LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
I agree with you humu kuna baadhi ya amateurs wanafanya mtazamo kwa kushabikia nchi fulani. Urusi kaonesha performance mbaya sana ukizingatia anapigana na competitor mdogo. Zile columns za magari ya jeshi zinazoenda bila air cover, kukosa supplies, kupigana bila kwanza kuharibu airforce ya adui na viwanja vyake, etc.

Urusi hajanishawishi kama anaweza wage an all out war with NATO. Hata asipowekewa vikwazo akawa na uchumi uleule na support kubwa kwake ila uwezo wake kwenye field ni hauridhishi. Unapigana na jirani, alafu some of your troops wanakosa mafuta wanatelekeza silaha. Ukisafiri 10,000 km itakuaje si majeshi yanakuwa isolated.

Tatizo la Urusi ni logistics. Vita na Japan napo Urusi ilifeli kufanya mobilization ya wanajeshi na silaha kutoka central na Western kwenda far East. Vita ya kwanza walikuwa poor hivihivi walipigwa na Ujerumani karibia battle zote, ila Ujerumani ya WW1 ilikuwa inapiga hakuna mfano. Vita ya pili ndio walifanya mass production pale Stalin alipodai "Quantity has a quality all its own" wakatoa units nyingi za silaha ila ubora wa kawaida na walishinda kwa hili.

Wanajeshi wa Urusi kufa sana haiwatishi kivile. Vita zao zote huwa wanakufakufa. Nchi inayoogopa zaidi wanajeshi kufa ni Israel
umekua mshabiki sana MKUU
lile jeshi kubwa kiasi vile haiwezi kwenda bila air cover ama niwazi kabisa wamejiridhisha kua air is safe kwao ndio maana wamejiachia
au umesikia lile jeshi limerushiwa hata jiwe?
RUSSIA kajipanga kweli kweli NATO kama wanaweza ama wanamuona jamaa mdhaifu kama wewe wangekua washamtwanga kweli kwel
njia pekee wanayoweza kumtwanga nayo RUSSIA nawakafanikiwa kwa kiasi fulani ni vikwazo tuuu!
 
Heijah ndunguyo huyu hapa anatudhihirishia kuwa wanapigana kizamani kwa mujibu wa comment yako siyo?
Ungemuuliza yeye labda yuko Kyiv. Kwani kila linaloongelewa na wa bongo unalichukulia serious? hapa Bongo hata hao washabiki wa Simba na Yanga ukiwachulia serious unaweza kudhani hata wakienda Champions leugue huko Ulaya watachukuwa kombe, Ni kujiongeza tu
 
Huu muda Huawei mzee Apple wafie mbele
warusi wanaojitambua wanataka apple mzee apple ina hadhi yake huwezi linganisha na huyo mchina ila kwa sababu kun shida now warusi wanatumia mpaka itel na bontel maana tokana vikwazo vya kiuchumi hata uwezo wa kubuy huawei au tecno hawana tena😀😃😄😁😅😂🤣 sasa hivi ukidate online na mdada wa russia hachomoi bongo anakuja hata kwa miguu maana SUPERPOWERs wanaipiga russia kiuchumi mpaka huruma
 
Sasa swali la msingi ni kwamba why would Invalide Ukraine kwa yeye kuishi kwa misimamo yake kama taifa huru??
Kwani kipindi Russia anaenda kuweka Base ya kijeshi Cuba unafikiri Cuba ilikuwa koroni la America? Lilikuwa taifa huru kama sasa Ukraine na wao ndo walikuwa na urafiki na Russia na wakakubali Russia aweke Base pale Cuba ila jirani akakataa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
warusi wanaojitambua wanataka apple mzee apple ina hadhi yake huwezi linganisha na huyo mchina ila kwa sababu kun shida now warusi wanatumia mpaka itel na bontel maana tokana vikwazo vya kiuchumi hata uwezo wa kubuy huawei au tecno hawana tena😀😃😄😁😅😂🤣 sasa hivi ukidate online na mdada wa russia hachomoi bongo anakuja hata kwa miguu maana SUPERPOWER wanapiga russia kiuchumi mpakahuruma
Mzee viwanda vya apple viko wapi!? Na wanatumia technology ya nchi gani
 
I never was foolish. I won't call you one to justify my opinion. Ukraine is a free state wana haki ya kufanya chochote kile wanachopendezwa nacho.
Aisee yaonekana wewe ni mjuvi zaidi wa uhuru wa US/NATO kuweka ngome zao za kijeshi na silaha zao za kivita Ukraine kuliko hata Colonel Douglas Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani ambaye amesema kuwa Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka wazi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nukta yenyewe ni kuwa Russia hawataki majeshi ya Marekani, mizinga ya Marekani, na majeshi ya NATO kwenye mpaka wake na Ukraine (Mashariki ya Ukraine kwenye majimbo yaliyotangazwa huru na Putin).

Colonel Douglas akaendelea kusema: Kiukweli kabisa hata sisi Wamarekani hatukuyataka majeshi ya Russia na mizinga yake ndani ya Cuba, Putin naye hataki mambo hayo mashariki mwa Ukraine. Lazima tukubali madai hayo. Tuache kujifanyisha kuwa madai hayo hayana maana (ni ya kipuuzi).

Zaidi ya hapo Colonel huyo kasema Marekani haina uwezo wa kumfanya chochote Putin dhidi ya uvamizi wake.

===

COL. DOUGLAS MACGREGOR: Let me just reiterate something. I, like you and millions of Americans, would prefer that the troops headed to Eastern Europe right now were headed to the Mexican border. But I’m also very concerned that we find a way to avoid a conflict with Russia. The first thing we have to do is acknowledge that Putin’s basic point, not just his point, the Russian government’s point, which they’ve made for 25 years, is valid. They don’t want U.S. forces and missiles and NATO troops immediately across the border in eastern Ukraine. Absolutely. We didn’t want them in Cuba, he doesn’t want them in eastern Ukraine. We should acknowledge that. Stop pretending it’s a nonissue. It is a major issue for them. Let’s acknowledge it and then let’s get down to business and tell them fine, our concern at this point is we don’t want you to proceed west towards the polish border over the Dnieper River in Ukraine.
 
Kitendo cha Ukraine kuhold mpaka sasa wanahitaji pongezi haswa,ni Wanaume wa shoka,ile mikwara ya Putin kabla ya vita imekwisha,kadhalilika sana hata ajitutumue sasa hivi kuwabomb lakini tayari tushajua ni mkate wa Boflo mbele ya kikombe cha chai.Huyu ndiyo aje kupigana na NATO
Kwani UKRAINE unadhania ni RWANDA?
 
Sawa hata jirani yako ana uhuru wa kufanya atakacho ila sio kuleta mateja na vibaka eneo ambalo mnashea compound. Wanaweza kubaka watoto wako ama kuiba vitu kwako. Ni hatari kwako hata kama yeye kwake ni safi.

Uhuru ni haki ya kila mtu ila uhuru usilete kero kwa mwenzio. Kinyume na hapo ni uswahili!
Uswahili tena......?? Si ungesema hata ni uhuni.
 
Mtaandika maneno mengi kujustfy jinsi Putin alivyodharirishwa na mtoto mdogo lakini haiondoi ukweli kuwa kadharirishwa,hadi akapaniki kuingiza maswala ya Nuklia,hizo silaha nzito kwa nini hakuzi address kuzitumia kwanza badala yake akakimbilia kwenye mkwara wa kutumia Nyuklia?
Tunajua ukiwa jitu kubwa na ukapewa upinzani na mtu unaemzidi kwa kila kitu,Credi itakwenda kwa yule mdogo,uwanja na wake sasa ashushe hiyo mvua ya mabomu lakini keshadharirika.

Aliweka kitengo cha nuclear standby baada ya kuona choko choko za NATO na sio kwa lengo la kuishambulia Ukraine, hilo nalo hukuliona? Hivi unadhani uwezo wa kijeshi ukraine mdogo kama wa nchi zetu hizi? Kumbuka US wamefanya nae training nyingi sana uwezo wake sio mdogo kama unavyofikiri. Matumizi ya silaha nzito nimesema hapo juu kwa mtazamo wangu rudia tena kusoma na kuelewa
 
Kumekucha mkuu.
Jana niliona mabomu mazito nikaamini sasa imekwisha nikasalimu amri. Vp bado Kiev imesimama tu [emoji44]?
Kyiv kuna Raia wengi, lazima utoe Rai ya kuhamisha Raia kwanza, ile ni operation sio vita. Total war haichagui, inafumua majengo bila kufanya assesment yoyote.
Tuwaombee UKRAINE, kuleta ubishi na kutaka kusifia kwamba UKRAINE wamejitahidi haina maana yoyote wakati nchi ina wakimbiza wengi. Hawana vifaa vya mashambulizi nk.
Kwenu nyie mnaona vita kama ushabiki wa mpira yaani.
Mungu inusuru hii vita, na wakae kwenye mazungumzo.
 
Aisee yaonekana wewe ni mjuvi zaidi wa uhuru wa US/NATO kuweka ngome zao za kijeshi na silaha zao za kivita Ukraine kuliko hata Colonel Douglas Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani ambaye amesema kuwa Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka wazi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nukta yenyewe ni kuwa Russia hawataki majeshi ya Marekani, mizinga ya Marekani, na majeshi ya NATO kwenye mpaka wake na Ukraine (Mashariki ya Ukraine kwenye majimbo yaliyotangazwa huru na Putin).

Colonel Douglas akaendelea kusema: Kiukweli kabisa hata sisi Wamarekani hatukuyataka majeshi ya Russia na mizinga yake ndani ya Cuba, Putin naye hataki mambo hayo mashariki mwa Ukraine. Lazima tukubali madai hayo. Tuache kujifanyisha kuwa madai hayo hayana maana (ni ya kipuuzi).

Zaidi ya hapo Colonel huyo kasema Marekani haina uwezo wa kumfanya chochote Putin dhidi ya uvamizi wake.

===

COL. DOUGLAS MACGREGOR: Let me just reiterate something. I, like you and millions of Americans, would prefer that the troops headed to Eastern Europe right now were headed to the Mexican border. But I’m also very concerned that we find a way to avoid a conflict with Russia. The first thing we have to do is acknowledge that Putin’s basic point, not just his point, the Russian government’s point, which they’ve made for 25 years, is valid. They don’t want U.S. forces and missiles and NATO troops immediately across the border in eastern Ukraine. Absolutely. We didn’t want them in Cuba, he doesn’t want them in eastern Ukraine. We should acknowledge that. Stop pretending it’s a nonissue. It is a major issue for them. Let’s acknowledge it and then let’s get down to business and tell them fine, our concern at this point is we don’t want you to proceed west towards the polish border over the Dnieper River in Ukraine.
Kimsingi hii ni hoja yenye mantiki ya kuhepusha vita which is correct and very bold. Sasa swali ni kwamba Ukraine ni mshirika wa NATO??
 
kwa hadi sasa vita ya ukraine na urusi , marekani na member wa nato washasurrender ina maana ukraine inamalizwa soon,kinachosubiliwa endapo akimaliza kwa ukraine je atashambulia member kamili wa nato walioko karibu na urusi,na hapo ndo nadhani vita kamili itaibuka kwa sababu mkataba wa NATO unasema mmoja akivamiwa lazima wengine wampe sapoti ya kijeshi
 
Back
Top Bottom