Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

mkuu ungeachana nae kashaathirika na muvi za holiwudi na kichwa chenyewe kibaki kuwa kabaki la kuhifadhia meno na uchafu wa masikio.
 
Kwahiyo hao makomandoo wanauwezo wa kuzuia Iskender lisiwalipue
 
Ukishakuwa na rasilimali muhimu kama gesi,mafuta na chakula huwezi kuwa tegemezi ndo kinachomfanya asiumizwe na vikwazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili la kutokuwa tegemezi lipo wazi... linalokera ni analysis zilizofanyika kuwa akipewa vikwazo atashindwa, na kwann kama imefikia hapa hivi vikwazo haviondolewi.
 
Sawa kwa hiyo mkimweka mwingine ndio mtashinda vita au
 

Acha utoto bhs leta ushahidi wa zelenskyy kulindwa na hao makomandoo unaosemea. Hivi unafikiri Russia anashindwa kumchomoa zelenksyy?? Russia hawana shida na huyo comedian ila wakiamua ni suala la muda tu.

Makomandoo wa NATO[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Au wamegundua kwamba hata wakiirudisha, Russia hawezi kuachia gesi? Or dates?

Pengine mojawapo ya hizo statements mbili ni makubaliano ya awali kabisa, then mambo yakabadilika?
Kurudishwa means to counter sanctions, to side stepping their own sanctions. Something Zelensky hataki, to him bora Europe wa'freeze to hell but not to normalising with Russia
 
Hapa Putin na Urusi wamekosea sana.
Hii itawavunja moyo ma Spy wao wengine walioko ktk cycle za nchi nyingine.
 
Ivan Bakanov ni rafiki yake wa karibu bwana Zelensky na wamecheza chandimu wakiwa watoto ni "childhood friend".

Yaani wale rafiki zako mlokuwa mkitumia manati kuwinda ndege au kucheza kombolela utotoni na mwasoma wote wamteua kuwa mkuu wa ujajusi wa nchi unoiongoza.

Kisha baadae huyo rafiki yako akugeuka na kuwasaidia maadui (unamtuhumu)

Hiyo yakufundisha nini?
 
Hata hivyo Urusi wanatisha,inawezekana Wana ma Agent kibao ktk nchi za NATO.usa inclusive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…