Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Na huko Haiti hali ni ngumu.Oyaaaaaaaaaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] tuliwambia humu tim nato weusi
[emoji298][emoji298][emoji298] Italy's Mario Draghi resigns. Another one bites the dust.
Maneno ya kishujaa kabisa haya[emoji4]
Hivi kuhamia Russia shingapi? 🙂STRUGGLE MAN said:
#Zakharova: No matter how hard the United States and its allies try to strengthen the Kiev regime's combat capability, Russia's special military operation will continue, all its goals and objectives will be achieved. https://t.co/Yl2PBPpQTe
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Tutaangusha serikali nyingi za UlayaNa huko Haiti hali ni ngumu.
Labda Olaf lkn Macron kwa sasa yupo salama
Pro-NATO wamenitumia udhuru wao muda si mrefu; kwamba wanawahi kulala leo kwa sababu ya majukumu ya kikazi kesho.Oyaaaaaaaaaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] tuliwambia humu tim nato weusi
[emoji298][emoji298][emoji298] Italy's Mario Draghi resigns. Another one bites the dust.
Medvedev kapost hii picha kwenye Channel yake 🤭
View attachment 2290659
Zishaanguka kitambo mbona? Ni kama demolition ya huge structures--imebaki tu kusukumiza kidogo kwa kigreda ili kutafuta uelekeo wapi ziangukie kwa kishindo--WC, NY, California ama Kisiwa cha Southampton UK[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Tutaangusha serikali nyingi za Ulaya
Swali langu ni hili hii figure toka Vita ianze au Kwa muda wa 24hrs?????Sio kila kitu una weza kuwa na alternative.In the case of data ya millitary ya Ukraine you can make an intelligent analysis.Juzi tu hapa Ukraine walikuwa wanalilia hawana millitary hardware,hata ndege mpaka Poland wakaahidi watawapelekea Mig.29,Marekani wakakata,leo wawe wamepata so many aircraft,tanks etc.!See this👇,a big no.
"In total, 249 Ukrainian airplanes and 137 helicopters, 1,534 unmanned aerial vehicles, 354 anti-aircraft missile systems, 4,050 tanks and other armored combat vehicles, 744 multiple launch rocket systems, 3,145 field artillery and mortars, as well as 4,292 units of special military vehicles were destroyed during the operation👈"
It's simply impossible,this is common sense.
🙏Lakini ndugunmbona mnabishana kwa matusi wakati hata wewe source ya taarifa zako ni google au mtunzi fulani ameandika article kwa mlengo wake.
Mfano hizi taarifa za Moron na New order humewahi kuhudhuri mkutano wowote wa siri iwe Illumanati, TC Club of Rome au skull and Bone au wowote wa hawa secret societies?
Huenda unapata wrong information .
Kile naamni mimi ni "IMEANDIKWA" kama biblia imesema naamini
Mengine haya yanategemea na haliyekupa taarifa yuko upande upi
🙏Hizo ni source mbili za taarifa unaiamini ipi ilisema ukweli? Ulijiridhisha pasipo shaka kuwa hawakuwa na ndege ?
Wakati Ukraine iliporipoti kuwa Urusi imebakisha chakula cha siku tatu ilisema ukweli au uongo?
Ni figure kubwa mno mkuu,hata kama ingekuwa tangu mwanzo wa vita,ila let them,win sioni cha kubishania hapa,mbona tunapeana taarifa tu,sipati faida yeyote.Ila they should know this,in war "BOTH sides lie and twist the facts to support their own agenda. They paint their adversary as evil to stir up the troops to go fight and risk their lives sometimes for fake stories and agendas."Swali langu ni hili hii figure toka Vita ianze au Kwa muda wa 24hrs?????