approval ratings have declined over the past few weeks, hitting a new low at 39%.
Seven in 10 Americans say they do not want President Biden to run for a second term, according to a new poll that comes as Biden’s approval numbers remain low and his party braces for losses this November.

"Putin has made Biden a laughing stock and invaded Ukraine, inflation is headed over 10%, our economy in the tank, everything Biden touches goes to crap, plus he going senile! - Should we impeach Joe biden"? In Americans voices.

Hiyo ndo hali halisi ya kisiasa ilivyo kwa nchi zinazo ongoza kuwa na chuki dhidi ya Urusi (unfriendly countries to Russia) Tukigeukia upande wa pili wa nchi za EU ambazo zimeamua kutojiingiza moja kwa moja kupambana na Urusi hali yake ya kisiasa na utulivu iko kama hivi:

☆ Hungary Election on April 2022: Viktor Orbán has won a fourth successive term as Hungary’s prime minister, capping a campaign dominated by his controversial stance on Russia’s invasion of Ukraine with a speech that appeared to mock Volodymyr Zelenskiy, the Ukrainian leader
3 Apr 2022 — Rightwinger and Putin ally aims dig at Ukraine's Volodymyr Zelenskiy after Fidesz party claims another super majority.

☆Turkey: hali ya kisiasa nchini Uturuki imetulia ukilinganisha na hali ya kisiasa kwa nchi zisizo rafiki kwa russia hakuna maandamano, wala mpasuko ndani ya serikali, watu wametulia wanaendelea na mishe mishe zao.

Je TUMEJIFUNZA KIPI KUTOKA KWENYE MATUKIO YA KISIASA TAJWA HAPO JUU IN RELATION TO UKRAINE-RUSSIA CONFLICT?

Kwa mtazamo wangu binafsi navyo ona;
☆Ushawishi wa Viongozi wa ulaya na amerika kwa raia wao katika kipindi hiki cha operation unategemea na namna wanavyo dili na Russia, wote walio onekana kupambana na Russia ushawishi wao umeshuka na wengine tayari wameachia ngazi(Boris), wengine wapo njiani kuachia ngazi (Joe biden).

☆Viongozi wa western walio amua kutanguliza masilahi ya taifa lao kwanza na kuepuka kuingilia ugomvi wa Ukraine Vs Russia moja kwa moja, ushawishi umeongezeka na hali ya kisiasa nchini mwao imetulia. Mfano Hungary, uturuki na n.k

☆Nchi zisizo rafiki kwa Russia, PM au Rais akizingua kidogo tu, basi wakulungwa wanapitia hicho kisababu kumuondoa madalakani au kutikisa mamlaka yake ila nyuma ya pazia sababu kuu inakuwa ni hasira dhidi ya anavyoshughulikia suala la operation ya Urusi(Wazee wa sanctions) mfano; Sababu iliyo muondoa B.J

☆kadri operation inavyozidi kuendelea ndo ulaji wa wanasiasa wa ulaya unazidi kupotea siku hadi siku. Maisha magumu, njaa, inflation na kuharibu pesa za walipa kodi kupeleka silaha Ukraine nisababu zinazofanya wakutane na hasira za raia hadi kupoteza ushawishi.

☆Kujiuzulu na kuanguka kwa serikali mbali mbali duniani hasa za Ulaya, na America katika kipindi hiki cha Ukraine-Russia conflict ni moja wapo ya ushindi kwa Urusi na ishara ya ushawishi mkubwa wa taifa la Urusi. Wahenga wanasema "Boss hanuniwi"

☆Ni dhahili yakuwa Urusi imethibitisha kuwa na viongozi smart kuliko wapinzani wao, nakiongozi mzuri anapimwa namna anavyo kabiliana na changa moto. Hilo Russia kashinda na bado anaendelea kushinda chini ya kichwa smart kinachoitwa Vladimir Putin.

Mwisho kabisa naomba nimalizie kwa kunukuu maneno ya waziri wa mambo ya nje wa Urusi Mh. Lavrov alisema;
"Anaedhani Urusi inaweza ikaanguka au kushindwa kwenye operation yake, huyo atakuwa ana elimu duni ya historia au atakuwa haifahamu vizuri urusi ilivyo na namna inavyo endeshwa" Mwisho wa nukuu.

Mimi: URUSI SIYO ZIMBABWE, CUBA, PALESTINA, VENEZUELA, SYRIA WALA BURKNAFASO.
Kama unabisha kamuulize aliekuwa Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson kilicho mkuta baada ya kujaribu kubattle na Urusi.

Finally; for the sake of a better world I stand with Russian federation dead or alive[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Bandiko zur Sana,
Limegusa uhalisia 100%
 
Nakuona upo katika ubora wako wa kukurupuka.

Nilichokiandika mimi kinasema; "Uchambuzi wa hali halisi ya kisiasa kwa nchi za EU na Amerika katika kipindi hiki cha Ukraine-Russiaconflict". Is Russia EU country???

Ulijo chibu wewe: "mfanano kati ya utawala wa Russia na Uk". Sasa sijui umekusudia kujibu ujinga ili uonekane mjinga au ndo uwezo wako wa kuelewa umeishia hapo, Mimi sijui.

Nadhani ingependeza zaidi kama hoja zako zingejikita kwenye nilichokiandika kuhusu kuongezeka kwa mpasuko wa kisiasa kwa nchi za EU na America.

Ila kwa ulichopuyanga hapo, Inaonekana kabisa Huna hoja unless kama ungejibu hoja iliyopo mezani then ukaibua hoja yako hiyo mpya ya mfanano wa utawala kati ya Russia na UK.
Humumfahamu Yoda.
 
Tanzania hakuna huo upuuzi kama wenu,mna uzezeta wa Ukabila huko kwenu

Kwanza sidhani kama kuna taifa limeweka ushabiki kwenye huu mgogoro wa Ukraine kama Tanzania, yaani JF hapa mnalumbana hata kuwazidi Ukraine-Urusi wenye ugomvi wao, kisa tu mitazamo ya kidini hususan kwa nyie afuasi wa dini ya mwarabu.
 
Sasa humu Nani kaongelea dini?
Pointi kwa pointi. Pumba hizi unazoandika ndo point? Unawadhalilisha sana waafrika kule Quora.
Jamaa mmoja juu anasema urojo unafanya we'we aibu aona yeye.
Kipindi nasoma point Kama zako tuliita ( IPP) yaani INTERNATIONAL PUMBA POINT .

Mnafahamika atu wa dini mwarabu, huwa mnamwagika kwenye mtazamo mmoja na kushabikia kila yeyote anayedhaniwa kumkomoa Marekani, halafu miaka yote mnajaza green card mkijaribu fursa za kwenda huko huko Marekani hehehehe
 
Mnafahamika atu wa dini mwarabu, huwa mnamwagika kwenye mtazamo mmoja na kushabikia kila yeyote anayedhaniwa kumkomoa Marekani, halafu miaka yote mnajaza green card mkijaribu fursa za kwenda huko huko Marekani hehehehe
‼️ 🇺🇦 🏴‍☠️ Summary of the General Staff of the Armed Forces of Ukraine.

▪️ Central Military District of Kharkiv region, Russian troops are advancing in the area of Sosnovka settlement from the direction of Cossack Lopan settlement;

▪️ In the Slavyansk direction, the Russian Army is storming the locality of Bogorodichnoye;

In the DPR, Russian troops are advancing in the direction of Verkhnekamenskiy settlement (east of Seversk) and Grigoryevka settlement (north-east of Seversk), entrenched in the vicinity of the Disputed settlement;

▪️ In the Bakhmut direction, Russian troops are improving the tactical situation.
 
‼️ 🇺🇦 🏴‍☠️ Summary of the General Staff of the Armed Forces of Ukraine.

▪️ Central Military District of Kharkiv region, Russian troops are advancing in the area of Sosnovka settlement from the direction of Cossack Lopan settlement;

▪️ In the Slavyansk direction, the Russian Army is storming the locality of Bogorodichnoye;

In the DPR, Russian troops are advancing in the direction of Verkhnekamenskiy settlement (east of Seversk) and Grigoryevka settlement (north-east of Seversk), entrenched in the vicinity of the Disputed settlement;

▪️ In the Bakhmut direction, Russian troops are improving the tactical situation.

Yale yale tu hamna lolote, mlishaonyesha udhaifu wenu, kainchi kadogo hapo jirani kamewashinda kufumua

where-are-ukraine-&-russia.jpg
 
Bloomberg: The budget bodies of the European Commission refuse to approve the allocation of a new 1.5 billion euro loan to Ukraine through the European Investment Bank due to fears that Kiev will not be able to return the money😂
 
⚡️⚡️⚡️🇷🇺🇺🇦A large force of the Russian army is ready to attack Kharkov-Arestovich

"The Russian 144 motorized rifle Division in full strength is ready to move to Kharkov. If this force goes to the city,it will be unpleasant,"⚡️⚡️⚡️
 
#YURI WAR BRIEFING Kharkov trap - Russians continue driving ukraians mad hitting them from far away, while Ukrainians cannot withdraw from a city this important. Slaviansk: Krasnopolye not taken yet despite bitter fights. Seversk: new Ukrainian tactic discovered. Uglegorsk power plant - a desperate attack of Ukrainian strategic reserves to deblocade the semi-encircled garrisons of Novoluganskaya village and Uglegorskaya power plant was not successful, yet Ukrainians managed to take Vershina village in a bloody and tough battle, but stopped by Wagner men from further advance. Significant losses at both sides.

State of the fronts as of 18:00 CEST (19:00 MOSCOW)
español
 
Back
Top Bottom