LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
I never was foolish. I won't call you one to justify my opinion. Ukraine is a free state wana haki ya kufanya chochote kile wanachopendezwa nacho.
 
The issue is not that Putin is smart but our leaders are dumbπŸ˜…~ Mmarekani pekee asie na vinasaba vya unafiki
 
I never was foolish. I won't call you one to justify my opinion. Ukraine is a free state wana haki ya kufanya chochote kile wanachopendezwa nacho.
Sawa hata jirani yako ana uhuru wa kufanya atakacho ila sio kuleta mateja na vibaka eneo ambalo mnashea compound. Wanaweza kubaka watoto wako ama kuiba vitu kwako. Ni hatari kwako hata kama yeye kwake ni safi.

Uhuru ni haki ya kila mtu ila uhuru usilete kero kwa mwenzio. Kinyume na hapo ni uswahili!
 
And so is Cuba!Jiulize,kwanini US alitaka kulipua meli za Russia zenye vifaa vya kijeshi zilizokuwa zinaelekea Cuba?
Sasa swali la msingi ni kwamba why would Invalide Ukraine kwa yeye kuishi kwa misimamo yake kama taifa huru??
 
wakatu russia ikiendelea ipiga ukraine na SUPERPOWERS wanaendelea kumdunda urusi kiuchumi πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡vikwazo hivi vitapelekea mamilion ya russians kukosa kazi tena zenye salaries za maana.

Ukraine conflict: ExxonMobil and Boeing take action over Russia ties​

Apple to halt sales and limit services in Russia​

Kwahiyo urusi na Ukraine wanashare territory?
 
Hakuna Jipya
 
unafaa kua mshauri wa jeshi ila kupitia Forum kama hv kongole[emoji122][emoji23][emoji23]
 
I never was foolish. I won't call you one to justify my opinion. Ukraine is a free state wana haki ya kufanya chochote kile wanachopendezwa nacho.
Your opinion is Dum
I never was foolish. I won't call you one to justify my opinion. Ukraine is a free state wana haki ya kufanya chochote kile wanachopendezwa nacho.
Your opinion is Dum* as Ffk Uhuru upo Mars uko hapa duniani uhuru with limitations ilo unapaswa kujua, Uhuru ndio ila usihatarishe Usalama wa mwingine,

Mfano umenunua Ak47 yako we kwasababu unauhuru unaamua kuiliza tuu mara umegeukia mashariki mara magharibi unailiza tu, Nakuonya kuwa makini mi nipo kusini huku sina baya na wewe, we unaleta dharau "nipo huru ikiwezekana we toka uko kusini mi nilize Ak 47 yangu ukitaka nawe si ukanunue yako" unafikiri kinachofuata nini ilihali mi ninazo nyingi yani kitendo cha kuanza kuziliza upande wangu mi nakufumua kweli .

Hata watoto wakiwa wanacheza ikatokea chokochoko mmoja mstaarabu anaechokozwa ataenda kwa wakubwa na kuwaambia unamuona flani mchokozi nikimpiga usiseme nimemuonea kitakachofuata ni kipigo heavy
 
Huu muda Huawei mzee Apple wafie mbele
 
Wacha Mrusi amnyooshe huyo mpumbavu,ashike adabu.
 
Tatizo mme kariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…