LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Footage appeared with 30 military personnel of the Armed Forces of Ukraine who voluntarily surrendered and turned to representatives of the RF Armed Forces for help. Now they are in the area of the border checkpoint in the Bryansk region.

Once their identities are established, the soldiers will be able to return home. From each take a written refusal to participate in hostilities.

@rt_russian
Your browser is not able to display this video.
 
Ona hili nalo
 
Hana ubavu wa kugusa nchi mwanachama wa NATO, Ukraine mwenyewe anapigwa na Urusi na Belarus.
 
Ona hill nalo

Waliambiwa wakae standby maana wanafiki walianza kujipenyeza mbona saiz kimya
Gusa unuke
 
Ni normal military op na ndio mana anawaepusha RAIA

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
bado washabiki maandazi wa Urusi wanakwambia Putin atatoboa tu no matter what... Kwa mfano leo siku ya tatu soko la hisa la benki kuu ya Urusi la Moscow limekwama tena kufanyika.
 
tangu kiduku awe na msimamo wa kijinga, raia wake hadi leo wanaishi kama ujima, wamefungwa macho na masikio hawajui kinachoendelea hapa duniani,na wanaamini wao ni nchi iliyoendelea sana. angalia south korea alivyoamua kuwa na busara, ni nchi ya 10 kwa utajiri duniani, hizo sumsung unatumia ni za korea, na viwanda vingi. huwezi amini zamani walikuwa nchi moja, lakini kwa kutenganishwa na mpaka tu na sera za nchi, wanaishi kwenye ulimwengi wa aina mbili kabisa. north korea bado wanalima kwa mkono kama bongo, south hawalijui hilo, north wanatumia hela zote kwenye silaha, south wanatumia kwenye maendeleo na kwenye uhuru wa biashara. wewe nafikiri hata uwezo wa kujiongoza mwenyewe huna, na akili yako imeishia hapo.
 
Shabiki mchele subir muda
Jioni ya Leo kufikia saa 1 tuwasiliane kupeana update

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Ukraine ni nchi ndogo mno kivita kulinganisha na URUSI, hakuna anayepinga kwamba URUSI hatampiga Ukraine - tunachosemea sisi ni outcome baada ya vita - Mrusi atadhoofika vibaya sana sana kiuchumi na huo ndiyo utakuwa mwisho wa Putin.
 
Biden’s SOTU Address: Putin “must pay a price” (Sky News clip)


In his first State of the union address Tuesday, President Biden slammed Vladimir Putin for his “badly miscalculated” military invasion that tried to “shake the very foundations of the free world” - but reiterated that US troops would not be sent to Ukraine.


“He thought he could roll into Ukraine and the world would roll over. Instead he met a wall of strength he never imagined,” Biden said of his Russian counterpart.


The US has reinforced land, air and sea military reinforcements in NATO members including Poland, Romania and the Baltic states, and copied western allies by closing US airspace to Russian flights.
 
⚡️ Russia’s MoD claims responsibility for Kiev TV tower strike – says Armed Forces have taken control of Kherson

Russia’s Ministry of Defense has confirmed strikes on what it claims are part of Ukraine’s psyops infrastructure, including a TV tower in Kiev, as well as Moscow forces taking control of Kherson.

The Ministry stated that civilian infrastructure and essential supplies remain unaffected, with the Kherson city’s government and Russian military in talks to ensure order and public safety.
 
Mkuu hebu fikiri kwanza kabla ya kuandika. Unaposema Marekani na NATO washa surrender bila kutuambia wame surrender kivipi ina maana gani? Je kuna mmoja wao alivamiwa kati ya Marekani au NATO? Kama hakuna alievamiwa kati ya hao niliowataja unawezaje kusema wame surrender? Kama ulivyoandika hapo juu kuwa sheria au mkataba wa NATO na baba yao Marekani unaruhusu nchi hizo au umoja huo kuingia vitani pindi tu mmoja wao anaposhambuliwa, je Ukraine ni mmoja wa wanachama wao? Jibu hapana sio mmoja wao, na kama sio mmoja wao, unawezaje kusema kuwa wame surrender? Ukweli ni kwamba Putin mwenyew anaiogopa NATO ndio maana ameacha kuzishambulia nchi za NATO ambazo zingine zipo mlangoni kwake (hapa nazungumzia nchi zile za nato anazopeana nazo mpaka) na badala yake kaenda kuishambulia Ukraine ambayo haina uanachama wa umoja huo. Kama lengo ni kuzuia silaha hatari na upanuzi wa NATO katika eneo hilo, kwann kaishambulia nchi ambayo sio mwanachama, na kuacha kushambulia zile ambazo ni wanachama halisi tena zenye majeshi na silaha hatari za NATO karibu yake? Hii ni sawa na kwenda kumkamata mtoto wa jiran yako, eti kisa rafiki yake (ambae pia ni jirani yako) amekuibia kuku wako. Russia anajua fika kuwa Ukraine sio mwachama wa NATO, kwahiyo uvamizi wake hauwezi kuigusa Marekani moja kwa moja, au kuleta madhara yoyote kwa NATO. Angethubutu kufanya hivyo kwa nchi yoyote ya NATO iliyo jirani yake bila kuchukuliwa hatua, hapo ndo tungesema jamaa kweli ni mwanaume. Nakutupia ramani hapo uangalia nchi ambazo zina jeshi kubwa na silaha hatari za NATO tena zinapeana mpaka kabisa na Russia lkn jamaa hakupima kuzivamia kuharibu silaha zao kama anavyodai kwa upande wa Ukraine.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…