Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia, China and Iran moving troops to Latin America - next door to the US! Venezuela President, Maduro will host the military exercises in mid-August

This is known as "SNIPER FRONTIER"

Kushuba ngempela manje, iphaphu kumkhulu. They might just have military base there...[emoji91] https://t.co/UbRFhEIL78
Kazi ipo
 
Waliokua wanasema uingereza itapigana Vita ya 3 ya dunia Sijui wanajiskiaje na hili wimbi la mawaziri wa boris johson kujiuzulu mfululizo.

Sahivi wamefika 42,
Nnachokiona Hii Serikali inaanguka soon[emoji16]
Nahisi yule mjumbe wa Russia ktk umoja wa mataifa aliyekuwa anatupa mipango ya vita kuna kipande alisema ikianza ww3, wataanza kuipiga UK, nafikiri alimaanisha hiki kinachotokea sasa kwa malikia na si makombora
 
Afisa mstaafu wa Pentagon, Colonel Macgregor, aonya kuwa Ukraine itafutika kabisa kwenye ramani ya uso wa dunia kama jitihada za kusitisha mapigano na Urusi zisipofanyika kwa haraka (yaani kwa maneno mengine ni kuwa Urusi itakomboa ardhi yote ya Ukraine-hakuna wa kuweza kuizuia duniani-na kuiunganisha kuwa sehemu ya mipaka mipya ya Urusi)

View attachment 2283450
Waukraine wa Kaishozi wanajua kuliko Mshauri wa Pentagon.....
 
⚡️⚡️⚡️Today, during the successful offensive of the units of the ''V'' group northwest of Slavyansk,the elite of the airborne assault troops of the Armed Forces of Ukraine surrendered⚡️⚡️⚡️
IMG_20220707_172432_541.jpg
 
Mwaka huu tutaona mambo 🤣🤣🤣
‼️PEOPLE AVOID TO DIE FOR THE WEST‼️

A camp somewhere in the West🇺🇦 is visited by Ukraine’s recruitment officials accompanied by the police in order to deliver draft notices.

A naked resident flees to the safety of the forest, raising alarm with a tribal yell to alert others
 
Mwaka huu mambo ni juu ya mambo , Hapa wayukrein wachapana wao kwa wao🤔🤔🤔

#stories A session of the town council of a town near Odessa. The mayor ends up in a fist fighti with the district head, calling him “a pervert and a fucking drug addict”

 
Mwaka huu mambo ni juu ya mambo , Hapa wayukrein wachapana wao kwa wao[emoji848][emoji848][emoji848]

#stories A session of the town council of a town near Odessa. The mayor ends up in a fist fighti with the district head, calling him “a pervert and a fucking drug addict”

View attachment 2283673
Hawa Ukraine walishachanganyikiwa sana, wanajeshi hawana hela hawalipwi kinachofuata wanauza silaha wanazoletewa misaada
20220706_210610.jpg
 
Watu kama Medvedev viongozi wa ngazi za juu wanaelewa mengi sana yaliyojificha nyuma ya pazia. Ambayo akina sisi tukiyasema tunaonekana watu wa ajabu. Of course nilivyokiona hicho ulichokiulizia ikanifanya niseme vile kua msome hadi mwisho.

Anayo yaandika Medvedev kwa mtu anayependa kufatilia vitu kuna funguo nyingi sana za kufungulia milango mingi tu iliyofichwa kama mnamkumbuka na ile issue ya 'Kabal" na "West Elites".

Binafs ukiniuliza kuna ugaidi duniani nakataa, nitakwambia kuna makundi yako Organized by CIA kutengeneza image ya kumshughulisha US kwenye sera zake za nje kwa mataifa ya wenzie.

Kuzungumzia zote mbili Sept 11 na Manhattan Project itakua post ndefu mno, Tutoke na Sept 11 peke yake.

Sept 11 ni tukio la "mchongo"... How tuzungumzie dondoo chache tu kuhusu
1. Siku moja kabla ya tukio Sept 10, Defence Secretary wa wakati huo akatangaza kupotea dola trillion 2.3 halafu siku iliyofata Pentagon ikalipuliwa.

View attachment 2283052

2. Kuna jamaa mmoja anaitwa Bill Cooper, mwezi Janu mwaka huo 2001 alilizungumzia hili tukio kabla halijatokea and soon akadanja. Huyu jamaa japo alilisema alipuuzwa kwasababu alikuwa kazoeleka kua ni conspiracy theorist kwenye macho ya wengi. Hasa enzi hizo akiwa anazungumzia kuhusu AIDS kua ni gonjwa "mchongo".

View attachment 2283077

Kwenye hiyo video anayezungumza mwanzo ndie yeye Bill Cooper, hizo sehem nyingine zimeongezwa... Mskilize vizuri. Alisema tukio litapigwa ndani na hao wapigania NWO. Kisha kuhusishwa na huyo mdau wa middle East ili US apate mwanya wa kuwaaminisha Raia wake kua ana haki ya kuelekea huko. Aliyasema hayo kabla ya tukio baadae alikutwa kadanja.

3. Mnamo 2007, General Wesley Clark wa US anasema wazi video nitawapa... Kwamba US ilipanga kuvamia "attack" nchi 7 ndani ya miaka mi5.

View attachment 2283059

Katika hizo dakika 2 kuna maneno haya weka attention yako vizuri kwenye list ya hizo nchi.

“This Is a Memo That Describes How We’re Going to Take Out Seven Countries in Five Years, starting with Iraq, And Then Syria, Lebanon, Libya, Somalia, Sudan And, Finishing Off, Iran.”

"The Truth, About the Middle East Is, Had There Been No Oil There, It Would Be Like Africa. Nobody Is Threatening to Intervene in Africa."


4. Hilo tukio linahusishwa na Osama bin Laden, a man from middle east. Kwa Intel ya US haikuingiii akilini avuke hiyo pacific kwenda kuratibu shambulio thousands of mile away bila kua na watu ndani tena vitengo nyeti wa kuratibu issue hiyo.

Ukirudi nyuma Osama alikuwa trained na hawa hawa US enzi za vita baridi dhidi ya Russia kule Afghanistan. Enzi hizo magazeti kibao tu ya Marekani yakimuita Shujaa.

View attachment 2283066

Halafu eti baada ya kuiangusha Yugoslavia, wakarudi kupigana na yule waliyemtumia kuiangusha USSR.

5. Week kama 6 hivi kabla ya tukio, kuna mzee mmoja anaitwa Larry Silverstein, (mnaweza kumtafuta). WTC's lease iliuzwa kwa huyu jamaa, akakata bima ambayo ina cover terrorism attack. Baada ya sept 11 aliipeleka hio kampuni mahakamani kudai fidia. Akapiga billions of dola in just few weeks

View attachment 2283082

Eti hiyo nayo ni Coincidence???

6. Kuna footage kutoka kwa witness mmoja wapo siku ya tukio. Ana dai no plane just a bomb within. Bila kusahau hili ni moja ya tukio lililo defy many laws of physics kwenye issue ya milipuko.
Watch out
View attachment 2283085

7. Hapo sasa kinazuka kichekesho kingine. Tukio limetokea 2001 hadi 2006 hapo ni miaka mi5 George Bush ndio anakuja kiri kua ndani ya jengo kulikuwa na milipuko... Kayajulia wapi eti "after torture of the master mind wa hilo tukio Khaleed Sheikh Mohammad"

8. Video nyingine hii inayoonesha vizuri ile left tower kua haikupigwa na ndege...

View attachment 2283102

Kikawaida ukidanganywa sentensi ya kwanza, sentensi ya pili basi maelezo yote yanaingia mchanga.
🔸Hio ni mifano katika mengi yaliyopo...

Kuna Album moja hivi ya Supertramp ya mwaka 1979. Mkiweza itafuteni...

Hii Album ina songs 4 tu. Moja wapo ni "Logical Song", ndani ya huu wimbo kuna vijineno hivi...

"There Are Times When All the World's Asleep
The Questions Run Too Deep
For Such a Simple Man"


Mh 🤔🤫

Wait, Cover ya Album ni hii
View attachment 2283135

Itizameni hii Album Cover vizuri, ina code nyiiiingi sana kama kuna wataalam wa ku-decipher kazi kwenu.

🔸Dirisha la "ndege" linalotoa mwangaza wa jiji "lisilojulikana"...

🔸Dada wa watu kanyanyua Glass ajabu ikakaa uwiano wa majengo mawili tu marefu kuliko yote yanaoonekana nyuma hapo.

🔸Majengo mawili hayo yakashika uwiano wa herufi mbili tu juu yale U na P.

🔸Kinachovutia zaidi ni kua mkono wenye glass ulienda kuzipa herufi hizo mbili kwa chini yake.

Ha ha of course sio bahati mbaya ni hidden text hizo... Tutazijuaje? Em tufanye mirroring ya hiyo picha juu, Left right to right left.

View attachment 2283141

He he he mkono unaelekeza 9/11... Juu ya tower 2 au sio sasa Unganisha na kile kikichoimbwa kwenye wimbo... ha ha hii dunia bn.

Hili gazeti so poa
Kazi kweli kweli
 
Wapiganaji kutoka Buryat na Tuva
Wazee wa budha yule mkuu
Wapo huko Ukraine wanakiwasha
Na hawana sifa.
Kongole kwaoView attachment 2283744

Mungu awajaalie vita sio babaako ni noma.

Jana niliangalia movie flan based on true story (balozi wa kimarekani aliyeuawa Benghazi Libya).

Aisee dakika tano vitani ni kama miaka mitano😂😂😂😂🙌 🙌.

Nitumie nafasi hii kuwaombea moyo mgumu, ujasiri na kutokukata tamaa wanajeshi wote wanaopambana popote pale duniani ili kutafuta haki.
 
Mwaka huu mambo ni juu ya mambo , Hapa wayukrein wachapana wao kwa wao🤔🤔🤔

#stories A session of the town council of a town near Odessa. The mayor ends up in a fist fighti with the district head, calling him “a pervert and a fucking drug addict”

View attachment 2283673
Wachapane tu maana hakuna namna
Hawa Ukraine walishachanganyikiwa sana, wanajeshi hawana hela hawalipwi kinachofuata wanauza silaha wanazoletewa misaadahh


View attachment 2283684
Halafu wanajisalimisha kwa hao wateja wao,maisha yanakwenda.
Nalog off Z
 
Back
Top Bottom