LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Ukraine ni nchi ndogo mno kivita kulinganisha na URUSI, hakuna anayepinga kwamba URUSI atampiga Ukraine - tunachosemea sisi ni outcome baada ya vita - Mrusi atadhoofika vibaya sana sana kiuchumi na huo ndiyo utakuwa mwisho wa Putin.
Unadhani Russia hawakufanya analysis ya madhara yatakayotokea wakiingia vitani na kujua nini kitafanyika baadae?
 
Tuombe uzima wafikie tu makubaliano ya kusitisha vita ila kila mmoja aishi kwa amani. Tatizo Putin anaona akisimamisha vita atadharauliwa sana na baadhi ya mataifa ambayo yaliamini Urusi ingemaliza mission usiku mmoja tu, na kwa upande wa Ukraine nao naona Marekani anawachochea chochea ili waendelee kumtia mrusi hasira na kujikuta anaendelea kutumia silaha zake, jeshi lake na uchumi wake ktk vita ili mwisho wa siku Russia idhoofike kidogo kutokana na vita hivyo.
Utakuwa mjinga kuamini kuna vita ya siku moja, really stupid!
 
Aliweka kitengo cha nuclear standby baada ya kuona choko choko za NATO na sio kwa lengo la kuishambulia Ukraine, hilo nalo hukuliona? Hivi unadhani uwezo wa kijeshi ukraine mdogo kama wa nchi zetu hizi? Kumbuka US wamefanya nae training nyingi sana uwezo wake sio mdogo kama unavyofikiri. Matumizi ya silaha nzito nimesema hapo juu kwa mtazamo wangu rudia tena kusoma na kuelewa
Kama ni hivyo kilichokuwa kinawafanya mseme Russia anakwenda kufanya operation maalum tu ndani ya masaa 24 anamaliza mchezo Ukraine ni kipi sasa (japokuwa unaweza kuwa si wewe but Pro Russia wengi humu ndiyo walikuwa wanatupigia makelele hayo ) kama mnalijua hilo la uwezo wa Ukraine kijeshi pia.Tunajua ni aibu the so called Super Power kijeshi kupewa upinzani mkali na Underdog Ukraine,tunawaelewa mnavyojaribu kumsitiri mtu mzima aliyevuliwa nguo na mtoto
 
Inasikitisha sana. Hawa ndio vijana tunaotegemea wadai katiba mpya na wapiganie taifa lao. Kwa uelewa huu I rest my case
nakuuliza kila mtu akiamua afanye unachokuona kwake ni sahihi tutadum?
 
Dunia nzima iko nyuma ya Ukraine sababu Putin ame miss calculate. Alitegemea atakutana na EA na western powers instead amekua mvamizi wa free country so turned out he is criminal and for that hoja zake za kuivamia Ukraine hazina mantiki wacha dunia imtenge.
hoja sake ni zip?
 
Kyiv kuna Raia wengi, lazima utoe Rai ya kuhamisha Raia kwanza, ile ni operation sio vita. Total war haichagui, inafumua majengo bila kufanya assesment yoyote.
Tuwaombee UKRAINE, kuleta ubishi na kutaka kusifia kwamba UKRAINE wamejitahidi haina maana yoyote wakati nchi ina wakimbiza wengi. Hawana vifaa vya mashambulizi nk.
Kwenu nyie mnaona vita kama ushabiki wa mpira yaani.
Mungu inusuru hii vita, na wakae kwenye mazungumzo.
So ile operation ya masaa 24 sasa hivi itakuwa ya mwezi mzima kwakuwa Kyv ina watu wengi si ndiyo Mkuu.
 
VITA YA UKRAINE NA URUSI IMETHIBITISHA KWAMBA COVID-19 NI MRADI WA WAZUNGU KWA MINAJILI YA KUPIGA HELA.....

SASA HIVI BAADA YA URUSI KUKINUKISHA HUSIKII TENA SIJUI VARIANT SIJUI DELTA SIJUI OMICRON WALA BIBI YAKE NANI.......

HAPA NDO UTAJUA WAZUNGU COVID NI MRADI WAO WA KUPIGA PESA.

INASHANGAZA SASA HIVI ONLINE PLATFORMS KARIBU ZOTE ZIMEACHA KUJADILI COVID AJENDA NI VITA YA UKRAINE TU....

AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO!!!

We modi ulefuta uzi wangu ***
 
Dunia nzima iko nyuma ya Ukraine sababu Putin ame miss calculate. Alitegemea atakutana na EA na western powers instead amekua mvamizi wa free country so turned out he is criminal and for that hoja zake za kuivamia Ukraine hazina mantiki wacha dunia imtenge.
Hiyo Dunia iliamuaje wakati LIBYA inavamiwa?
 
kwa hiyo aweke hayo ma chuma ya hao wapuuzi ili warusi waje kuumia mbeleni....akuuu!!!!..hata mimi ningelianzisha kinoma noma
Utaifanyaje nchi iliyo huru na matakwa yake? ivi Tz ikianzisha uhusiano na oman nani atainua mdomo, China nani ataiunua mdomo, korea nk., nchi huru haziingiliwi siasa zake, Ukrain ni nchi huru tunapaswa kulaani mauaji ya kinyama kutoka russia kwa taifa dogo kivita kama Ukrain
 
VITA YA UKRAINE NA URUSI IMETHIBITISHA KWAMBA COVID-19 NI MRADI WA WAZUNGU KWA MINAJILI YA KUPIGA HELA.....SASA HIVI BAADA YA URUSI KUKINUKISHA HUSIKII TENA SIJUI VARIANT SIJUI DELTA SIJUI OMICRON WALA BIBI YAKE NANI.......HAPA NDO UTAJUA WAZUNGU COVID NI MRADI WAO WA KUPIGA PESA.

INASHANGAZA SASA HIVI ONLINE PLATFORMS KARIBU ZOTE ZIMEACHA KUKADILI COVID AJENDA NI VITA YA UKRAINE TU....AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO!!!

We modi ulefuta uzi wangu ***
Kumbe uli anzia ulaya nilizani china bhana.we kiazi
 
Back
Top Bottom