Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mungu awajaalie vita sio babaako ni noma.

Jana niliangalia movie flan based on true story (balozi wa kimarekani aliyeuawa Benghazi Libya).

Aisee dakika tano vitani ni kama miaka mitano😂😂😂😂🙌 🙌.

Nitumie nafasi hii kuwaombea moyo mgumu, ujasiri na kutokukata tamaa wanajeshi wote wanaopambana popote pale duniani ili kutafuta haki.
13 Hours: The Secret Soldiers of Benghazi... Hatari sana....
 
Russia tuna denazify mpaka lami msituchezee
Dozi inaendelea
emoji635.png
emoji635.png
emoji635.png
emoji635.png
emoji635.png
emoji635.png
emoji635.png
emoji635.png
emoji635.png
emoji635.png
View attachment 2283533
 
Style ya Russia pasua kichwa, kuna vituko wacha tuziite as if ni sanctions za kimya kimya zinatembea uko. Addresses za eneo zilipo US na UK embassies zimebadilishwa to DPR and LPR square respectively.

US akajifanya kutumia address za coordinate instead of jina la eneo kukwepa jina la "DPR Square" kwenye adress ya balozi yao huko Moscow.

UK nae agomea kuitambua adress mpya ya LPR Square, matokeo yake barua zote zinazotumwa kwa address ya zamani hazifikiiii [emoji23][emoji23][emoji23] zinarudishwa ziliko toka.

So wachague kunyoa au kusuka he he he he!

Dah akiii 2022 itakumbukwa daima.
Kibaya zaidi kinacho waumiza hao USA na EU ni ule utulivu wa kisiasa ndani ya urusi pamoja na utulivu wa raia wa Urusi katika kipindi hiki cha operation, Warusi wametulia tulii utazani jeshi lao lipo Ukraine kupiga mazoezi ya kijeshi tu, hiki kitu kinawakera sana Westerners.

Maandamano na mpasuko wa kisiasa ambao walitamani kuuona ukitokea ndani ya Urusi badala yake umewageukia wao. Maandamano kwao, viongozi kujiuzuru kwao, maisha magumu kwao, Viongozi kushuka rate zao za ushawishi kwao, kupigiwa kura za kutokuwa na imani nao, kwao.

Kiufupi wanapitia kipindi ambacho hawakutarajia kukipitia, nadhani wakati wanapiga hesabu zao walifikri Urusi ni Zimbabwe wakaamua kutumia mbinu walizo tumia kupambana na Zimbabwe kwa taifa kubwa na lenye nguvu duniani kama Urusi.

USHINDI WA URUSI NDO UHAI WA DUNIA MPYA YENYE MULTIPOLA ERA.

GOD BLESS RUSSIAN FEDERATION [emoji635][emoji635][emoji635]
 
Hawa hapa ni baadhi amabo walijaribu kumkosoa au kushindana na utawala wa Putin

1.Alexei navalny
2.Boris Nemtsov
3.Sergei Magnitsky
4.Mikhail Khodorkovsky
5.Alexander Litvinenko
6.Vladimir Kara-Muzra
7Mikhail Kasyanov
8.Anna Stepanovna Politkovskaya

Summary of the General Staff
of the Armed Forces of Ukraine.

- In the Kharkiv region, Russian troops
are advancing in the area of the
settlement. Sosnovka from the side of
the settlement Cossack Lopan;

In the DPR, Russian troops are
advancing in the direction of the
settlement of Verkhnekamensky (east of the city of Seversk) and the settlement. Grigorievka (northeast of the city of Seversk)

In the Bakhmut direction, Russian
troops are improving their tactical position.

This is a rough briefing
 
Kibaya zaidi kinacho waumiza hao USA na EU ni ule utulivu wa kisiasa ndani ya urusi pamoja na utulivu wa raia wa Urusi katika kipindi hiki cha operation, Warusi wametulia tulii utazani jeshi lao lipo Ukraine kupiga mazoezi ya kijeshi tu, hiki kitu kinawakera sana Westerners.

Maandamano na mpasuko wa kisiasa ambao walitamani kuuona ukitokea ndani ya Urusi badala yake umewageukia wao. Maandamano kwao, viongozi kujiuzuru kwao, maisha magumu kwao, Viongozi kushuka rate zao za ushawishi kwao, kupigiwa kura za kutokuwa na imani nao, kwao.

Kiufupi wanapitia kipindi ambacho hawakutarajia kukipitia, nadhani wakati wanapiga hesabu zao walifikri Urusi ni Zimbabwe wakaamua kutumia mbinu walizo tumia kupambana na Zimbabwe kwa taifa kubwa na lenye nguvu duniani kama Urusi.

USHINDI WA URUSI NDO UHAI WA DUNIA MPYA YENYE MULTIPOLA ERA.

GOD BLESS RUSSIAN FEDERATION [emoji635][emoji635][emoji635]
West walikuwa wanasubiria meli air port

Hawakutarajia hiki kinachoendelea kwa sasa
 
Hawa hapa ni baadhi amabo walijaribu kumkosoa au kushindana na utawala wa Putin

1.Alexei navalny
2.Boris Nemtsov
3.Sergei Magnitsky
4.Mikhail Khodorkovsky
5.Alexander Litvinenko
6.Vladimir Kara-Muzra
7Mikhail Kasyanov
8.Anna Stepanovna Politkovskaya
Yoda Hebu tuelezee kisa Cha bwana mmoja anaitwa Julian Asange.

Huku ukitukumbusha uhuru wa habari wanaoupigia chapuo watu wa Magharibi na Marekani.
Waliweka pia sheria jinsi ya kuwalinda whistleblower.

Je Asange kufunguliwa mashtaka nchini Marekani ni sahihi? Ikiwa ni Taifa linaloamini kwenye uhuru wa habari?

Uingereza nayo ambapo huyo jamaa alitafuta hifadhi, wamekubali kumpeleka Marekani.

Je, kweli haya Mataifa Yana timiza, Yale wanayohubiri?
 
Kibaya zaidi kinacho waumiza hao USA na EU ni ule utulivu wa kisiasa ndani ya urusi pamoja na utulivu wa raia wa Urusi katika kipindi hiki cha operation, Warusi wametulia tulii utazani jeshi lao lipo Ukraine kupiga mazoezi ya kijeshi tu, hiki kitu kinawakera sana Westerners.

Maandamano na mpasuko wa kisiasa ambao walitamani kuuona ukitokea ndani ya Urusi badala yake umewageukia wao. Maandamano kwao, viongozi kujiuzuru kwao, maisha magumu kwao, Viongozi kushuka rate zao za ushawishi kwao, kupigiwa kura za kutokuwa na imani nao, kwao.

Kiufupi wanapitia kipindi ambacho hawakutarajia kukipitia, nadhani wakati wanapiga hesabu zao walifikri Urusi ni Zimbabwe wakaamua kutumia mbinu walizo tumia kupambana na Zimbabwe kwa taifa kubwa na lenye nguvu duniani kama Urusi.

USHINDI WA URUSI NDO UHAI WA DUNIA MPYA YENYE MULTIPOLA ERA.

GOD BLESS RUSSIAN FEDERATION [emoji635][emoji635][emoji635]
👏👏👏👏Uchambuzi mirua kabisa huu.
 
Naomba nitumie akili yangu ya kibinadamu kufanya analysis juu ya hali halisi ya kisiasa inayoendelea huko ulaya na Amerika.

Utangulizi: Katika kipindi hiki cha operation ya Urusi nchi nyingi za ulaya zimepitia mpasuko mbalimbali wa kisiasa na kiuchumi kwasababu mbalimbali lakini sababu mama ni sera zao dhidi ya Ukraine-Russia conflict. Kiujumla, tangu operation ya urusi ianze inakadiliwa kuwa zaidi ya mawaziri 40+, Wabunge 50+ na mawaziri wakuu wawili wa nchi za EU wamejikuta wameangukia pua kwa njia ya kura (ufaransa), Kujiuzuru (UK) na kupigiwa kura ya no confidence (Bulgaria). Hivo basi zaidi ya viongozi 100 wa kisiasa kutoka nchi za ulaya wamepoteza nyadhifa zao ndani ya kipindi hiki cha Operation, Urusi ikiwa haijapoteza hata balozi wa nyumba kumi kwenye serikali yake ya Moscow.

Uthibitisho wa hiki nikisemacho juu ya Anguko la kisiasa kwa nchi za EU ni huu hapa nchini;

☆French general election on April,2022: For the first time in 20 years, a newly-elected French president failed to win an absolute majority in Parliament, forcing President Macron to deal with a defiant left and a resurgent far-right.

☆Recently Macron loss: Less than two months after he was re-elected president, Emmanuel Macron has lost control of the French National Assembly following a strong performance by a left alliance and the far right.

☆PM in Bulgaria; Bulgarian Prime Minister Kiril Petkov leaves after a no-confidence vote at the parliament, in Sofia, Bulgaria, June 22, 2022.

☆PM in UK; "Boris Johnson has resigned today following a revolt within his Conservative Party" more than 50 members of Parliament resigned from his government within 48 hours. London CNN

☆Italy on 11,April-2022: Hundreds of Italians staged protests in central Rome on Sunday evening, calling for an end to the conflict in Ukraine and blaming the NATO for a series of provocative actions in Ukraine that led to the war" Rome (IP)

☆ Belgium on June 20: Around 70,000 Belgian workers marched through Brussels on Monday demanding government action to tackle sharply rising living costs, as one-day strikes at Brussels Airport and on local transport networks nationwide brought public travel to a near-halt- Reuters

☆USA: After staying pretty stable from mid-January until early May, President Joe Biden’s approval ratings have declined over the past few weeks, hitting a new low at 39%.
Seven in 10 Americans say they do not want President Biden to run for a second term, according to a new poll that comes as Biden’s approval numbers remain low and his party braces for losses this November.

"Putin has made Biden a laughing stock and invaded Ukraine, inflation is headed over 10%, our economy in the tank, everything Biden touches goes to crap, plus he going senile! - Should we impeach Joe biden"? In Americans voices.

Hiyo ndo hali halisi ya kisiasa ilivyo kwa nchi zinazo ongoza kuwa na chuki dhidi ya Urusi (unfriendly countries to Russia) Tukigeukia upande wa pili wa nchi za EU ambazo zimeamua kutojiingiza moja kwa moja kupambana na Urusi hali yake ya kisiasa na utulivu iko kama hivi:

☆ Hungary Election on April 2022: Viktor Orbán has won a fourth successive term as Hungary’s prime minister, capping a campaign dominated by his controversial stance on Russia’s invasion of Ukraine with a speech that appeared to mock Volodymyr Zelenskiy, the Ukrainian leader
3 Apr 2022 — Rightwinger and Putin ally aims dig at Ukraine's Volodymyr Zelenskiy after Fidesz party claims another super majority.

☆Turkey: hali ya kisiasa nchini Uturuki imetulia ukilinganisha na hali ya kisiasa kwa nchi zisizo rafiki kwa russia hakuna maandamano, wala mpasuko ndani ya serikali, watu wametulia wanaendelea na mishe mishe zao.

Je TUMEJIFUNZA KIPI KUTOKA KWENYE MATUKIO YA KISIASA TAJWA HAPO JUU IN RELATION TO UKRAINE-RUSSIA CONFLICT?

Kwa mtazamo wangu binafsi navyo ona;
☆Ushawishi wa Viongozi wa ulaya na amerika kwa raia wao katika kipindi hiki cha operation unategemea na namna wanavyo dili na Russia, wote walio onekana kupambana na Russia ushawishi wao umeshuka na wengine tayari wameachia ngazi(Boris), wengine wapo njiani kuachia ngazi (Joe biden).

☆Viongozi wa western walio amua kutanguliza masilahi ya taifa lao kwanza na kuepuka kuingilia ugomvi wa Ukraine Vs Russia moja kwa moja, ushawishi umeongezeka na hali ya kisiasa nchini mwao imetulia. Mfano Hungary, uturuki na n.k

☆Nchi zisizo rafiki kwa Russia, PM au Rais akizingua kidogo tu, basi wakulungwa wanapitia hicho kisababu kumuondoa madalakani au kutikisa mamlaka yake ila nyuma ya pazia sababu kuu inakuwa ni hasira dhidi ya anavyoshughulikia suala la operation ya Urusi(Wazee wa sanctions) mfano; Sababu iliyo muondoa B.J

☆kadri operation inavyozidi kuendelea ndo ulaji wa wanasiasa wa ulaya unazidi kupotea siku hadi siku. Maisha magumu, njaa, inflation na kuharibu pesa za walipa kodi kupeleka silaha Ukraine nisababu zinazofanya wakutane na hasira za raia hadi kupoteza ushawishi.

☆Kujiuzulu na kuanguka kwa serikali mbali mbali duniani hasa za Ulaya, na America katika kipindi hiki cha Ukraine-Russia conflict ni moja wapo ya ushindi kwa Urusi na ishara ya ushawishi mkubwa wa taifa la Urusi. Wahenga wanasema "Boss hanuniwi"

☆Ni dhahili yakuwa Urusi imethibitisha kuwa na viongozi smart kuliko wapinzani wao, nakiongozi mzuri anapimwa namna anavyo kabiliana na changa moto. Hilo Russia kashinda na bado anaendelea kushinda chini ya kichwa smart kinachoitwa Vladimir Putin.

Mwisho kabisa naomba nimalizie kwa kunukuu maneno ya waziri wa mambo ya nje wa Urusi Mh. Lavrov alisema;
"Anaedhani Urusi inaweza ikaanguka au kushindwa kwenye operation yake, huyo atakuwa ana elimu duni ya historia au atakuwa haifahamu vizuri urusi ilivyo na namna inavyo endeshwa" Mwisho wa nukuu.

Mimi: URUSI SIYO ZIMBABWE, CUBA, PALESTINA, VENEZUELA, SYRIA WALA BURKNAFASO.
Kama unabisha kamuulize aliekuwa Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson kilicho mkuta baada ya kujaribu kubattle na Urusi.

Finally; for the sake of a better world I stand with Russian federation dead or alive[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Assange kesi yake US ni kumsaidia Chelsea Manning aliyekuwa mwanajeshi katika wizara ya Ulinzi US kudukua "hacking" mfumo wa mawasiliano wa wizara ya Ulinzi ya Marekani unaoutunza classified information. Kama wangezipata taarifa walizozitoa kwa njia nyingine za "investigative journalism" wala wasingefuatuliwa na FBI.

Udukuzi wowote wa mtandao achilia wa wizara ya Ulinzi haulindiwi na Whistleblower act, pia udukuzi wa mitandao sio sehemu ya uandishi wa habari. Hata walivyodukuliwa wakina Membe, Nape na Kinana haikuwa sahihi kisheria.
Yoda Hebu tuelezee kisa Cha bwana mmoja anaitwa Julian Asange.

Huku ukitukumbusha uhuru wa habari wanaoupigia chapuo watu wa Magharibi na Marekani.
Waliweka pia sheria jinsi ya kuwalinda whistleblower.

Je Asange kufunguliwa mashtaka nchini Marekani ni sahihi? Ikiwa ni Taifa linaloamini kwenye uhuru wa habari?

Uingereza nayo ambapo huyo jamaa alitafuta hifadhi, wamekubali kumpeleka Marekani.

Je, kweli haya Mataifa Yana timiza, Yale wanayohubiri?
 
Assange kesi yake US ni kumsaidia Chelsea Manning aliyekuwa mwanajeshi katika wizara ya Ulinzi US kudukua "hacking" mfumo wa mawasiliano wa wizara ya Ulinzi ya Marekani unaoutunza classified information. Kama wangezipata taarifa walizozitoa kwa njia nyingine za "investigative journalism" wala wasingefuatuliwa na FBI.

Udukuzi wowote wa mtandao achilia wa wizara ya Ulinzi haulindiwi na Whistleblower act, pia udukuzi wa mitandao sio sehemu ya uandishi wa habari. Hata walivyodukuliwa wakina Membe, Nape na Kinana haikuwa sahihi kisheria.
Lakini pia maadui na wapinzani wengi wa Putin waliofunguwa au kukimbilia Uhamishoni siku Putin akiondoka madarakani unaweza kuoana wameachiliwa au wamerudi Russia, hiyo inadhihirisha makosa yao ni ya kutengenzwa kisiasa tu tofauti na Assange ambaye Wameondoka Obama, Trump na sasa Biden ila makosa yake yamesimama pale pale.
 
Back
Top Bottom