ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Kijiwe chenu kina ghahawa nzitoKuna jamaa nipo naye hapa kijiweni ametujulisha habari za ndani ndani kabisa , Putin anafunga mahesabu Ukraine wiki hii anaendelea mbele kuichukua na Finland🐒
sawa usijaliJamani mbona tunapoa humuuu!! Amshaamsha imepoa sana leo.
Maafisa habari wawakilishi wa pande zote mbili humu JF tupeni za ndani.
Anyway itakuwa mpo kwenye vikao mkitoka muongee kwa Mamlaka
😂😂😂😂Kijiwe chenu kina ghahawa nzito
It's not straight forward analysis kama unavyofanya. Yes NATO ni alliance yenye nguvu lakini ikitokea vita na Russia, which is very unlikely, wote watapoteza vibaya sana, it'll be deadly on both sides, Russia ana supersonic nuclear arsenals, na ana mabomu ya nuclear probably kuweza kuangamiza Dunia, sidhani kama NATO inaweza kwenda hiyo njia.Wako mlangoni kwake kabisa. Wanachosubiri ni kuona ata ganda moja tu la risasi ya Urusi limeangukia katika nchi moja mwanachama, wazee wa kaz waingie kazini.
Kharkov was heavily bombarded. Shells flew to the Palace of Labor and the City Council. There is an air raid in the city.
Source: Kharkiv now
View attachment 2136286
Ujinga tu,akifunga hamna athari zozote kwamba Russia atashindwa kutengeneza simu.Apple re:Store stores are not open today. Yesterday, the company announced that it was suspending deliveries of equipment to Russia.
Source: Baza
View attachment 2136088
Sasa kama ndivyo NATO tayari wana Latvia&Estonia kwa nini nao wanaitolea udenda Ukraine??,si waachane nae ili kuepusha majanga.NATO iwe mara ngap mlangoni mwa Russia , Russia anatumia hiyo iwe sababu ya yy kuizuia Ukraine kujiunga NATO ila in reality ana sababu zake zakiuchumi na sio sababu za kiusalama kama anavyojigamba hadharani , Latvia na Estonia ji majirani wa Russia ila pia ni members wa NATO ila Russia did nothing to stop them from joining NATO
Unamuuliza nani tena ? Wewe si ndo ulituambia ndani ya saa 24 tukaokote majivu Ukraine?Bado tu maana tuna mambo mengi ya kufanya
Ndio ila bado 24 hrs hayajaishaUnamuuliza nani tena ? Wewe si ndo ulituambia ndani ya saa 24 tukaokote majivu Ukraine?
Sisi hatuna muda wa kujipiga selfie vitendo tu jamaa yule Joti kajipiga ma selfie mtaani tutapigana mpaka mwisho jana namuona kajificha shimoni macho mekundu usingizi hapati. Sasa leo anatafuta huruma tena ohhh wamepiga makaburi ya mayahudi apige makaburi ya nini kuna mtu anapiga bomu mortuary? Sasa huko Fox kuna wataalamu wanaongea uongo mpaka mtazamaji unaona aibu eti Ukraine wana jeshi kubwa kuliko Russia halafu macho makavu hana aibu. Hii ndio inawasabibishia majamaa kudhani kweli ndio maana wanapata kipigo. Anayeomba msaada tusaidieni yeye wamekufa 70 tu ila yeye anauwa 1000 kwa siku. Unajuwa ukienda kwa Dr ukasema ugonjwa wa uongo utapewa dawa za uongo ni time ya kuwaambia Ukraine weka silaha chini muepushe vifo sio vya lazima sio mnauwa watu ukijuwa fika kushinda huwezi.Pro Russia ebu tupia emonji moja nzito kwa komenti hii
Putin kazi iendelee
Fungua hiyo habari na usome:Ni za Ukraine not Russia ⚠️
ACHA KUPOTOSHA WATU
Fungua hiyo habari na usomeNi za Ukraine not Russia ⚠️
ACHA KUPOTOSHA WATU
lazima wasandeSisi hatuna muda wa kujipiga selfie vitendo tu jamaa yule Joti kajipiga ma selfie mtaani tutapigana mpaka mwisho jana namuona kajificha shimoni macho mekundu usingizi hapati. Sasa leo anatafuta huruma tena ohhh wamepiga makaburi ya mayahudi apige makaburi ya nini kuna mtu anapiga bomu mortuary? Sasa huko Fox kuna wataalamu wanaongea uongo mpaka mtazamaji unaona aibu eti Ukraine wana jeshi kubwa kuliko Russia halafu macho makavu hana aibu. Hii ndio inawasabibishia majamaa kudhani kweli ndio maana wanapata kipigo. Anayeomba msaada tusaidieni yeye wamekufa 70 tu ila yeye anauwa 1000 kwa siku. Unajuwa ukienda kwa Dr ukasema ugonjwa wa uongo utapewa dawa za uongo ni time ya kuwaambia Ukraine weka silaha chini muepushe vifo sio vya lazima sio mnauwa watu ukijuwa fika kushinda huwezi.