NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
The Russian army occupied the city of Vasilyevka in the Zaporozhye region
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Are you serious unaamini hizi propaganda?kamdanganye shangazi yako wa buza distance ya kutoka urusi mpaka ukraine ni 4681km ni sawa na 2909miles kwa ndege yenye speed ya 560miles per hr ni masaa 5 na kitu usichokijua vita sio washirika wala propaganda vita ni vitu vikuu vitatu tu 1)uchumi 2)intelejensia na 3)teknolojia ukiwa vizuri kwenye haya maeneo ma3 hakuna kenge anayeweza kukugusa hapa duniani urusi hana kimoja tu hapo uchumi mzuri na urusi hana uchumi mzuri ukimlinganisha na mataifa makubwa km usa,france,uk,china etc na sio panya kama ukraine nchi inayozalisha mafuta inawezaje kukosa lita 50 za kuweka kwenye kifaru? ndege na makombora ya japan yanawezaje kutoboa mbele ya s-300 s-500 s-700
Hizo ni screpa acha uzushi,View attachment 2136241Milima ya magari ya deraya ya urusi yaliyoharibiwa Ukraine:
Bucha, Ukraine - a mountain of damaged Russian vehicles.View attachment 2136241View attachment 2136242
Naweka picha kabisaPro Russia ebu tupia emonji moja nzito kwa komenti hii
Putin kazi iendelee
Ni sawa unamuambia jiran yako akupe Chakula ule, anakupa bigijii utafune.Jana nimesoma analysis fulani nikaja na conclusion kwamba Ukraine imepewa Su-25 na Mig-29 za NATO lakini ni sawa na kusema zitakuwa na matokeo madogo. Haziendani na za Ukraine.
Kwanza hazina Identification of Friend or Foe (IFF) au labda waliziweka haraka na kufunga systems mpya. Ukraine ina jeshi tofauti na Poland au Moldova, hawawezi kuwa na IFF sawa. Hizo MANPADS wanazopewa hovyo zinaenda kutumika dhidi ya ndege zinazofanana, wote Ru na Ukr wana Su-25 na Mig-29. Ndege kadhaa za Ukraine zishapotea kwa friendly fire.
Pia hazina level moja ya modifications, zitachanganya marubani ambao hawajazoea. Tukumbuke zimetengenezwa miaka 40 uko iliyopita na zinaletwa kutoka nchi tofauti. Systems zake kama za communication na jamming ni tofauti. Ni vigumu kumpa rubani ndege ukamuelekeza kwa siku chache au wiki ukampa afanye vizuri kwenye battle eti kisa ile airframe alikuwa anaitumia. Airframe haibadiliki ila systems ndio zitatoa guarantee ya ushindi.
Airbases za Ukraine upande wa mapigano ziko under surveillance ya Russia. Ikitokea ndege zinatua basi makombora ya Urusi yatadondoshwa hapo. Hii imefanya Ukraine wafiche ndege zao kwenye airstrips badala ya airbases. Uzuri ndege hizi ni za watu wasiojali zinaweza ruka hata kwenye kiwanja cha nyasi hasa hizi Mig-25. Taiwan wenyewe walifikia hatua ya kujenga highways zenye viwango vya rami ya airbase. Mfano sisi hapa tuchukue barabara ya Mbezi ikitokea vita iweze kutumika kutua na kurusha ndege vita.
Ukraine haina ground control radars za kutosha kufanya communication kwa attack jets zao. Huwezi tuma ndege angani kisa kuna adui umemuona la sivyo unajifanya ndege yako iwe soft target, ndege zenyewe hazijitoshelezi sio air superiority fighters zinategemea kuwa fed na ground radars. S-300 za Ukraine bado zinafanya kazi upande wa Magharibi na Kusini ndio maana ndege zao zinaruka uko ila kwingine Russia ana complete air dominance.
Electronic countermeasures za Russia zitasumbua ndege za Ukraine ambazo sio advanced kwenye sekta hiyo. Na ikizidiwa sana Russia ina option ya kuleta ndege nyingine advanced.
Kwenye hili tuseme EU wamefanya kitu inaitwa "let us do anything" kwanza ndege zenyewe zishafikia mwisho wa matumizi. Kuhusu anti tank missiles hizo ni game chager
Palestina je?Utaifanyaje nchi iliyo huru na matakwa yake? ivi Tz ikianzisha uhusiano na oman nani atainua mdomo, China nani ataiunua mdomo, korea nk., nchi huru haziingiliwi siasa zake, Ukrain ni nchi huru tunapaswa kulaani mauaji ya kinyama kutoka russia kwa taifa dogo kivita kama Ukrain
sawa sawa
We boya unasifia watu ambao hawakupendi wanakuona nyaniNdo Putin ajue western countries ndo wanarun dunia kiuchumi, kijeshi na ndo maana kiurusi hata top ten ya nchi zenye GDP kubwa hakipo, na bado atabanwa kende mpaka maji aite mma na muhogo aite mhoho. Mabepari achana nao ndo maana china waliona ni upumbavu kuendelea na sera za ujamaa maana hazilipi wakaingia kwenye ubepari mazima matokeo yake leo hii China yupo namba mbili kiuchumi. Na china kwenye sakata hili haongei sana maana hataki kumuuzi sana US na wenzie maana anakumbuka kichapo cha kiuchumi alichopewa juzi kati ndo maana anaenda aste aste.
Kawaida hata Chadema wanaandama afu wanafinywaUnatuletea post ya tarehe 27 wakati tunaelekea mwezi wa tatu mzee. Huoni aibu. Hebu chagua tusi gani nikutukane.
Karudi kwenye historia yako. Watu kama nyie mnakera sana, yani unadai nisome historia na wewe uliyeisoma unapotosha. Wapi ambapo Russia au USSR aliikomboa England (ambayo sio hiyo, unamaanisha Great Britain or United Kingdom kama umejumuisha Northern Ireland). Hakuna mwanahistoria hata awe anapata zero darasani ataiita GB au UK eti England, huu sio mpira wa FIFA.Nadhani propaganda imekukamata na unakuja hapa nakuamini kabisa hizo story. Vita unashinda lakini lazima hasara upate ni kawaida tu. Kumbuka Russia waliwasaidia Europe kuwatoa Hitler hao England na France walikuwa maji shingoni na zawadi yake kuchukuwa East Germany nadhani kasome history.
Hizo ni screpa acha uzushi,
Vita inasiku ngapi Hii mpk kifaru kioneshe kimeshika kutu?
Sent using Jamii Forums mobile app