Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Foreign Ministry ya Russia ipo njema... Waziri mbaka kwa msemaji wa wizara.Maria wamoto kwel kwel
Hua anaqauli flan hv ngumu ngumu tu yaani
Hawa ndio aina ya watu ambao hawazunguki zunguki kutaka kukiongelea hapana
Huyu mwanamama niaina flan ya watu ambao wanakuja direct kwenye point husika
Anaupiga mwingi kwel kwel
PUT IN
Maria
Lavrov
Shoigu
Nahuyu msemaji wawizara yaulinzi hawa watu bana kwakisi flan hua napenda kuwasikiliza nakuwafuatilia
Ingawaje kwauchache waundani nimemfuatilia zaidi PUT IN
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo nawatu makiniForeign Ministry ya Russia ipo njema... Waziri mbaka kwa msemaji wa wizara.
Lavrov + Maria Z
Lakini ndugunmbona mnabishana kwa matusi wakati hata wewe source ya taarifa zako ni google au mtunzi fulani ameandika article kwa mlengo wake.Kama ungejua lugha za kivita ungenielewa,wala usingehamaki.
Anyway niseme hivii,ni mjinga tu anayeamini kila kitu kinacho semwa bila kuhoji.Mimi sio wa hivyo, I am diagnostic,I know millitary propaganda,I know it is there,and I know what it means millitarily and politically.Usini force kuwa mjinga Kama wewe,I am not.
Hizo ni source mbili za taarifa unaiamini ipi ilisema ukweli? Ulijiridhisha pasipo shaka kuwa hawakuwa na ndege ?Sio kila kitu una weza kuwa na alternative.In the case of data ya millitary ya Ukraine you can make an intelligent analysis.Juzi tu hapa Ukraine walikuwa wanalilia hawana millitary hardware,hata ndege mpaka Poland wakaahidi watawapelekea Mig.29,Marekani wakakata,leo wawe wamepata so many aircraft,tanks etc.!See this[emoji116],a big no.
"In total, 249 Ukrainian airplanes and 137 helicopters, 1,534 unmanned aerial vehicles, 354 anti-aircraft missile systems, 4,050 tanks and other armored combat vehicles, 744 multiple launch rocket systems, 3,145 field artillery and mortars, as well as 4,292 units of special military vehicles were destroyed during the operation[emoji118]"
It's simply impossible,this is common sense.
Maneno ya kishujaa kabisa haya[emoji4][emoji187] #Zakharova: No matter how hard the United States and its allies try to strengthen the Kiev regime's combat capability, Russia's special military operation will continue, all its goals and objectives will be achieved. https://t.co/Yl2PBPpQTe
Zelensky anawashwa[emoji16]Mchekini huyu Punga nae eti anasema atailipizia kisasi N.Korea kwa kuitambua DPR na LPR[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Zelensky threatened North Korea with harsh consequences for its ecognition of the DPR and LPR. https://t.co/OL4sDdsxMi
Safi Sana,Naona Russia imeamua kula sahani Moja na Lithuania
Breaking: Vladimir Putin just signed a law allowing that the professional Armed Forces of the Russian Federation, other troops and military bodies can conduct counter-terrorism and “other operations” outside of Russia.
Hana jipya zaidi ya conspiracy theory. Hajui kuwa hao wahuni husimama pande mbili wakipingana lkn mwisho wa siku wanajua nini wanaishia.Tunajua una akili nyingi, nyingi mno mkuu, sasa fanya kutuletea data timilifu sisi wajinga tufanye ulinganisho acha porojo.
AhahahahNa sisi warusi tunasema...View attachment 2290483
Medvedev kapost hii picha kwenye Channel yake 🤭Oyaaaaaaaaaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] tuliwambia humu tim nato weusi
[emoji298][emoji298][emoji298] Italy's Mario Draghi resigns. Another one bites the dust.
Kibabe Sana yaan[emoji16]Na sisi warusi tunasema...View attachment 2290483
Kabla sijasoma huyu aliyeandika ni nani? Je unamuaminije? Hapa ndio sitaki kukubalianq na wewe kwa 100% otherwise useme how much unamuelewa na kumuamini aliyeandika.It is is common sense,ila kama huna hata hiyo common sense utaona my reasoning ni self styled.Unfortunately most people do not have even common sense these days.Reason?Elon Musk kamwaga Mtama,but also see this[emoji116]
mimi nabetMedvedev kapost hii picha kwenye Channel yake [emoji2960]
View attachment 2290659
Why haya manyang'au yasiondoke yote? Ngoja yatuache tu, yaende huko...