Bugucha
JF-Expert Member
- Jan 3, 2020
- 3,621
- 14,714
Huyu colonel,vita viilipoanza Tu,alitoa sababu ya vita na matokeo yake,na kweli mpaka sasa naona yametokea,moja wapo alisema Ukraine itapigwa na hakuna atayemsaidia,na hili,sina Shaka kabisa!Afisa mstaafu wa Pentagon, Colonel Macgregor, aonya kuwa Ukraine itafutika kabisa kwenye ramani ya uso wa dunia kama jitihada za kusitisha mapigano na Urusi zisipofanyika kwa haraka (yaani kwa maneno mengine ni kuwa Urusi itakomboa ardhi yote ya Ukraine-hakuna wa kuweza kuizuia duniani-na kuiunganisha kuwa sehemu ya mipaka mipya ya Urusi)
View attachment 2283450