wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,209
- 37,871
Sababu yangu Ni rahisi tu,NATO alikua anahatarisha usalama wa Russia kwa kutaka kuleta majeshi mlangoni kwa Russia.Na alivunja makubaliano waliyoingia na Russia ya kutoku-expand kuelekea pande hizo.Sababu za wewe kuunga mkono uvamizi wa nchi huru ni nini?
Je unaunga mkono Idi Amin kuvamia Tanzania na Hitler kuvamia dunia nzima?
Je unaunga mkono kwa Russia kuendelea kunyakua nchi za jiraji? Baad ya Ukraine who is next ?
Sababu za wewe kuunga mkono uvamizi wa nchi huru ni nini?
Je unaunga mkono Idi Amin kuvamia Tanzania na Hitler kuvamia dunia nzima?
Putin akimaliza operation ya kuikomboa Ukraine yote, aitupie jicho na hii NCHI kabla wanajeshi hawajapoa akitoka hapo amalizie na kiherehere Poland.
Mimi Naunga mkono kwa 100% na next natamani iwe Poland.
USA mwenyew na alsikaJe unaunga mkono kwa Russia kuendelea kunyakua nchi za jiraji? Baad ya Ukraine who is next ?
Vijana wa kidukuHaya sasa mariupol huko mambo ni motoo [emoji91] [emoji91]. Tunajenga miji yetu mipya tuliyojomegea kwasababu ya ujinga wa elenskyyView attachment 2300894
View attachment 2300895
View attachment 2300896
View attachment 2300897
Cheap brain.Je unaunga mkono kwa Russia kuendelea kunyakua nchi za jiraji? Baad ya Ukraine who is next ?
Idi Amini hakuvamia tz, bali yeye ndo alivamiwa kupitia propagandaSababu za wewe kuunga mkono uvamizi wa nchi huru ni nini?
Je unaunga mkono Idi Amin kuvamia Tanzania na Hitler kuvamia dunia nzima?
Umri wako ni miaka mingapi!?Idi Amini hakuvamia tz, bali yeye ndo alivamiwa kupitia propaganda
Pole mno mzee wa "athari za Uchumu", We see hali bado mbaya. Jana nilihisi ni mchapio wa bahati mbaya but kumbe sio.Tatizo lako mkuu ubongo wako wote umeathiriwa na herufi Z hapo hata wakifungua ubongo wako watakuta ni zzzzzzzzzzzzzzz.
We tangu uwepo duniani uliona wapi upige vita usiwe na athari kiuchumu, kuwa na uwezo wa kufikiri huru
Wenyewe wanaongea wewe mrusi wa kwa mpalange unapinga wakati wenyewe pia wanaona.
AhaahahView attachment 2301053
🇪🇦🇮🇹The authorities of Italy and Spain accused Russia of inaction in the situation with forest fires in their countries
Residents wonder why Russian aviation is not helping them with forest fires this year 🙄🙄🙄
Tunaomba ushahidi wa tuhuma zako kamanda mkuuIdi Amini hakuvamia tz, bali yeye ndo alivamiwa kupitia propaganda
Explain chief
Yes ni kama tanzaniaUnajua maana ya nchi huru???
Naomba kupinga hoja zako.Russia baada ya kuivamia Crimea mwaka 2014 imekuwa inatamani kuvamia nchi zingine za jirani ili kuunda tena taifa la USSR.Sababu yangu Ni rahisi tu,NATO alikua anahatarisha usalama wa Russia kwa kutaka kuleta majeshi mlangoni kwa Russia.Na alivunja makubaliano waliyoingia na Russia ya kutoku-expand kuelekea pande hizo.
Hakuna mahusiano ya Sababu genuine za Russia vs za (Idd Amin+Hitler).