Grand Master
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 246
- 1,315
Another 1 [emoji119]Aaaaah shangazi leo una nini kipenzi chetu? Mbona hii si kawaida yako.
Ona Urusi yasemekana kapeleka wanajeshi kati ya 150,000 hadi 250,000. (Hizi taarifa wamezisema west)
Ukubwa wa jeshi la Russia ni jumla ya kama 1,350,000. (Kiufundi Sasa hii ndio tunaita Data in term of figures, ambayo ndio basic ya reasoning juu ya kile kilichosemwa)
Kauli ya 18% imetolewa Urusi, na baadhi ya wataalamu wa mambo ya kivita walilisema hilo.
Tukitafuta 18% ya 1,350,000 ni 243,000.
243,000 ni jibu linalozijibu hoja zote 2, ya west kua Urusi wamepeleka wanajeshi kati ya 150,000 hadi 250,000. Vile vile inajibu ama kushahabiana na kile urusi wana dai kwamba wametumia 18% ya nguvu la jeshi lao.
Sasa shangazi huoni kama madai yako ya kusema 18% ni uongo hayana msingi wowote? Ni madai ambayo yamejaa hisia za kudanganywa ila sio kweli?
Issue ya jana ya kaka Mathanzua, kitendo cha kusema kua hizo data katika figures sio sahihi maana yake alikuwa na data(facts) ambazo alizitumia kama msingi wa madai yake.
Sasa hapo shangazi huoni kama kusema wako nje ya point wale walio-omba basic reference (facts) zake ndugu Mathanzua hauko sawa?
Na mimi niseme ni miongoni mwa watu tunao fatilia mazungumzo yenu na Galip Vrl
Alicho kiona Grand Master ni sawa na kile nachokiona baina yenu. Data ni facts na statistics ambazo hutumiwa kwa lengo kubwa la kufanya analysis ama references.
Hizo facts na statistics are not merely kwamba ni figures (number). Mfano mtu anakwambia sim yako imedukuliwa data. Maana yake ni kua imedukuliwa taarifa zako.
"Figures" zinaweza kua kijisehem katika hizo taarifa. Figures ni moja y aina za Data.
So na mie naungana na wale kusema kua walioomba data walikuwa sahihi, hawakua OP.
Hapa naona kama wenzangu, nyie wawili kila mmoja ana maana yake kuhusu data. Lakini mtambue mwenye maana sahihi ya data ndie aliye sawa kwenye hoja zenu.
Maana ya Data (Nje ya itumikavyo katika technology) [emoji298]Things known or assumed as facts, making the basis of reasoning or calculation.
Jana Kaka Mathanzua alichemka kwenye kujitetea hilo halina ubishi. Na hadi sasa hakuna aliye tetea hoja yake zaidi ya kuhamisha magoli.
Ajabu upande ulio hamishiwa magoli unapwaya, hizo 18% jana niliziona ingawa sikutaka kulisemea. Na leo umeirudia lakini sio hoja yenye mashiko. Inajibika saaana tu kama mtu yupo more detailed unless not.
Naungana na wengine kuwapongeza kwa mjadala wenu! Muendelee hivi hivi hakika inapendeza. Mtu akisema ndio atoe sababu, na akisema hapana atoe sababu. Inaongeza sana uwezo wa kufikiri.
Aje uku tumpe rungu na mapanga ya kimasai. Kwanza yako vizuri kwa show show. Urusi hawezi kuyafanyia jamming 😂😂😂Umenikumbusha Poland kaomba hata scrapper ili aweze kijilinda na sungusungu maana silaha zote kapeleka Ukraine 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]Huh nimezipokea mkuu, uko makini mwamba. Ni kweli hicho nilikiona kwenye ile reply y shangazi etu hapa that's why nika-mwambia hajaelewa context. Aelewe context kwanza ndio aangalie kama kile anashodhani ni sawa.
Nilikataa hoja ya mathanzua ya kusema kua ziko overrated ila nikakubali ya Grand Master kua ziko underated based kwenye vigezo ambavyo na yeye huyo Mathanzua anavyo na kaamua kuvitumia.
Sasa alipoulizwa hivyo vigezo vyake (data) ni zipi badala ya kuvileta akaamua kutupa ubatizo wa majina matam. Hilo likaisha...
The same case kwake pia, nilichukua point moja tu pale niliyoona haiko sawa... Point hiyo kama mlichokiona.
Maana halisi ya data.
Lakini akasema kua anaelewa so nikamwambia nae atuthibitishie kua wae walio omba data(facts) wapo nje ya point. Ila sijaona ata text moja aliyo jibu hilo zaidi ya kauli ya jana ya mzee Mathanzua.
Nikikupa kidumu cha mafuta nika-kwambia hizi ni litre 3, Ukipinga si unaleta uthibitisho wa litre 3 zilivyo mmh?
Ukipinga vifaa ni vingi, si unatoa maelezo ya ziada (data) kua hivi na vile kama ulivyo fanya wakati unatetea yako ya kua hizo data (figures) ni chache.
Shida iko wapi hapo [emoji2960]
Jana ingefanyika kisomi kama yeye Mr Right anvyojipambanua, angesema kwamba like this...
"Data za Urusi zipo nyingi kwa sababu kadha wa kadha, Moja Idadi ile aliyo kua nayo kabla ni kadhaa, aliyopewa ni kadhaa. Jumla kati ya alizokua nazo na alizopewa ni kadhaa. Hivyo kwa idadi ya aliyotoa Russia imezidi."
So nae pia alipaswa aseme, kwamba "wanaotaka hizo data for references kama yeye Mr Right alizotumia zikampa nguvu ya kusema kua ni "nyingiii". Hawako sawa kwasababu wanatakiwa waamini kila kitu ni uongo no need for reasoning"
Je unaweza kukubaliana na mimi kama ni stori zimeandikwa kama kuaminisha uma alikuwa hivyo kama serikali ya USA inavyoaminisha watu kifo cha JF Kennedy...?I concur. Falmer hudondoka kindezi sana.. Alexander kipindupindu kilimuondoa na mzee Caiser Blootooth.
Kauziwa nani mkuuHimars moja mmeshauza . Nyie Pro Nato kiboko
Wapige hapo kwawatoa maamuzi ili tuheshimianeRumor has it that Russian President Vladimir Putin will hold today, July 15, an operational meeting with permanent members of the Security Council of the Russian Federation, where a lot of different information will be shown, which can once again turn the "tide of history."
There are many assumptions, from the start of an official war, to an ultimatum and permission to strike at decision-making centers.
Kikosi kimetokea nje ya UKRAINE !!!??Mkuu kuna kikosi tumekituma kusimamia silaha Ukraine, Putin wenu ataichukulia vipi hiyo [emoji23]
Ndio mkuu soma post hapo juu