LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Jamani mbona tunapoa humuuu!! Amshaamsha imepoa sana leo.

Maafisa habari wawakilishi wa pande zote mbili humu JF tupeni za ndani.

Anyway itakuwa mpo kwenye vikao mkitoka muongee kwa Mamlaka
sawa usijali
tunamalizia kusafisha tanks huku we subiri uone
 
Terodefense fighters decided to leave Molotov cocktails for Grad. Suddenly, the Grad exploded ammunition
IMG_20220302_143520_506.jpg
 
Wako mlangoni kwake kabisa. Wanachosubiri ni kuona ata ganda moja tu la risasi ya Urusi limeangukia katika nchi moja mwanachama, wazee wa kaz waingie kazini.
It's not straight forward analysis kama unavyofanya. Yes NATO ni alliance yenye nguvu lakini ikitokea vita na Russia, which is very unlikely, wote watapoteza vibaya sana, it'll be deadly on both sides, Russia ana supersonic nuclear arsenals, na ana mabomu ya nuclear probably kuweza kuangamiza Dunia, sidhani kama NATO inaweza kwenda hiyo njia.

It's called balance of terror, jiulize tu kwann marekani haijapeleka wanajeshi kuisaidia Ukraine? Sababu ni very simple, they don't want to escalate the political tension wajikute kwenye vita na Russia.
 
Kharkov was heavily bombarded. Shells flew to the Palace of Labor and the City Council. There is an air raid in the city.

Source: Kharkiv now
 
NATO iwe mara ngap mlangoni mwa Russia , Russia anatumia hiyo iwe sababu ya yy kuizuia Ukraine kujiunga NATO ila in reality ana sababu zake zakiuchumi na sio sababu za kiusalama kama anavyojigamba hadharani , Latvia na Estonia ji majirani wa Russia ila pia ni members wa NATO ila Russia did nothing to stop them from joining NATO
Sasa kama ndivyo NATO tayari wana Latvia&Estonia kwa nini nao wanaitolea udenda Ukraine??,si waachane nae ili kuepusha majanga.
 
Pro Russia ebu tupia emonji moja nzito kwa komenti hii

Putin kazi iendelee
Sisi hatuna muda wa kujipiga selfie vitendo tu jamaa yule Joti kajipiga ma selfie mtaani tutapigana mpaka mwisho jana namuona kajificha shimoni macho mekundu usingizi hapati. Sasa leo anatafuta huruma tena ohhh wamepiga makaburi ya mayahudi apige makaburi ya nini kuna mtu anapiga bomu mortuary? Sasa huko Fox kuna wataalamu wanaongea uongo mpaka mtazamaji unaona aibu eti Ukraine wana jeshi kubwa kuliko Russia halafu macho makavu hana aibu. Hii ndio inawasabibishia majamaa kudhani kweli ndio maana wanapata kipigo. Anayeomba msaada tusaidieni yeye wamekufa 70 tu ila yeye anauwa 1000 kwa siku. Unajuwa ukienda kwa Dr ukasema ugonjwa wa uongo utapewa dawa za uongo ni time ya kuwaambia Ukraine weka silaha chini muepushe vifo sio vya lazima sio mnauwa watu ukijuwa fika kushinda huwezi.
 
Mnamkubuka yule mzee wa Iraq sijui alikuwa anaitwa Sahaf kama nimepatia yule alikuwa kiboko kwa propaganda anasimama darajani anasema hakuna jeshi la USA hapa wakati jeshi liko mbele yake kama meter 50 na huku watazamaji tunaamini tu. Ndio hawa wa Ukraine wewe unauwa wa Russia lakini msaada unaomba wewe na uko kwenye mahandaki umejificha. Tungesikia jeshi la Russia limerudi nyuma mpaka Belarus hapo tungesema kweli,
 
Sisi hatuna muda wa kujipiga selfie vitendo tu jamaa yule Joti kajipiga ma selfie mtaani tutapigana mpaka mwisho jana namuona kajificha shimoni macho mekundu usingizi hapati. Sasa leo anatafuta huruma tena ohhh wamepiga makaburi ya mayahudi apige makaburi ya nini kuna mtu anapiga bomu mortuary? Sasa huko Fox kuna wataalamu wanaongea uongo mpaka mtazamaji unaona aibu eti Ukraine wana jeshi kubwa kuliko Russia halafu macho makavu hana aibu. Hii ndio inawasabibishia majamaa kudhani kweli ndio maana wanapata kipigo. Anayeomba msaada tusaidieni yeye wamekufa 70 tu ila yeye anauwa 1000 kwa siku. Unajuwa ukienda kwa Dr ukasema ugonjwa wa uongo utapewa dawa za uongo ni time ya kuwaambia Ukraine weka silaha chini muepushe vifo sio vya lazima sio mnauwa watu ukijuwa fika kushinda huwezi.
lazima wasande
 
Back
Top Bottom