Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hili la kutokuwa tegemezi lipo wazi... linalokera ni analysis zilizofanyika kuwa akipewa vikwazo atashindwa, na kwann kama imefikia hapa hivi vikwazo haviondolewi.
Ha ha ha main target pale ilikuwa Raia wa kirusi... Raia wa Urusi wao ndio wanyanyuke kumtoa Putin. Then wajiwekee mtu wao wanaomtaka waanze kumpa order kama wanavyofanya kwenye mataifa mengine.

Kitu kikubwa cha kusifiwa kwa Warusi ni uvumilivu na ile iman kwa Rais wao ndio iliyo waokoa otherwise hivi sasa tungekuwa tunazungumza mengine.

Kumbuka lile poromoko la ghafla la sarafu yao. Kama sikosei ilienda hadi two times ya value iliyokuepo against dollar. Zile kampuni zilizojitoa kwa speed ya 10G maana ake watu wengi nchini hapo walipoteza ajira sio kidogo.

Lakini wakaonesha utulivu wa hali ya juu na hivi sasa wanaendelea na maisha yao kama kawaida. Upendo wao kwa kiongozi wao Putin unazidi kukua kuzidi hata kabla ya Operation hiyo.

Na unapo jiuliza kwanini hawataki kuvitoa vikwazo vinavyo waback-fire, angalia hulka za Prowest hapa jamvini. Ndivyo walivyo viongozi hao, HAWAKUBALI KUSHINDWA hata pale wanapo kua bila alternative ya kupata ushindi. Watahamisha Goal ila sio kukubali kushindwa.
 
Kurudishwa means to counter sanctions, to side stepping their own sanctions. Something Zelensky hataki, to him bora Europe wa'freeze to hell but not to normalising with Russia
Asichojua ni kwamba kwenye politics mostly viongozi wanafanya maamuzi kwa kufuata mdundo na upepo wa raia. Kwake yeye gari lilishatembea, na raia wake wanamtegemea yeye hadi hapo.

But hakuna nchi yoyote Ulaya wala Marekani inayoweza ku-sacrifice kiasi hicho. Lazima kiongozi husika atafurushwa tu kama PM wa Itali na BJ kakake.
 
Bojo ndo alizingua acha afunuliwe. Angenyamaza aibu kama hizi zisingemkuta
Bojo kapiga samasoti wakati kavaa taulo.🤣🤣🤣🤣.

Ila putin na Urusi wameshindikana aisee.
Wanawavuruga west vibaya sana.
 
Nime assume TU kama ni ya kweli,basi athari zake ndio zitakua hivyo.
Wale wengine wataona,lol!
Kumbe tukikorofishana atatuweka hadharani.
Nimewaza TU lkn.
Lakini ukiwa agent, lazima ujifunze kulinda mipaka yako (I mean, mdomo wako). Otherwise, sidhani stori yote ni ya kweli. Maana BJ asingekuwa mstari wa mbele kuchochea vita dhidi ya Putin.

Anyways, sometimes yeye kama yeye hataki, lakini mfumo wao plus shinikio la KM (Kiranja Mkuu US).
 

Unataka nikutajie coordinates ili mfanye yenu? Thubutu! Hizo ni taarifa za siri ndani kwa ndani. Zelensky yupo sana tu.
 
Ha ha haa.
Ntacheka sana pale itakapojulikana Mwamba Donald Trump ni pandikizi wa Urusi.
Maana sio kwa kumhusudu huko Putin.
Mie nilicho'note naona kama yeyote anaye zungumza lugha moja na Putin kutoka kwenye nchi hizo anabambikwa jina la "Spy wa Putin". Na sasa wamekazana kuficha aibu kama wana banduliwa kwa sababu ya hali mbaya walio sababisha kutokana na ujinga wao kwenye kushughulikia issue ya Ukraine.

Ukiiba nondo za elim ya ziada nje ya siasa hizi tunazoona nje, viongozi wengi wakubwa karibu wote ni wateule wa kikundi kile kinachoitwa "deep state" ambao wanapambana na mtaalam Putin nyuma ya pazia.

Sema kuna story zingine zinaweza kutengenezwa kwa kuunganisha dots zikaonekana kweli ka ukizibeba chap bila kuwaza nje ya box.

Vipi nami nikisema Kamala ni Spy wa India kule US kwasababu mama ake ni Indian [emoji2960]
 
🇷🇺❗Peskov's statements:

▪️The Russian special operation will end when all its goals are achieved, there are no clear time frames, the main thing is efficiency

▪️ Russia is used to sanctions, this is the price for its sovereignty;

▪️ Sanctions against Russia began to be introduced long before the special operation, now they are measured in hundreds and thousands;

▪️ The Russian military has orders from Putin to avoid civilian harm and work carefully;

▪️ The nationalist battalions of Ukraine do not shun anything.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…