Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Acha noende huko nikajivunie mtoto wa kiukraine?
 
🇺🇦 At least 23 people were killed when a Russian cruise missile hit a building in the Ukraine city of #Vinnytsia.

Moscow says the attack was directed at a building where top army officials were meeting foreign arms suppliers.

Kyiv denies any military target was hit.

📸 Valentyn Ogirenko/Reuters
 
"Winter horror is coming to Europe"

The Economist predicts an icy horror for the EU during next winter.
View attachment 2291655
Your browser is not able to display this video.

Waambie wajiandae kama bongo hivi kwao kutakuwaje????🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Waambie wakapige goti Kwa Putin ili maisha yasinge
 
Mkuu mbona nimeingia nakutana na kirusi tupu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hebu nipe maujanja maana nimetafuta sehemu ya translate sijaiona, au inabidi niikopi halafu kinaitranslate???
 

Ngoja nikupe mukhtasari.

Picha linaanza Mathanzua kuna post ilipostiwa ila yeye akasema ni uongo (data)

Hiyo post haikua na mambo ya 40b au 18%.

Ilikua ni mambo ya
(wanajeshi 50,ndege saba,vifaru 10 naona uvivu kuitafuta)kuonyesha kimepotea kipi mpaka sasa hapo tuu.(kipeperushi flan jackal anapenda kukipost sanaa) kama unaweza kukipata unaweza kukiattach.

Galip Vrl na mwenzie wakasema "no data no right to speak"

Mimi nikajibu ila katika engo ya kumsaport Mathanzua ila sina data zozote ni kutokana na post tuu.

blablaa zangu ( 18%,kauli ya Madvedve pamoja na kisinga,black market nikagusia pia) nikasema figa zinaweza kua kubwa zaidi ila Russia hasemi ukizingatia alivyozungukwa na maadui wengi(defense mechanism)

Akaja Grand Master na blablaa( 40b$ na nyingine ambazo azitangazwi,black market,akionyesha msaada ni mkubwa ila figure ni ndogo( Russia analinda status ya OP)

M sikuona shida kwa sisi wote wawili (kubwa au ndogo) ambao conclusion yake ni kwamba uko field ndio wanajua ukweli.

Galip Vrl akaja kumpa tag kwamba kaeleza vizuri mi sina tatizo ila alivyosema kubwa ni uongo na 😏juuu😂😂😂

Nikarudi mzigoni huyu jamaa vip (iwe kubwa au ndogo) hakuna data zozote zilizotumika kumsaport ameshajisahau yy msimamo wake ni upi ndio yakaendelea yaliyoendelea.

Gafla tena Grand Master kaja na uchambuzi kupitia battle yangu na galip ila kama vile mm sijaelewa data ilhali galip amekubali point yake bila suport ya data.

Na mimi msimamo wangu ni hivii siziamini data za kimedani kwa fact izi apa.

Ntatumia mfano.

Ilipoanza OP tuliambiwa ni wanajeshi 150k ila mpaka sasa tunapokea takwimu za majeruhi,waliokua,mateka n.k.hapo tuu.

Ivi shoigu alishawai kusema bado tuko na 150 despite izo casualties maana kuna wanaopewa off pia.
Kwangu data ni kitu complex na ni siri ambayo inalindwa na hao mambwana kwa sababu wanazozijua wao.

😂😂😂😂😂 jibu moja tuu nataka kuhusiana na hili saga la mtu tatu mimi na hao nani wanajichanganya( ni wazi wote tumetoka kwenye msingi mkuu (data))

Kati yangu na Grand Master hakuna data zilipotumika ila mtu kwa ridhaa yake kachagua upande alafu mimi ndio naonekana niko nje ya script.

Na mbaya zaidi aliyejichanganya hajui kama kajichanganya kwamba data ndio zitoe jibu kwa jinsi alivyotaka toka kwa Mathanzua na sio blablaa zangu na Grand master.
 
Mkuu naomba link za makundi mengine
 
Mkuu naomba link za makundi mengine
 
Nadhani wakuu huo mjadala hapo juu mngeufunga tu, maana issue ni mtazamo tu.

Ila wote mpo sahihi, mtazamo ndio mnatofautiana.

Tumpe pia hongera Iron Lady Ngaboru.

Unakuaga wapi kunipa shavu🤩🤩🤩🤩👍👍👍itabidi nianze kampeni ili nipate wapambe wa kunishangilia.

Kuna vitu tunabishana mpaka unaanza kujiona genius hata kama haupewi tag.

Majibu mawili (kubwa / ndogo) conclusion ni uhalisia wanao huko field.

Huu ni mjadala hauna jibu moja lililosahaihi ila ni opinions tuu so mwenzako akiona nyeusi we ukaona nyeupe inamaanisha mko sawa kwenye level moja ya utambuzi ( rangi)

Parata atakubishia nyeupe ndio yenyewe wakati mwisho wa siku jibu ni rangi sema uko kwenye engo hipi.
 
GOOD NEWS 😌

🇷🇺🇰🇷 South Korea has started accepting Mir cards. Purchases can be paid in BC Card payment system devices.

This was reported in the technical support of the Russian company.

▪️BC Card is the largest payment processing company in South Korea, which serves more than 3 million sellers.
 
Kingine nilichokiona hapa ni kua mtu akiwa appreciated anapanda hadhi.

Hapaswi kuchalenjiwa ndio anajuaga tayari imeisha hiyo😂😂😂sasa tutakua tuna sifu na kuabudu alafu kwenye masinagogi tubishane kwa fact.

NB.
Sijakech ni mtazamo tuu.
Hapa ni sehemu ya burudani pia 👍👍😂😂😂.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…