Wewe unaongea non-sense hebu tafta coke uondoe hangover hioSasa kama uko timamu kichwani unapataje nguvu ya kujibishana na kenge? Pengine ata unachotetea hukijui. Wacha nikuache tu.
Kunywa Pepsi barid bili kwangu JonasAisee huu uzi bila pro Ukraine na NATO utapoa jitokezeni tu
Haiwezaki muue wanajeshi wengi hivyo halafu mpotee au mnasikilizia upepo ?
mmekaa kinafiki nafiki kama baba yenu USA shame on you ! Aaaa a big girl
umekua mshabiki sana MKUUI agree with you humu kuna baadhi ya amateurs wanafanya mtazamo kwa kushabikia nchi fulani. Urusi kaonesha performance mbaya sana ukizingatia anapigana na competitor mdogo. Zile columns za magari ya jeshi zinazoenda bila air cover, kukosa supplies, kupigana bila kwanza kuharibu airforce ya adui na viwanja vyake, etc.
Urusi hajanishawishi kama anaweza wage an all out war with NATO. Hata asipowekewa vikwazo akawa na uchumi uleule na support kubwa kwake ila uwezo wake kwenye field ni hauridhishi. Unapigana na jirani, alafu some of your troops wanakosa mafuta wanatelekeza silaha. Ukisafiri 10,000 km itakuaje si majeshi yanakuwa isolated.
Tatizo la Urusi ni logistics. Vita na Japan napo Urusi ilifeli kufanya mobilization ya wanajeshi na silaha kutoka central na Western kwenda far East. Vita ya kwanza walikuwa poor hivihivi walipigwa na Ujerumani karibia battle zote, ila Ujerumani ya WW1 ilikuwa inapiga hakuna mfano. Vita ya pili ndio walifanya mass production pale Stalin alipodai "Quantity has a quality all its own" wakatoa units nyingi za silaha ila ubora wa kawaida na walishinda kwa hili.
Wanajeshi wa Urusi kufa sana haiwatishi kivile. Vita zao zote huwa wanakufakufa. Nchi inayoogopa zaidi wanajeshi kufa ni Israel
Ungemuuliza yeye labda yuko Kyiv. Kwani kila linaloongelewa na wa bongo unalichukulia serious? hapa Bongo hata hao washabiki wa Simba na Yanga ukiwachulia serious unaweza kudhani hata wakienda Champions leugue huko Ulaya watachukuwa kombe, Ni kujiongeza tuHeijah ndunguyo huyu hapa anatudhihirishia kuwa wanapigana kizamani kwa mujibu wa comment yako siyo?
warusi wanaojitambua wanataka apple mzee apple ina hadhi yake huwezi linganisha na huyo mchina ila kwa sababu kun shida now warusi wanatumia mpaka itel na bontel maana tokana vikwazo vya kiuchumi hata uwezo wa kubuy huawei au tecno hawana tena😀😃😄😁😅😂🤣 sasa hivi ukidate online na mdada wa russia hachomoi bongo anakuja hata kwa miguu maana SUPERPOWERs wanaipiga russia kiuchumi mpaka hurumaHuu muda Huawei mzee Apple wafie mbele
Kwani kipindi Russia anaenda kuweka Base ya kijeshi Cuba unafikiri Cuba ilikuwa koroni la America? Lilikuwa taifa huru kama sasa Ukraine na wao ndo walikuwa na urafiki na Russia na wakakubali Russia aweke Base pale Cuba ila jirani akakataa kabisa.Sasa swali la msingi ni kwamba why would Invalide Ukraine kwa yeye kuishi kwa misimamo yake kama taifa huru??
Mzee viwanda vya apple viko wapi!? Na wanatumia technology ya nchi ganiwarusi wanaojitambua wanataka apple mzee apple ina hadhi yake huwezi linganisha na huyo mchina ila kwa sababu kun shida now warusi wanatumia mpaka itel na bontel maana tokana vikwazo vya kiuchumi hata uwezo wa kubuy huawei au tecno hawana tena😀😃😄😁😅😂🤣 sasa hivi ukidate online na mdada wa russia hachomoi bongo anakuja hata kwa miguu maana SUPERPOWER wanapiga russia kiuchumi mpakahuruma
Aisee yaonekana wewe ni mjuvi zaidi wa uhuru wa US/NATO kuweka ngome zao za kijeshi na silaha zao za kivita Ukraine kuliko hata Colonel Douglas Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani ambaye amesema kuwa Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka wazi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nukta yenyewe ni kuwa Russia hawataki majeshi ya Marekani, mizinga ya Marekani, na majeshi ya NATO kwenye mpaka wake na Ukraine (Mashariki ya Ukraine kwenye majimbo yaliyotangazwa huru na Putin).I never was foolish. I won't call you one to justify my opinion. Ukraine is a free state wana haki ya kufanya chochote kile wanachopendezwa nacho.
Acha kudanganya watu trump kwa kiduku alikwama yeye na hadi kuomba mazungumzo ambayo bado hayakuzaa matunda na Kim aliendeleza harakati kama kawaidaAlishaabanwa siku nyingi,chezea Trump wewe,hata huu upuuzi anaofanya Putin asingeweza fanya wakati wa utawala wa Trump.
Kwani UKRAINE unadhania ni RWANDA?Kitendo cha Ukraine kuhold mpaka sasa wanahitaji pongezi haswa,ni Wanaume wa shoka,ile mikwara ya Putin kabla ya vita imekwisha,kadhalilika sana hata ajitutumue sasa hivi kuwabomb lakini tayari tushajua ni mkate wa Boflo mbele ya kikombe cha chai.Huyu ndiyo aje kupigana na NATO
Uswahili tena......?? Si ungesema hata ni uhuni.Sawa hata jirani yako ana uhuru wa kufanya atakacho ila sio kuleta mateja na vibaka eneo ambalo mnashea compound. Wanaweza kubaka watoto wako ama kuiba vitu kwako. Ni hatari kwako hata kama yeye kwake ni safi.
Uhuru ni haki ya kila mtu ila uhuru usilete kero kwa mwenzio. Kinyume na hapo ni uswahili!
Mtaandika maneno mengi kujustfy jinsi Putin alivyodharirishwa na mtoto mdogo lakini haiondoi ukweli kuwa kadharirishwa,hadi akapaniki kuingiza maswala ya Nuklia,hizo silaha nzito kwa nini hakuzi address kuzitumia kwanza badala yake akakimbilia kwenye mkwara wa kutumia Nyuklia?
Tunajua ukiwa jitu kubwa na ukapewa upinzani na mtu unaemzidi kwa kila kitu,Credi itakwenda kwa yule mdogo,uwanja na wake sasa ashushe hiyo mvua ya mabomu lakini keshadharirika.
Kivipi mkuu?Mkuu unacheza
Kyiv kuna Raia wengi, lazima utoe Rai ya kuhamisha Raia kwanza, ile ni operation sio vita. Total war haichagui, inafumua majengo bila kufanya assesment yoyote.Kumekucha mkuu.
Jana niliona mabomu mazito nikaamini sasa imekwisha nikasalimu amri. Vp bado Kiev imesimama tu [emoji44]?
Hizo habari ulizitoa kwenye online tv za usaku.Acha kudanganya watu trump kwa kiduku alikwama yeye na hadi kuomba mazungumzo ambayo bado hayakuzaa matunda na Kim aliendeleza harakati kama kawaida
ita vyovyote ila mie huwa sio shabiki wa mtu anaekera wenzie kwa kigezo cha uhuru😅Uswahili tena......?? Si ungesema hata ni uhuni.
Kimsingi hii ni hoja yenye mantiki ya kuhepusha vita which is correct and very bold. Sasa swali ni kwamba Ukraine ni mshirika wa NATO??Aisee yaonekana wewe ni mjuvi zaidi wa uhuru wa US/NATO kuweka ngome zao za kijeshi na silaha zao za kivita Ukraine kuliko hata Colonel Douglas Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani ambaye amesema kuwa Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka wazi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nukta yenyewe ni kuwa Russia hawataki majeshi ya Marekani, mizinga ya Marekani, na majeshi ya NATO kwenye mpaka wake na Ukraine (Mashariki ya Ukraine kwenye majimbo yaliyotangazwa huru na Putin).
Colonel Douglas akaendelea kusema: Kiukweli kabisa hata sisi Wamarekani hatukuyataka majeshi ya Russia na mizinga yake ndani ya Cuba, Putin naye hataki mambo hayo mashariki mwa Ukraine. Lazima tukubali madai hayo. Tuache kujifanyisha kuwa madai hayo hayana maana (ni ya kipuuzi).
Zaidi ya hapo Colonel huyo kasema Marekani haina uwezo wa kumfanya chochote Putin dhidi ya uvamizi wake.
===
Col. Macgregor: Biden refused to acknowledge what's important to Putin, now he has to watch the invasion
Retired US Army Col. Douglas Macgregor told "Tucker Carlson Tonight" that he was concerned President Biden didn't take Putin seriously enough.www.foxnews.com
COL. DOUGLAS MACGREGOR: Let me just reiterate something. I, like you and millions of Americans, would prefer that the troops headed to Eastern Europe right now were headed to the Mexican border. But I’m also very concerned that we find a way to avoid a conflict with Russia. The first thing we have to do is acknowledge that Putin’s basic point, not just his point, the Russian government’s point, which they’ve made for 25 years, is valid. They don’t want U.S. forces and missiles and NATO troops immediately across the border in eastern Ukraine. Absolutely. We didn’t want them in Cuba, he doesn’t want them in eastern Ukraine. We should acknowledge that. Stop pretending it’s a nonissue. It is a major issue for them. Let’s acknowledge it and then let’s get down to business and tell them fine, our concern at this point is we don’t want you to proceed west towards the polish border over the Dnieper River in Ukraine.