Wapo bize kulamba asali tu ...kama mwezi huu wapo hai hai kuangalia kama vibubu vimeongezwa ujazo wa Asali ya mishaharaHivi ktk hii vita JWT wako wanachukua NOTES au?
@DALA kherson naijua kama ipo tofauti na KHARKIVNi mji ule ule bro, lugha tu ndio yafanya mabadilishano ya hizo herufi I na O.
Ukrainian wanaita "Kharkiv" while Russian wanaita "Kharkov". Second largest city hapo Ukraone. Kama ilivyo "Kiev, Kiyv, Kyiv" Spellings tofauti but mji ni ule ule.
Kaka nahisi kidoogo kama umechanganya "Kherson na Kharkov"
Kherson ndio ipo kusini mwa Ukraine iliyo chukuliwa na Urusi.
Yaani tutafunga tu MKUU wacha wafe c wameyataka wenyeweNawakumbusha tu ili baridi mnaloliona makete,makambako na mbeya ni cha mtoto kwa baridi la ulaya linalokuja kule baridi ni kali inapelekea mpaka watu wanaganda na kufa kabisa na barafu sasa ebu fikiria apo gesi uwa inakuwepo na watu wanakufa na barafu je tukisema tufunge gesi yetu sisi board member wa kremlin[emoji16][emoji16] hali itakuaje uko ulaya ..
Pa1 kaka 🤝Uko sahihi. Nimechanganya kidogo. Nadhani mjadala huo tajwa unazungumzia tu mji wa Kharkiv. Ni mji mmoja.
😂😂😂 Dah, ahya bn.Wameshaelewa braza[emoji41][emoji41][emoji41]
Vita vya Russia na Ukraine vimefanya tumeijua Ukraine hadi miji yote na vitongoji vyake, licha ya majina kuwa magumu kama gomegome. Mfano Severodonetsk. Dah!Ni mji ule ule bro, lugha tu ndio yafanya mabadilishano ya hizo herufi I na O.
Ukrainian wanaita "Kharkiv" while Russian wanaita "Kharkov". Second largest city hapo Ukraone. Kama ilivyo "Kiev, Kiyv, Kyiv" Spellings tofauti but mji ni ule ule.
Kaka nahisi kidoogo kama umechanganya "Kherson na Kharkov"
Kherson ndio ipo kusini mwa Ukraine iliyo chukuliwa na Urusi.
Wanatafuta huruma tuwafungulie koki hawa UMBWAWameanza kusema ukweli
[emoji845][emoji629][emoji1255]The head of the German Defense Ministry, Kristine Lambrecht, admitted that the Bundeswehr's resources to help Ukraine are running out
"We can no longer give away much [from the reserves] of the Bundeswehr, I will say this very clearly''-Die Welt[emoji845]
Hilo mbona umeli-rahisisha bro, eti nasikia linaandikwa hivi "Sievierodonetsk" 😂Vita vya Russia na Ukraine vimefanya tumeijua Ukraine hadi miji yote na vitongoji vyake, licha ya majina kuwa magumu kama gomegome. Mfano Severodonetsk. Dah!
Mara zote tunatoa sifa kwa Putin lkn naamin jamaa ana wanamkakat madhubut ktk nyanja za uchumi na ujasus na ndio maana ameweza kuwadhibit wamagharib kwa namna ambayo wao wenyew wamepigwa na butwaa ktk ujasus wa kiuchum.Pa1 kaka [emoji1666]
[emoji23][emoji23][emoji23] Dah, ahya bn.
Boss, wakati maombi ya wengi yanakusudia Ukraine na Ulaya watokeze salama kwenye vita hivi, naona wewe unaomba vinginevyo, huh!Nawakumbusha tu ili baridi mnaloliona makete,makambako na mbeya ni cha mtoto kwa baridi la ulaya linalokuja kule baridi ni kali inapelekea mpaka watu wanaganda na kufa kabisa na barafu sasa ebu fikiria apo gesi uwa inakuwepo na watu wanakufa na barafu je tukisema tufunge gesi yetu sisi board member wa kremlin[emoji16][emoji16] hali itakuaje uko ulaya ..
*KHARKOV CITY ipo kwenye jimbo la KHERSONNi mji ule ule bro, lugha tu ndio yafanya mabadilishano ya hizo herufi I na O.
Ukrainian wanaita "Kharkiv" while Russian wanaita "Kharkov". Second largest city hapo Ukraone. Kama ilivyo "Kiev, Kiyv, Kyiv" Spellings tofauti but mji ni ule ule.
Kaka nahisi kidoogo kama umechanganya "Kherson na Kharkov"
Kherson ndio ipo kusini mwa Ukraine iliyo chukuliwa na Urusi.
Hilo mbona umeli-rahisisha bro, eti nasikia linaandikwa hivi "Sievierodonetsk" 😂
Haya majina bila kuangalizia ngumu kutoboa 🥱
Yapo mengine heavy JF kungekuwa na uwezo wa kutuma Voice note tungepeana Challenge.
Mfano
1. Zaporizhzhia
2. Kryvyi Ri
3. Khmelyntskyi
4. Starokostiantyniv
5. Yuzhnoukrainsk
6. Bilhorod-Dnistrovskyi
He he he (Bila kuangalizia michapio haikwepeki)
Yule mwanamama governor wa benki kuu ya urusi ni genius, akili zake sio za kawaida.Mara zote tunatoa sifa kwa Putin lkn naamin jamaa ana wanamkakat madhubut ktk nyanja za uchumi na ujasus na ndio maana ameweza kuwadhibit wamagharib kwa namna ambayo wao wenyew wamepigwa na butwaa ktk ujasus wa kiuchum.
Kwa mfano jamaa anayesimamia wizara ya uchumi,hazina wote hawa wameupiga mwingi ingawaje taarifa zao humu jamvin hazijatamalak walau kwa uchache.
Since 1978, wars are not our interest and priority anymore. Afadhali kuachilia rasilimali zetu na utu wetu wote kuliko kwenda vitani. Hii ndiyo mind-set ya Bongo.Hivi ktk hii vita JWT wako wanachukua NOTES au?
Hata bila kuwezeshwa tunaweza!Yule mwanamama governor wa benki kuu ya urusi ni genius, akili zake sio za kawaida.