LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
The President of Ukraine Zelensky reports that they eliminated over 6000 Russian invading troops in Ukraine.

View attachment 2136357

Huyu komedi ndio mana watu wake wanapigwa spana huko kwamba wanashinda Kwenye social media,Kwenye uhalisia wanapigika wanasambaza sana uongo walisema yule mjeda wa Chechen wamemuua jamaa kapost video yupo hai,kuna picha kibao za uongo zinasambazwa,hizi propaganda zake zinafanya moto uendelee kutembezwa shauri yake
 
Naomba Muache mtoto Aendelee kulilia wembe.
 
Jamani mbona tunapoa humuuu!! Amshaamsha imepoa sana leo.

Maafisa habari wawakilishi wa pande zote mbili humu JF tupeni za ndani.

Anyway itakuwa mpo kwenye vikao mkitoka muongee kwa Mamlaka
Tunawasubiri wazee wa 'Putin anakiwasha" walitwambia leo ni deadline kiev inakuwa majivu,naona wanasubiri Putin afanye yake ili waje hapa kama nzige kuvamia
 
Kwa kiasi kikubwa hawa ndugu wanafanana kuanzia muonekano wa sura hadi sare za jeshi... Sio wa kuwaamini sana.
 
Kwani Warusi wakipigwa risasi hawafi?
Ukraine yadai kuwauwa wanajeshi 5,840 wa Urusi
 
When your good friend who has helped you in many situations in your life now has started to eat garbages,

Tanzania tuna maisha mazuri,labda kwako kuko vibaya sababu ya uvivu w kucheza magemu ya simu mida ya kazi.
Tatizo ni akili finyu mulizonazo, tunapoongelea maisha mazuri tunaongela kwa kigezo cha HDI human development index, ambayo inahusisha educational systems, healthcare, employment, education nk. Sasa niambie nchi yako imeweza kwenye nini hapo? Kama dishi limeyumba tafadhali usijibu chochote, kama una hoja niambie hapa.
 
Tunawasubiri wazee wa 'Putin anakiwasha" walitwambia leo ni deadline kiev inakuwa majivu,naona wanasubiri Putin afanye yake ili waje hapa kama nzige kuvamia
Bado haijawa majivu.😆
 
Narudia tena leo ndio mwisho wa Ukraine kutunisha mkia wake. Kuna mpango ina operate background huko ni so dangerous na Ukraine macho yapo juu kuangalia kitu gani kinafika. Jana tu radi zilipiga huko wakaripoti ni milipuo ya Urusi, wanaweweseka sana bush baby hawa
 
Kama nilivyowahi kusema katika mada na michango yangu ya huko nyuma, lengo la Russia ni kuiondoa madarakani serikali ya Zelenskyy na kuirudisha serikali itakayosikiliza Russia.

Russia yaandaa mazingira ya kumrudisha alekuwa raisi wa Ukraine ambae aliondolewa kwenye mapinduzi ya 2014.

Kiongozi huyo wa zamani wa Ukraine wana Vicktor Yanukovych kwa sasa yupo nchini Belarus akisubiria "go ahead" baada ya Ukraine kuwa chini ya majeshi ya Russia.

Ili Ukraine iwe chini ya majeshi ya russia kikamilifu ni pale majeshi hayo ya Russia yawe huru kutembea mitaani, kurudisha huduma zote muhimu, kuongoza vituo vya mawasiliano, kijeshi na pia kuongoza magari mabarabarani.
 
Russia imewataarifu mamlaka ya udhibiti wa nyuklia duniani IAEA kuwa sasa inadhibiti kituo kikubwa cha nyuklia cha Ukraine kilichopo katika mji wa Zaporizhzhia .

Russia tiyari ilikwishateka kituo kingine maarufu kwa jin la Chernoby mwishoni mwa juma lilopita.


Kituo cha nyuklia cha Chernobyl

Wafanyakazi katika vituo hivyo wanaendeleza kazi chini ya uangalizi wa majeshi ya Russia.

Vifahamu vituo vya nyukila vya Ukraine.



Picha na BBC.
 
Unamaanisha leo 2.3.2022? Maana Kesho ni leo ya keshokutwa
 
K
Sorry kuna kitu kimoja cha muhimu wote hamjakitaja hapo,au tuseme huwa hakitajwi,na hicho ndicho huwa kinaweza kupelekea jeshi lako kishindwa au kishindwa vita,kitu hicho ni "motive" yaani nia,hiyo nia inazalishwa na sababu ipi inawapeleka kupigana.
 
Source
 
Breaking news:

Vikwazo.
wakina mama ntilie wa Buza ambao ni wafuasi wa NATO wamegoma kutuuzia wali ndondo sisi wakina Vradmir wa Buza.
hali ni tete kwa sisi warusi wa huku Buza.

mtuombee.
nikiripoti kutoka semanaye wilaya ya muundo huku hali ni tete hadi ukoo wa ugali tumewekewa vikwazo
 
Ukraine ni nchi ndogo mno kivita kulinganisha na URUSI, hakuna anayepinga kwamba URUSI hatampiga Ukraine - tunachosemea sisi ni outcome baada ya vita - Mrusi atadhoofika vibaya sana sana kiuchumi na huo ndiyo utakuwa mwisho wa Putin.
Una akili Sana brother kwenye military ranking Ukraine hawezi ku match na Russia ndio maana mabeberu yanampa backup, hapa Putin yuko vitani na mabeberu na this time amejaa mzima, mabeberu yanazidi kutwanga propaganda kama zote urusi inachukiwa pande zote mpaka wapiga gambe 😂😂😂wamegoma kunywa vodica za urusi
 
Unamaanisha leo 2.3.2022? Maana Kesho ni leo ya keshokutwa
Leo tarehe 2 march 22 tunamaliza kazi labda tutachelewa kuwatangazia tu ila mchuzi wote tunakunywa leo na bakuli litatupwa leo ila sijajua mlio wa kudondoka kwa bakuli
utachukua mda gani kukufikia hapo ulipo.
Nakukumbusha tu Zelenskyy yupo Poland mafichoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…